eric hamissi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Eric Hamissi aliyekuwa DG wa TPA kaonewa baada ya kukataa kuhonga wanasiasa kama enzi za zamani

    WNAJAMVI, huyu DG tangia aingie TPA amejitahidi sana kuziba mirija ikiwemo kuhakikisha kila mtu analipa anachotakiwa. Lakini makampuni kama silent ocean na GSM wamekuwa wakilazimisha wapewe eneo wawekeze kinyume ya sheria ya PPP lakini yeye aliwaeleza wafuate utaratibu wa uwekezaji...
  2. Tryagain

    Mkurugenzi wa Bandari alikuwa sikio la kufa lisilosikia dawa

    Rais alipomteua Eric Hamissi April 2021 alimweleza ufisadi wa Bandarini akamuagiza achukue hatua! Mwezi Disemba 2021 Rais alivunja Bodi ya TPA akatoa nasaha tena za ufisadi pale! Watu wanachezea mfumo, mizigo inaonekana imelipiwa getini kumbe imepita free na nchi inakosa kodi! Akamwambia...
  3. Cicadulina

    Rais Samia atengua uteuzi wa Eric Hamissi, Mkurugenzi Mkuu wa Usimamizi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)

    Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ndgu. Eric Hamisi. Nafasi yake inachukuliwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Ndgu. Plasduce Mkeli Mbossa. PICHA: Plasduce Mbossa
Back
Top Bottom