elimu

  1. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu ziarani Mkoani Njombe kwa ajili ya kukagua miradi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amewataka Watanzania kujivunia kwa maendeleo yaliyopatikana katika sekta mbalimbali zinazogusa wananchi moja kwa moja. Akizungumza na viongozi na watumishi wa Halmashauri ya Njombe, Septemba 20, 2024 wakati wa ziara ya kukagua miradi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Changamoto za elimu katika taifa letu la Tanzania

    "kutokana na uhalisia kwamba hali ya elimu kuzidi kuwa mbaya nchini hali hii imetokana na Changamoto zinawakabili walimu kama ifuatavyo:- 1: miundo mbinu mibovu.Hali hii husababishwa na serikali na wananchi kutotilia mkazo katika swala zima la ujezi wa vyumba vya madarasa pamoja na ujenzi...
  3. JamiiForums Tanzania DOKEZO UTAPELI: Afisa Elimu mkoa wa Morogoro anatapeli fedha kwenye shule zilizopo chini yake

    Yeye kwa kushirikiana na wahalifu wengine ofisini kwake, wametengeneza mfumo bila kuishirikisha taasisi ya serikali inayotengeneza websites na mifumo yote ya serikali yaani eGA. Mfumo huo ambao hautumii kikoa (domain) ya serikali ya Tanzania yaani .go.tz, unatumia domain ya .us ambayo si...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU, TAMISEMI mje Karagwe - Kagera, Walimu Wakuu na Maafisa Elimu (Karagwe) wanaumiza wanaopewa tenda

    Hapa Halmashauri ya Wilaya Karagwe, Mkoa wa Kagera kuna changamoto kubwa ya kukosekana kwa uadilifu na uwajibikaji unaofanywa hasa na Walimu Wakuu wa Shule pamoja na Ma-Afisa Elimu katika ngazi ya Shule za Msingi. Inapotokea kuna tenda Mkandarasi anapata inayohusu Shule fulani, ili uweze kupata...
  5. JamiiForums Tanzania Nimeongea na matapeli kadhaa politely majibu waliyonipa nimehitimisha kuwa kadri elimu inavyokua upumbavu nao unakua kwa kasi

    Mitandao yote ya kijamii matapeli wamejaa ila Facebook kwasababu ina watumiaji wengi kuliko mitandao mingine huko ndiko kuna matapeli concord. Shemeji yangu mhitimu wa chuo cha kilimo kaliwa na mjemba mmoja aliyejifanya mwajiri. Kampanga wakutane Iringa amwajiri akamzungusha kuwa yuko mbali...
  6. JamiiForums Tanzania Mtumbwi wazama Ziwa Viktoria, mmoja afariki sita hwajulikani walipo

    Watu sita wanahofiwa kufa maji, huku mwili mmoja ukiopolewa baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama ndani ya Ziwa Victoria. Watu hao walikuwa wakitoka kwenye harusi Kijiji cha Mwiruruma, kuelekea katika kitongoji cha Bulomba Kijiji cha Igundu wilayani Bunda Mkoa wa Mara. Mkazi wa Kijiji...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Chris Mauki elimu yake ya saikolojia ni against wanaume tu?

    Jamaa tangu nimfahamu YEYE NI KUWAPONDA TU WANAUME linapokuja suala la mahusiano. Na kwa hili amefanikiwa sana kujipatia UJIKO kwa kina Mama Anyway ninachoamini ni kwamba jamaa mada zake zote anazozitoa anazitoa kwa muamvuli wa taaluma ya psychology lakini kiuhalisia MENGI NI MAONI YAKE...
  8. JamiiForums Tanzania CCM imeharibu Elimu yetu. Utumiaje kiingereza miaka 10 kujifunzia halafu usijue kiingereza?

    Moderator hii ni hoja ya kisiasa msiigeuze ya lugha. Suala la Elimu ya nchi hii kuwa ya kiwango cha juu ama cha chini ni la mjadala. Lakini kiwango cha usomi wa wasomi wetu si mjadala unaotakiwa kuahirishwa. Hivi wasomi wetu tunawapimaje, kwa nini wasomi wetu linapokuja suala la ushindani na...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu kupata kozi zenye nafasi ya kujiajiri na kuajiriwa

    Wakuu Habari za Wakati, Kuna kijana kaniomba ushauri juu ya kipi akasome Veta, hasa long course. Kwa ufahamu na uelewa wangu nime mshauri ajaze kozi zifuatazo; 01. Designing, sewing and clothing technology 02. Electronics 03. Food technology. Jinsi yake ni ke. Ufaulu wake kidato Cha nne ni...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Madini na rasilimali nyingi ni mapambo kama huna watu sahihi. Tunatakiwa tufumue upya mfumo wetu wa elimu

    Ndio maana nchi yetu wanaotajirika zaidi ni wahindi, waarabu, wakenya, chinese, n.k. sisi tumebaki kujisifu nchi yetu tajiri lakini hatunufaiki na huo utajiri, imahine majirani Kenya ndio wanajulikana zaidi kuuza maparachichi nje kumbe wanayatoa huku kwetu, madini ya Tanzanite dili ndefu...
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia asisitiza umuhimu wa Vijana kupewa kipaumbele cha elimu na ajira

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa Vijana wengi Duniani wanakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo elimu duni na ukosefu wa ajira, hali inayowasababisha kukosa matumaini, kujiingiza katika uhalifu...
  12. JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni yaipongeza Kibaha Mji kwa usimamizi wa miradi ya maendeleo

    Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia Wizara ya Elimu na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeridhika na utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Shule ya Shimbo iliyopo Kata ya Mkuza,Halmashauri ya Mji Kibaha Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.Husna Sekiboko amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  13. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 1,230,780 kufanya mitihani ya kuhitimu elimu ya Msingi leo Septemba 11, 2024

    Wanafunzi 1,230,780 wamesajiliwa na wanatarajiwa kufanya mitihani ya kuhitimu Elimu ya Msingi kuanza leo Septemba 11, 2024, kati yao Wavulana ni Asilimia 46 na Wasichana ni Asilimia 54 Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA), Dkt. Said Mohamed amesema masomo yatakayotahiniwa ni Sita...
  14. JamiiForums Tanzania WAZIRI WA ELIMU & OR-TAMISEMI; Tunaomba Elimu iongozwe na viongozi wenye Elimu kubwa kuanzia Mwalimu mkuu hadi mkuu wa shule Ila Afisa Elimu iwe PhD.

    Hili ni pendekezo langu kwenye Dira mpya ya Taifa. Ninashauri viongozi wa idara na taasisi za Elimu nchini wawe na Elimu kubwa. Mfano; unaweza kuta mwalimu anayefundisha ana PhD Ila anaongozwa na mtu mwenye degree au Mwalimu mkuu ana diploma Ila anamuongoza Mwalimu mwenye degree hii haileti...
  15. JamiiForums Tanzania Ni mfumo wetu wa elimu mbovu au wanafunzi uelewa upo chini? Nchi nyingi duniani vijana waliosoma ICT ndio matajiri ila kwetu wanazunguka na bahasha

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hebu tutoe maoni kwanini vijana wa sayansi especially ICT wanahangaika sana wakati Kwa elimu yao wangekuwa na uwezo wa kubuni apps ambazo zingewakwamua kiuchumi badala yake wanahangaika na bahasha kama wahitimu wa procurement & supply. Mfano wa kijana wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mbona kama mama kanilengesha kwa huyu binti! Ndo tulipofikia huku

    Mimi kama kijana ninaye jitafuta bado ninaishi na mama yangu mzazi pamoja na mdogo wangu ambaye kwa sasa yupo kidato cha nne, dada yangu wa kwanza ameolewa yupo na familia yake yeye kaniacha miaka 6 ndio nikafuatia na mimi nimemuacha mdogo wangu wa mwisho kwa miaka 10. Katika swala la maadili...
  17. JamiiForums Tanzania Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi.

    Wanabodi Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA CPA Paul John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi. Watch https://www.youtube.com/live/BwSqvxL7YVw?si=q1MXVglKZ3cZTPdF Walalaze amekumbusha mwezi September ni mwezi wa kulipa awamu ya tatu ya kodi...
  18. JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa tajiri namba moja duniani bila kusoma shule

    Huu ni ukweli tu ulio wazi. Dunia itabaki kutawaliwa na wasomi mpaka Yesu anarudi. Huwezi kuwa Tajiri namba moja duniani bila kusoma shule. Pia soma: Hili la Diamond kujihakikishia kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani linaashiria nini katika ulimwengu wa giza? Katika dunia ya sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Prof Mkumbo anafaa Wizara ya Elimu, Mkenda peleka Uwekezaji

    Kama kweli tunataka mabadiliko katika sekta ya elimu Profesa Kitila Mkumbo apelekwe ELIMU, mwamba kafanya tafiti haswa kwenye ELIMU. Nimechungulia profile yake huko GOOGLE SCHOLAR unaweza kulia namna ambavyo hatumtumii kwenye sekta husika...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Elimu ya Nchimbi na hadhi ya Chama cha Mapinduzi mdahalo wake ulitakiwa kusimamiwa na maprofesaa na wanaofanya mdahalo wawe PhD holders

    Ningeshangaa Senior lecture katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama bora kabisa Afrika kilicho na katibu mkuu msomi wa kiwango cha PhD akubali kufanya mdahalo na vijana wasio na elimu wenye vyama vya kabatini wenye maneno ya umbea na ya kutunga hongera Sana Dr Nchimbi kwa kuwagomea hawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…