Endapo Arsenal itatwwa ubingwa wa EPL mambo mengi yanaweza kutokea/kubadilika. Haya 👇ni baadhi tu.
1. Paul kagame atakuwa kibonge maana Arsenal ndo club aioendayo duniani.
3. Mashabiki wa manjesta unaited watazidi kukonda japokuwa uwezekano wa wa kumaliza kwenye top four ni mkubwa kwao.
4...
Wakuu Mimi ni mkali wa correct scores kwenye mikeka hata ofsini kwangu wananiita Messi wa mikeka
Toka huu mwezi uanze Kuna intuition imekaa ndani yangu ikiniambia kuwa
Arsenal atabeba ubingwa wa EPL 2025/2026 kwa tofauti ya Point moja tu
niliwahi kumtabiria Leicester city January na...
Mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza kati ya Arsenal na Manchester United umeamalizika kwa ushindi kutoka kwa mashetani wekundu Man United wa goli tatu kwa mbili.
Kama picha zinavoonesha hapo anadai kuonesha ligi zote kubwa ulaya kwa bei nafuu tu matangazo yako facebook. Naomba ufafanunuzi kama hii kitu inawezekana anadai king'amuzi kinaitwa premium hd. Kama kuna mtu anafaham hii habari atutoe tongotongo
Mimi ni mshabiki wa Brentford na Liverpool damu msimu huu tunaenda kuchukua epl Kwa wote msioamini haya maneno tukutane may ndio mtaamini the bees au the reds ni mabingwa 2025/ 26 tutawatoa manundu sana msimu huu.
CHAN: Leo katika dimba la Mandela itapigwa mechi ya mshindi wa tatu kati ya Sudan dhidi ya Senegal Mechi hii itachezwa kuanzia saa 12:00 jioni
Jumamosi
Fainali ya Mashindano ya Mataifa ya Afrika (CHAN)
Madagascar vs Morocco - 🕕 Saa 12:00 jioni
Jumamosi
Premier League, mechi kubwa mbili...
Habari Wana Sports,
Kiukweli mwaka huu Arsenal imefanya sajili Bora sana ingizo la striker Victor ndani ya Chama letu inatupa confidence ya kusepa na makombe mwaka huu.
Imagine Victor yupo pale mbele left Kuna TEMINADO SAKA right MADUEKE.
Declan Rice anakichafua Dimba la chini na juu pale...
Ligi Kuu ya England itaendelea leo kwa mchezo kati ya West Ham na Chelsea majira ya saa 4:00 usiku (EAT), ikiwa ni mchezo wa raundi ya pili kati ya raundi 38 zinazotarajiwa kuchezwa msimu huu.
Katika raundi ya kwanza:
Chelsea walitoka sare ya bila kufungana (0-0) dhidi ya Crystal Palace.
West...
BINGWA: liverpool
MFUNGAJI BORA: halaand
GK BORA: donnaruma
YOUNG PLAYER OF THE YEAR: sesko
MCHEZAJI BORA WA MWAKA: palmer
TOP SIX:
liverpool
Man city
Arsenal
Man Utd
Chelsea
Tottenham
Kuelekea msimu mpya wa ligi pedwa na maarufu duniani EPL pale Uingereza inayo tarajia kuanza kutimua vumbi siku ya Ijumaa tarehe 15, Agosti 2025 hii ndio top 4 yangu.
1. Chelsea
2. Liverpool
3. Arsenal
4. Man City
Tipia na yako tuone, karibu.
Zikiwa zimesalia siku chache kurejea kwa ligi mbalimbali duniani, joto la soka linazidi kupanda. Mitandao inachafuka, pesa inamwagika, tambo zinatembea – lakini mwisho wa siku ni uwanjani tu ndipo ukweli utaandikwa!
Huko England, usajili umekuwa wa moto wa jiwe! Kuna wanaonunua kwa bei ya...
Liverpool mabingwa wa msimu 2024-2025 wa ligi ya uingereza nawapa chapuo ya kuchukua tena ubingwa wa msimu ujao.
Hii timu bwana imekamilika kila idara licha ya kuondoka baadhi ya nyota wake pia wamefanya maboresho ya kikosi kwa kusajiri wachezaji kama:-
Frimpong
Kerkez
Wirtz
Ekitike
Msimu...
Sisi tunaishi katika dunia yetu.
Mpaka leo ligi haijaisha😂
Wenzetu waliopo mbele ya muda wanaendelea na mambo yao.
EPL washatoa ratiba ya msimu mpya wa ligi, August 15 ligi inaanza.
Weekend hiyo Man Utd na Arsenal watakuwa pale OT kumenyana.
Sisi kuna sehemu tunakosea pakubwa sana, au ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.