epl

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini timu za EPL zina majeruhi wengi kuliko timu za Ligi kuu Tanzania. Je, Wachezaji wetu wamekomaa au hawajitumi?

    Tottenham,Man City,Arsenal zina majeruhi zaidi ya 10. Huku timu zetu wachezaji wote wako fit despite hawapitii vipimo vya afya vile inavyotakiwa. Je wachezaji wetu hawajitumi au wamekomaa?
  2. JamiiForums Tanzania Guéhi aibua gumzo EPL baada ya kuandika 'I Love Jesus' kwenye kitambaa cha unahodha chenye rangi za upinde/LGBTQ+

    Beki wa kati wa Crystal Palace na England, Marc Guéhi huenda akachukuliwa hatua za kinidhamu na Shirikisho la Soka la Uingereza (FA) baada ya kuandika “I LOVE JESUS” kwenye kitambaa chake cha unahodha wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Newcastle mchezo uliomalizika kwa sare ya 1-1...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini wachezaji washiriki wa CAF Champions Ligue hawachezi EPL (England Primier Ligue?)

    Ni mimi wako: UWESU TANZANIA 🧠 Kwa tafiti fupi niliyoifanya nimegundua kuwa ni vigumu sana wachezaji washiriki wa CCL (CAF champion ligue) kusajiliwa kwenye timu shiriki za EPL (England premier ligue)? Michuano ya vilabu bingwa vya Afrika vimekuwa vikiibua vipaji vya vijana wengi wa kiafrika...
  4. JamiiForums Tanzania Ikitokea Manchester City akashinda leo navuta milion 50

    Wakuu Leo ndio Leo kwangu ikitokea Manchester city kamfunga arsenal navuta milion 50 nakua new milionea in town maombi yenu aisee Wana JamiiForums wenzangu treni langu linaisha Leo lilikua mechi 20 mechi ya Mancity na Arsenal ndio ya mwisho.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Burudani ya soka bila EPL

    Kumbe unaweza kuburudika kwa kutazama futbol bila hata mechi za EPL. Binafsi nilikuwa natamani sana EPL ingekuwemo kwenye king'amuzi cha Azam lakini ndiyo hivyo tena. Pamoja na kukosekana kwa EPL ndani ya Azam, lakini kwa sisi wapenda soka, angalau nafsi inaridhika kwa kutazama mechi live...
  6. JamiiForums Tanzania Manchester City inazidi kuwanyoosha huko EPL, haya hapa matokeo ya mechi za Agosti 31, 2024

  7. JamiiForums Tanzania Full Time: Man united 1-0 Fulham fc

    EPL | Man united 0-0 Fulham Fc Ila bruno 😄
  8. JamiiForums Tanzania Tabiri Top 4 ya EPL kuelekea Msimu mpya wa 2024/25

    Ijumaa ya 16/08/2024 pazia la EPL litafunguliwa kwa mchezo baina ya Man Utd Vs Fulham kule Old Trafford. Kuelekea msimu huu mpya wa 2024/25 tabiri Top Four yako itaishaje mwisho wa msimu. Twende kazi…
  9. J

    JamiiForums Tanzania Owen aitabiria Arsenal ubingwa EPL akiitosa Man United top four

    Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Michael Owen ametabiri Arsenal kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) msimu ujao wa 2024/2025 huku akishindwa kuiweka Man United katika orodha ya timu nne zitakazomaliza katioka nafasi nne za juu kwenye msimamo wa ligi hiyo. Owen ambaye pia...
  10. JamiiForums Tanzania Real Madrid na Barcelona zashindana kumuwania Trent Alexander-Arnold

    Klabu za Hispania, #RealMadrid na #FCBarcelona zinaendelea kumfuatia kwa ukaribu beki wa pembeni wa #Liverpool, Trent Alexander-Arnold (25), ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa Msimu wa 2024/25. Inadaiwa Liverpool ipo tayari kumpa mkataba mpya utakaomfanya alipwe Pauni...
  11. JamiiForums Tanzania Tupia top 4 epl msimu wa 2024/2025

    1.Arsenal 2.Man city 3.Liverpool 4.Chelsea
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo ningependa Man Utd first 11 iwe msimu ujao ili tushinde ubingwa EPL

    1: Onana 2: Dalot 4: Lisandro Martinez 5: Jarrad Brathwaite 3: Ian Maatsen 6: Mainoo 8: Joao Neves 10: Bruno Fernandes 7: Kvaratskhelia 11: Garnacho 9: Hojlund
  13. JamiiForums Tanzania EPL: Makombe Mawili Yaliyofanana yatapelekwa kwenye Viwanja vya Emirates & Etihad katika michezo ya leo ya kuamua nani awe bingwa

    Bodi la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) wameamua kupeleka makombe mawili yanayofanana katika viwanja viwili vya Emirates ambapo utapigwa mchezo wa Arsenal Vs Everton. Kombe la pili litapelekwa kule Etihad ambapo kutakuwa na mchezo wa Man City Vs West Ham. Sambamba na hayo pia, watapeleka medali 40...
  14. JamiiForums Tanzania EPL: Wanaowania tuzo za Kocha Bora & Mchezaji Bora wa Msimu watajwa, Kura yako unampa nani?

    Tuzo ya Kocha bora wa msimu kwa EPL kuna majina matano, ambayo ni; 1. Mikel Arteta - Arsenal 2. Unai Emery - Aston Villa 3. Pep Guardiola - Man City 4. Andoni Iraola - Bournemouth 5. Jurgen Klopp - Liverpool Pia kuna orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu pale EPL ambapo...
  15. JamiiForums Tanzania Nimeangalia Match ya EPL Bure bila DSTV kwa kutumia kifaa hiki..

    Kwa wapenzi wa soka Weekend tukiwa hatuna mishe tunajifungia ndani tunaangalia mpira au tunasogea vibanda umiza kupata burudani,Mimi binafsi huwa naangalia mechi zote za jumamosi na jumapili,you may call me fanatic but football ndio ulevi wangu, DStv vifurushi daily vinapanda kwa uchumi ulivyo...
  16. JamiiForums Tanzania Matokeo ya 1-1 Liverpool na Man City yaipa faida Arsenal kwenye EPL

    Mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Manchester City umemalizika kwa sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Anfield, matokeo ambayo yanaipa faifa Arsenal kubaki kileleni katika Premier League kwa faida ya magoli mengi ya kufunga Magoli yaliyoamua mechi ya leo Machi 10, 2024 yamefungwa na John Stones kwa...
  17. JamiiForums Tanzania EPL: Man City yaibamiza Man Utd 3-1

    Timu ya Man City imezidi kujiwekea mazingira mazuri ya kutetea ubingwa wake wa EPL baada ya kuwafunga wapinzani wao wa Jiji la Manchester timu ya Man Utd kwa magoli 3-1. Man Utd ndio walikuwa wakwanza kupata goli kupitia Rashford dakika ya 8. Man City wakasawazisha dakika 56 kupitia Phil Foden...
  18. JamiiForums Tanzania Erling Haaland amecheza dakika 1,745 katika EPL, amekutwa offside mara moja tu

    Inaweza kukushangaza kiasi lakini huo ndio uhalisia, licha ya kuongoza kwa kufunga magoli 17 katika Premier League 2023/24 hadi sasa, takwimu zinaonesha Mshambuliaji wa ManchesterCity, Erling Haaland ameotea mara moja tu katika dakika 1,745 alizocheza, anayeongoza kwa kuotea ni Darwin Nunez wa...
  19. JamiiForums Tanzania EPL: Mbio za ubingwa, unampa nani karata yako ya kutwaa ubingwa?

    Licha ya ratiba ngumu, nawapa Man City nafasi ya kunyanyua ubingwa mwisho wa msimu. Arsenal kama kawaida yao kuanzia mwezi march tutaona madudu yao, Liverpool ni tishio lakini hawatobeba ndoo. Kutokana na mechi zilizosalia unampa nani nafasi ya kutwaa ubingwa? Tuambie…
  20. JamiiForums Tanzania EPL: Arsenal yashinda 6-0 dhidi ya West Ham

    Klabu ya Arsenal imeibugiza West Ham kwa mabao 6-0 katika mchezo wa ligi kuu england maarufu kama EPL. Mpaka mapumziko Arsenal ilikuwa mbele kwa mabao manne kwa nunge, huku mabao hayo yakifungwa na Saliba dakika 32, Saka dakika ya41 kwq penati, Gabriel 43 na Trossard dakika 45+2. Kipindi cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…