engine

  1. Mwl.RCT

    The browser is the "engine," but the proxy is the "fuel.

    -- Kwa sasa natumia Browser hizi: Incogniton Browser Multilogin Browser Je wewe unatumia browser ipi katika muktadha huu The browser is the "engine," but the proxy is the "fuel." Even a Ferrari (MoreLogin) won't move if you put water in the tank (Free Proxy/VPN).
  2. M

    Taa ya Engine kwenye gari

    Habari Wakuu..nina magari mawili Toyota Run x na Kulger. Magari yote mawili yana changamoto ya kuwasha taa ya Engine nikitembea distance fulani..Yani sio kwamba inawaka muda uleule nikiwasha gari labda nikitembea kilometers kadhaa ndio unakuta inawaka. Hii Run x ni ndani ya siku moja ndio huwa...
  3. Dalali wa Mjini

    Fuso Tipper engine 17

    Fuso Tipper Engine 17 Milion 65 Dar Es Salaam Nipigie Kwa ukaguzi 📱0754693556
  4. darautobroker

    Car4Sale Toyota Hilux yenye engine ya 2kd iko sokoni

    Bei/Price🏷️👉🏽TSH 50M Call📞+255 747 999 927 TOYOTA HILUX DOUBLE CABIN Year: 2007 Low Mileage Engine: 2 K D Fuel Used: DIESEL Transmission: MANUAL ✨Fog Lights ✨Alloy Wheels ✨Android Radio ✅Clean Interior ✅Well-Maintained ✅Swap Deals Allowed
  5. Morning Joy Motors

    Fahamu Dalili 5 Muhimu Zinazoashiria Hitilafu Kwenye Engine Bearing Zako

    Na Morning Joy Motors Kama ukishindwa kugundua haraka dalili hizi ambazo zinaashiria hitilafu kwenye engine bearing za gari yako basi soon, itakulazimu kulipa gharama kubwa za matengenezo au hata kubadili engine nzima na kuweka mpya kabisa. Nini Husababisha Engine Bearings Kuharibika...
  6. Dalali wa Mjini

    Scania 124 engine 114 inauzwa

    Scania 124 inaizwa pamoja na tela yake. Engine imefungwa mpya ya 114 Bei milion 65 Location Dar Es Salaam Nipigie simu Kwa ukaguzi 📱 0754693556
  7. Dalali wa Mjini

    Nauza hii Gari Nissan Pick-Up engine QD32

    Nissan Pick-Up Engine QD32 Cc 3153 Fuel Diesel ⛽ AC ipo Full Document. Location Dar Es Salaam Bei milion 25 maongezi kidogo. Nipigie simu boss ukague hii Chuma 📱0754693556
  8. darautobroker

    Car4Sale SUBARU FORESTER XT YENYE ENGINE YA SJG IKO SOKONI

    Bei/Price🏷️👉🏽TSH 38M Call📞+255 747 999 927 SUBARU FORESTER ❌T SJG Year: 2014 Engine: 1,990Cc Mileage: 79,200+ Transmission: AUTO ✨Push To Start ✨Leather Seats ✨Cruise Control ✅100% Duty Paid ✅Free Registration ✅Swap Deals Allowed
  9. J

    Car4Sale Subaru Forester XT inauzwa

    SUBARU FORESTER XT Call 0769103506 REG: (EGS) MWAKA 2014 ENGINE CAPACITY: 1990cc FULL AC MILEAGE 77,400km+ BEI 26.8M POSHO 500K🔥✅ LOCATION Dsm
  10. Fundi mahiri wa Ujenzi

    Hivi ni kweli gari aina ya Nissan zinasumbua sana injini zake?

    Wanaseme Nisan zote ni vimeo, ukweli upo wapi ndugu wa taalam wa magari. Nisan extrail wanasema zinanock engine. Nisan dualis wanasema zinaungua Nisan navala wanaseme zinasumbua geer box Yaani kila nisan inashida. Je,kunaukweli au ni habari za kufikirika
  11. I

    NAUZA ENGINE K12 B

    Salam wadau. Nauza engine ya K12B,displacement 1290. Engine ni nzima kabisa ina mailage ya 90,000 kms Kwa maulizo zaidi tafadhali dm.
  12. L

    Bei ya engine 1zz na gear box yake

    Napenda kujua gharama za engine 1zz na gear box yake,napatikana mkoani Songwe
  13. darautobroker

    Car4Sale RAV4 kilitime, engine ndogo iko sokoni

    Kwa cash au mkopo karibu Bei/Price TSH 34.5M Call +255 747 999 927 TOYOTA RAV4 Year: 2000 Engine: 1,790Cc Mileage: 50,000+ Transmission: AUTO Rear Spoiler Alloy Wheels 2-SRS Airbags 100% Duty Paid Free Registration Swap Deals Allowed
  14. noel oga

    Natafuta mswaki wa engine 1zz

    Habar ndugu zangu natafuta chimbo zuri kwa hapa dar ambalo naweza kupata mswaki mzuri wa 1zz bajet yangu 1.7mil.ahsante
  15. R

    Tunanunua V8 mpya kwa Kodi zetu, ila Engine ya Treni ya iweje inunuliwe mtumba?

    Hellow! Kwamba V8 ni muhimu kuliko engine ya SGR inayobeba watu wengi? Nani anyongwe Katika hili. Karibuni 🙏
  16. Royal Son

    Kuna Land Cruiser V8 inadhalilisha V8 engine huku

    Kama Video inavyoonesha
  17. Mad Max

    Car Service Episode 1/10: Engine na Gearbox Oil!

    Wakuu. Poleni na kila kitu. Nimeona leo tuwe na open discussion ya engine na gearbox oil service. Kama kuna mtu ana ujuzi na uzoefu wa aina aliyitumia na mabadiriko aliyoyaona inaweza kua msaada kwa mwingine. Kwa kuanza, mi nitatoa flashback kidogo na experience yangu ndogo kwenye hivyo...
  18. Money Bags

    Toyota 1 HZ Engine & Gear Box For Sale

    Hi Husika Na Kichwa Cha Habari Nauza Toyota 1HZ Engine na Gear Box Yake Tsh Million 8,500,000 /= Engine nzima haina tatzo lolote ilikua kwenye Land Cruiser GX 105 nikabadilisha nikaweka 1HDT cz nimetaka niwe na turbo na mwendo. Engine & Gear Box Ipo Home, Mikocheni, Dar es Salaam for viewing...
  19. Sambinyakwe kitololo

    Kuna aliewahi fanya rebuild engine hii?

    Msaada Kuna mwana jf yoyote aliewahi fanya engine rebuild ya 2.7L tdv6 ilioko kwa baadhi ya discovery na range sport za nyuma kidogo around 2004 - 2007 Kuna matatizo kama crankshaft failure Gharama zake zikoje kwa hapa bongo kufix versus kununua engine nyingine na air suspension ku fail...
Back
Top Bottom