UEFA EURO 2024 Azam wataonesha kweli?

Yah kupitia ZBC 2
Nina uhakika haitanoga maana Ile channel sijawahi ielewa nadhani ingejikita kwenye dini na kutangaza msitu wa Jozani basi
ZBC2 ni chanel ya hovyo sana!Leo haijaonyesha gem yoyote!

Halafu mjue Azam media pia wajinga sana!wanapiga promo ya tangazo la euro kupitia hiyo chanel halafu hairushi baadhi ya mechi!

Ni Bora azam wenyewe waingie mzigoni kama Wana Nia ya dhati ya kurusha mechi kuliko huo ujinga!
 
Sijashangaa nilikwishajua yanatengenezwa mazingira watu walipie king'amuzi Kisha baadae tuoneshwe fei bui na samakiba
Na wababe wa kitaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom