engine

  1. JamiiForums Tanzania Migodini Kuna Trucks zina hadi engine ya cc 90,000 na ni kubwa kiasi kwamba wewe na urefu wako haufiki katikati ya tyre.

    Kuna vitu vinashangaza. Ukipata wasaa wa kuingia migodini, hasa hasa open pit, utakutana na dumpers (dumping trucks) zenyewe zinafanya kazi sana sana ya kubeba udongo kutoka walikoblast kwenda kwenye crushers. Bwana aya madude ni makubwa. Sana. Kwanza kupanda unapanda na kushuka kwa ngazi...
  2. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Lira Trader Flees After Beans Allegedly Laced With Engine Oil

    Photo by Lira FM A trader in Lira City’s Produce Lane has fled after allegedly being caught with beans suspected to have been mixed with engine oil to artificially increase their weight and market value. The trader, identified as Shadrack, was reportedly caught with the beans before abandoning...
  3. JamiiForums Tanzania Maria Sarungi hajui kuwa hakuna kiapo kisicholindwa na Sheria/kanuni sijajua kwanini chadema wanamtumia huyu madam

    Maria Sarungi ameandika post ambazo zimenifanya nimjue kuwa hana akili sawasawa, hajui mambo mengi sana, wajinga tu ndo wanaweza kuamini post zake. Kwasababu chadema Ina ujinga ujinga na upumbavu mwingi ndo maana wanamtumia sana Maria Sarungi Anyway ngoja nitoe elimu kidogo. Viapo vyote...
  4. JamiiForums Tanzania Bajeti mpya itawaumiza watakao agiza magari ya engine (ICE) ila imewapendelea watakao agiza magari ya umeme (EV)

    Nadhani tumesikia bajeti mpya ilivyoongeza kodi kwenye magari yaliyotumika nje. Focus kubwa ikiwa kwenye umri wa gari na ukubwa wa engine. Ila kwa upande wa pili, ni furaha kwa wenye mpango wa kuingiza magari ya umeme. Excise Duty kwa magari ya umeme (EV) imeondolewa kabisa. (Ila Excise Duty...
  5. JamiiForums Tanzania Mazda cx5 2017 diseal engine AWD,47M

    MAZDA NEW MODEL CX5 2017 DISEAL ENGINE AWD
  6. JamiiForums Tanzania Engine ya Toyota crown inauzwa 3Gr

    Habari wakuu,kuna engine ya Toyota crown inauzwa ni 3Gr Haina shida Ina kila kitu ,Boss kabadili Engine kwahiyo hiyo aliyotoa anaiuza
  7. JamiiForums Tanzania The browser is the "engine," but the proxy is the "fuel.

    -- Kwa sasa natumia Browser hizi: Incogniton Browser Multilogin Browser Je wewe unatumia browser ipi katika muktadha huu The browser is the "engine," but the proxy is the "fuel." Even a Ferrari (MoreLogin) won't move if you put water in the tank (Free Proxy/VPN).
  8. M

    JamiiForums Tanzania Taa ya Engine kwenye gari

    Habari Wakuu..nina magari mawili Toyota Run x na Kulger. Magari yote mawili yana changamoto ya kuwasha taa ya Engine nikitembea distance fulani..Yani sio kwamba inawaka muda uleule nikiwasha gari labda nikitembea kilometers kadhaa ndio unakuta inawaka. Hii Run x ni ndani ya siku moja ndio huwa...
  9. JamiiForums Tanzania Fuso Tipper engine 17

    Fuso Tipper Engine 17 Milion 65 Dar Es Salaam Nipigie Kwa ukaguzi 📱0754693556
  10. JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Hilux yenye engine ya 2kd iko sokoni

    Bei/Price🏷️👉🏽TSH 50M Call📞+255 747 999 927 TOYOTA HILUX DOUBLE CABIN Year: 2007 Low Mileage Engine: 2 K D Fuel Used: DIESEL Transmission: MANUAL ✨Fog Lights ✨Alloy Wheels ✨Android Radio ✅Clean Interior ✅Well-Maintained ✅Swap Deals Allowed
  11. JamiiForums Tanzania Fahamu Dalili 5 Muhimu Zinazoashiria Hitilafu Kwenye Engine Bearing Zako

    Na Morning Joy Motors Kama ukishindwa kugundua haraka dalili hizi ambazo zinaashiria hitilafu kwenye engine bearing za gari yako basi soon, itakulazimu kulipa gharama kubwa za matengenezo au hata kubadili engine nzima na kuweka mpya kabisa. Nini Husababisha Engine Bearings Kuharibika...
  12. JamiiForums Tanzania Scania 124 engine 114 inauzwa

    Scania 124 inaizwa pamoja na tela yake. Engine imefungwa mpya ya 114 Bei milion 65 Location Dar Es Salaam Nipigie simu Kwa ukaguzi 📱 0754693556
  13. JamiiForums Tanzania Nauza hii Gari Nissan Pick-Up engine QD32

    Nissan Pick-Up Engine QD32 Cc 3153 Fuel Diesel ⛽ AC ipo Full Document. Location Dar Es Salaam Bei milion 25 maongezi kidogo. Nipigie simu boss ukague hii Chuma 📱0754693556
  14. JamiiForums Tanzania Car4Sale SUBARU FORESTER XT YENYE ENGINE YA SJG IKO SOKONI

    Bei/Price🏷️👉🏽TSH 38M Call📞+255 747 999 927 SUBARU FORESTER ❌T SJG Year: 2014 Engine: 1,990Cc Mileage: 79,200+ Transmission: AUTO ✨Push To Start ✨Leather Seats ✨Cruise Control ✅100% Duty Paid ✅Free Registration ✅Swap Deals Allowed
  15. J

    JamiiForums Tanzania Landcruiser Million 18.5 Engine 1hz spring banzi Songwe 0769103506

  16. J

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Subaru Forester XT inauzwa

    SUBARU FORESTER XT Call 0769103506 REG: (EGS) MWAKA 2014 ENGINE CAPACITY: 1990cc FULL AC MILEAGE 77,400km+ BEI 26.8M POSHO 500K🔥✅ LOCATION Dsm
  17. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli gari aina ya Nissan zinasumbua sana injini zake?

    Wanaseme Nisan zote ni vimeo, ukweli upo wapi ndugu wa taalam wa magari. Nisan extrail wanasema zinanock engine. Nisan dualis wanasema zinaungua Nisan navala wanaseme zinasumbua geer box Yaani kila nisan inashida. Je,kunaukweli au ni habari za kufikirika
  18. I

    JamiiForums Tanzania Nauza Engine K12 B

    Salam wadau. Nauza engine ya K12B,displacement 1290. Engine ni nzima kabisa ina mailage ya 90,000 kms Kwa maulizo zaidi tafadhali dm.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Bei ya engine 1zz na gear box yake

    Napenda kujua gharama za engine 1zz na gear box yake,napatikana mkoani Songwe
  20. JamiiForums Tanzania Car4Sale RAV4 kilitime, engine ndogo iko sokoni

    Kwa cash au mkopo karibu Bei/Price TSH 34.5M Call +255 747 999 927 TOYOTA RAV4 Year: 2000 Engine: 1,790Cc Mileage: 50,000+ Transmission: AUTO Rear Spoiler Alloy Wheels 2-SRS Airbags 100% Duty Paid Free Registration Swap Deals Allowed
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…