An English-medium education system is one that uses English as the primary medium of instruction—particularly where English is not the mother tongue of the students.
Initially this is associated with the expansion of English from its homeland in England and the lowlands of Scotland and its spread to the rest of Great Britain and Ireland, beginning in the sixteenth century. The rise of the British Empire increased the language's spread to British colonies and in many of these it has remained the medium of education. The increased economic and cultural influence of the United States since World War II has also furthered the global spread of English, as has the rapid spread of Internet and other technologies. As a result of this, in many states throughout the world where English is not the predominant language there are English-medium schools. Also in higher education, due to the recent trend towards internationalization, an increasing number of degree courses, particularly at Master's level, are being taught through the medium of English.Known as English-Medium Instruction (EMI), or ICLHE (Integrating Content and Language in Higher Education), this rapidly growing phenomenon has been contested in many contexts.
Napenda kutoa taarifa hii ili kufichua vitendo vya urasimu na ukiukwaji wa taratibu katika zoezi la utoaji wa nafasi za kujiunga na Shule ya Nyanza English Medium kwa Mwaka wa masomo 2026, hususan kwa Madarasa ya awali na Darasa la Kwanza.
Awali, uongozi wa shule hiyo ya Serikali ambayo...
Anonymous
Thread
bidhaa
englishenglishmedium
hewa
malipo
manunuzi
nyanza
shule
Kumekua na tabia ya shule hizi kuchangisha wazazi mara pesa za picnic, mara study tour, mara graduation na pesa ya mpiga picha elfu 10 picha 1 (hii ni ajabu).
Sasa kwenye michango hiyo wamgeuza ni vitega uchumi. Mfano kuna shule moja mkoani tabora ilichangisha michango watoto waende picnnic...
Habar wakuu nataka kufanya biashara ktk sector ya elimu hasa English medium pre and primary school,katika wilaya nilipo zipo 6 je ntatoboa kweli na pia Kuna uhaba wa secondary hakuna secondary school
Wakuu nipeni uzoefu wenu katika sector hii
Katika miaka ya karibuni, halmashauri nyingi nchini Tanzania zimeanza kuanzisha shule za serikali zinazotumia Kiingereza kama lugha ya kufundishia kuanzia darasa la kwanza maarufu kama “English Medium Schools.” Lengo likiwa kuongeza ubora wa elimu, kutoa ushindani kwa shule binafsi, lakini pia...
Kesi nyingi za ubakaji Tanzania zinawekwa kapuni na polisi. Kama zingetangazwa zote wananchi mngeogopa. English medium schools na madrassa ya Elimu akhera kuna mambo ya hovyo sana.
Je, nini kifanyike kudhibiti haya?
Dunia imebadilika sana
Duna ya saizi haihitaji masomo ya masimulizi na kukariri Notes Bali ujuzi. Kayumba mwenye ujuzi anaingiza pesa kuliko english medium mwenye divison 1
Kwa uelewa ulionao sasa, unafikiri ungesoma shule tofauti ingekusaidia kwenye maisha, ajira au biashara?
Je, watoto wako watasoma shule kama uliyosoma wewe au utawapeleka kwingine?
Binafsi nimesoma shule ya msingi ya serikali, mkoani Tabora. Nakumbuka nilikua na eneo langu la bustani la...
Wazazi wengi wanahangaika kupeleka watoto olimpio tu. Huku wanaishi mbali na mjini.
Hizi ni baadhi ya shule za msingi za serikali zilizobadilishwa kuwa english medium.
Ambazo sijazitaja , sizijui naomba wengine mzitaje ili wote tuzijue
1. Chang'ombe Duce primary school ipo ndani ya Duce...
LIKUD amefungua watu wengi Sana kuhusu ubabaishaji wa shule za EMs zinazo tumia mtaala wa Necta.
Pia soa > Mwanza: Watoto wawili wa Shule ya Blessing Model watekwa, wengine Wanne wanusurika
Wengi ni wababaishaji Sana. Ndio maana Likud anasema hakuna mantiki yoyote Kwa mzazi masikini...
Habari
Natafuta english medium primary school kwa Dar es salaam zenye school fees below 1 million . Kuna research nahitaji kufanya nao niwasiliane nao. Ntapendelea kwa Dar eneo lolote.
Asante
Hakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs .
Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha Kayumba Sasa wameanza kufanya hivyo Kwa kasi ya ajabu.
Jijini Dar es salaam pekee Kuna mafuriko ya...
Wazazi wa watoto waliosoma na wanaosoma hizi shule za EMS si vizuri kukubali au kuona mwanao hakiangaika baada ya kumaliza chuo na kuja kugombana hizi ajira za ajabu mshahara wake usiofika hata million moja.
Utakuwa upotevu wa pesa mtoto kumsomesha kwa gharama kubwa ili kuja kugombania mshahara...
Je, mafanikio ya elimu hutegemea ada kubwa ya shule au mshikamano wa familia katika kukuza juhudi binafsi za mtoto?
Swali hili linaibuka mara nyingi, hasa tunapojadili tofauti kati ya shule za English Medium na zile za kawaida, maarufu kama Saint Kayumba. Wakati wengi wanaamini ada kubwa na...
Ndugu we sema hali yako ni ngumu kwa sasa.
Acha mambo ya kupigisha watu stori kwa kutunisha misuri ya typing fingers kuwa wanaosomesha em na international schools eti wana poteza muda.
Hata sisi tunapigika na "njaa-nuary" hii ila hauwezi kuta tunageuza wali kuwa ugali humu.
Sawa, Ngoja...
Nashukuru Mungu nilijitoa kwenye utumwa wa kujitakia na Sasa naishi kwa Amani kabisa watoto niliwatoa EM nimewaleta Kayumba sina Tena stress na mambo yanaenda vizuri na watoto wanafanya vizuri darasani. Twisheni ya nguvu. Aliyekuwa la 4 mwaka jana kapata A zote Masha'Allah.
Shoga zangu...
Watanzania tuwe makini, kama unaamua kupeleka mtoto shule ya english medium, basi ni bora iwe international schools lakini hizi za uswahilini ni upuuzi mtupu, english yao utasikia "teacher is telled to teach us masematikis tumolo" sasa huwa nashaangaa na mzazi anavimba kichwa kuwa anasomesha...
Ada tuweke 1.5 m
Uniforms, usafiri na vikorokoro vingine tuweke 1ml . Jumla milioni 2.5, mara 4 ni milioni 10. Hiyo ni minimum.
Hapo hatujagusa hizi International schools ambapo kwa miaka 4 hamna hamna milioni 20 inakwenda.
Form one mpaka form four nimesoma shule ambayo kulikuwa na wanafunzi...
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Hata sisi wazazi wao tulifeli siyo kwa kukosa akili bali tulikosa wanayopata Watoto wetu.
Dominika njema
Mpo Salama!
1. Waalimu kulipwa mishahara Duni
Unapopeleka mtoto English Medium au shule yoyote Jambo la Kwanza Kabisa lazima uulize mishahara ya waalimu. Wanalipwaje?
Mshahara wa Mwalimu ni kiashiria namba Moja kuonyesha mtoto wako atapata Elimu Bora. Matokeo ya mitihani huweza kupokwa.
Mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.