elimu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tuelewane: waliposema education ni ufunguo wa maisha hawakumaanisha elimu ni ufunguo wa pesa

    Watu wanachanganya vitu viwili ambavyo ni muhimu. Maisha yanajumuisha akili za utambuzi, kuishi na watu technically mana dunia haina hira, kuwepa viunzi vingi vya kifo nk Pesa au fedha ni ujanja wa mtu tu bila kujali amezipata kihali au la: Ndo mana wenye pesa mara nyingi wanakufa haraka mana...
  2. JamiiForums Tanzania Naombeni elimu juu ya upima wa shinikizo la damu

    Naombeni elimu jinsi ya kupima shinikizo la damu Nyumbani mzee wangu alinunua kifaa chake cha kupima presha Siku moja Nikapima na mimi Cha ajabu nikakuta shinikizo la damu kwangu lipo kwenye 151/77 Nakapima Tena mara ya pili likawa lipo kwenye 133/ 80 Sasa imekuwa tabia yangu ya kupima...
  3. JamiiForums Tanzania Pemba kunahitajika zaidi elimu ya uzazi wa mpango, Watoto wanateseka

    Naandika andiko hili fupi nikiwa Unguja - Zanzibar baada ya safari ya takribani Wiki Mbili nikiwa kisiwani Pemba. Mimi ni Mwandishi wa habari na nimepata bahati ya kutembelea maeneo mengi Tanzania bara na Visiwani ila nilichokikuta Pemba bado kinanijastaajabisha hadi sasa naandika andiko hili...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa Aeleza Dhamira ya Rais Samia ya Kuboresha Utoaji wa Elimu Nchini

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha nyingi za ujenzi wa vyumba vya madarasa, mabweni na mindombinu mingine ya shule ili kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa kutoa fursa ya idadi kubwa ya wanafunzi kujiunga na elimu ya sekondari na...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha juu cha ELIMU ya Zembwela

    Mwenye kufahamu kiwango cha juu cha ELIMU ya huyu mtangazaji/ Msanii Nguli tafadhali
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanachukia sana Ugali. Kwani ugali una kosa gani jamani?, Wanasayansi njoeni basi mtupe Elimu

    Wadau habari ya Jioni, kwani ugali una shida gani, mimi nilijua ni hapa tu jamiiforum kumbe hata majumbani kwa watu. Mimi ni mzanaki wa pale Kyabakari mbona kule kwetu tunakula ule ugali wa mtama na tupo fresh tu. Tena ukila ugali wa mchanganyiko wa udaga na mtama alafu mboga yako ikawa kuku...
  7. N

    JamiiForums Tanzania TBL imezindua Kampeni yake ya ‘Smart Drinking’ yenye lengo la kutoa elimu ya kunywa kistaarabu

    Katika kusheherekea siku ya bia duniani, Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL), inayoongoza kwa utengenezaji wa vinywaji hapa nchini, leo imezindua Kampeni yake ya ‘Smart Drinking’ yenye lengo la kutoa elimu ya kunywa kistaarabu. Kampeni hii inalenga wauzaji na watumiaji wa bia ili kuwahimiza kunywa...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Diamond amejitolea kumsomesha mtoto wa Dida mpaka anamaliza Elimu

    Wakati wa kutoa pole kwa wafiwa mwanahabari mkongwe, Maulid Kitenge ametoa salamu kwa niaba ya Mkurugenzi wa Wasafi Media bwana Diamond Platnumz ambaye yupo Zimbabwe ambaye msiba umemkuta akiwa huko. Amesema kuwa kuanzia siku hiyo Diamond atabeba jukumu la kumsomesha mtoto wa Dida Shaibu mpaka...
  9. JamiiForums Tanzania Tofati ya Tanzania na Kenya katika Elimu, Mtindo wa Maisha, Siasa na Uwezo wa Kufikiri

    Katika kujadili tofauti kati ya Kenya na Tanzania, ni muhimu kuangazia masuala ya elimu na uwezo wa kufikiri. Kenya imejijengea sifa ya kuwa na mfumo mzuri wa elimu ambao unachochea ubunifu na fikra huru. Hii inawawezesha Wakenya kufikiri kwa kina na kuchukua hatua zinazoendana na maendeleo ya...
  10. JamiiForums Tanzania Elimu iheshimiwe kwa manufaa yake

    Wasalaam.Kumekua na tabia siku hizi hasa kwa wale waliofanikiwa kimaisha kwa njia tofauti na kisomo kuwabeza waliosoma kwamba si chochote. Mfano kuna mtu anaitwa Dotto Magari na Mbunge Msukuma. Hawa wanaponda sana watu walio na Elimu kwamba haina faida. Najiuliza wakienda Hospitali hao...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo vyuo vizuri Tanzania, mambo ya Kuivana kuchagua vyuo vyenye elimu ngumu hayana uzito, baada ya kuhitimu maisha yanaendelea

    Kwa elimu yetu ya hapa Tanzania soma vyuo ambavyo vina network kubwa ya kukuongezea uwezekano wa kupanua goli la oppurtunities (Ajira, Promotion maofisini, Scholarships, Grants, n.k) hata kama huna connection. haya mambo ya kuwa nondo ,kuiva, kujisifu chuo kina elimu ngumu ni hayana uzito...
  12. JamiiForums Tanzania Wahitimu wa elimu ya juu, ujumbe wenu huu hapa

    Mhadhara 32: Lipo kundi la vijana waliohitimu elimu ya juu ambao watazeeka bila hata kumiliki viwanja vya kujenga nyumba ambavyo kwa sasa vinapatikana hadi kwa Tsh 1,000,000. Ni kwasababu kundi hili la vijana wenye elimu za juu wanasubiri ajira za ofisini zitakazoendana na GPA zao za vyuoni...
  13. JamiiForums Tanzania Watu wa IT njooni hapa mtupe elimu kuhusu Starlink

    Habari za muda huu ndugu jamaa na marafiki....... Wana ukumbi kila mtu anajua kero, visa,ubabe na wizi wa hii mitandao yetu tunayotumia kupata mawasiliano.....hivyo basi ni wajibu wetu kupeana mbinu na njia za kupunguziana makali...... Hili suala la kampuni ya starlink kutoka Marekani kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Elimu ya Lazima Miaka 10 kuanza Mwaka 2027/28

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la Mwaka 2023 kuhusu elimu ya lazima kuwa ya miaka 10 utaanza Mwaka 2027/28 ambapo wahitimu wa elimu ya msingi ya miaka 6 watakutana na wahitimu wa mwisho wa elimu...
  15. JamiiForums Tanzania Elimu ya Ukatili yawafikia wavuvi wa Mkuyuni, waonaofanya vitendo hivyo waonywa

    Dawati la Jinsia na watoto Wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza katika kuhakikisha linafikisha elimu juu ya vitendo vya ukatili vinavyofanyika katika Jamii imetoa elimu kwa wafanyabiashara na wavuvi wa mwalo wa Mswahili Mkuyuni huku likiwaonya wanaofanya vitendo hivyo kuwa watachukuliwa hatua za...
  16. JamiiForums Tanzania Kiwango cha Elimu nafasi ya Ubunge iwe angalau Degree, Waziri awe mtaalamu na mwenye uzoefu wa kutosha kwenye sekta husika

    Wakuu, Hivi kwanini tunaendelea na kigezo cha kujua kusoma na kuandika kwa wanasiasa ambao baadae wanakuja kushika nafasi kubwa ambazo zinahitaji mtu awe na upeo na mkubwa? Huku ndio tunapata watu ambao ukiwawekea kengele tu kule mbele wanakuwa kama nyumbu bila kujali lolote. Tunakazana na...
  17. JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Wilaya Meatu, Mahela Godfrey Njile aamua kutoa Elimu ya kipindupindu Kwa lugha ya KISUKUMA

    Mganga Mkuu Halmashauri Ya Wilaya Meatu , Mahela Godfrey Njile akitoa Elimu ya kipindupindu Kwa lugha ya KISUKUMA katika kata ya Mbugayabang'hya. Pia soma: ~ Kihongosi: Baadhi ya Mila na Tamaduni zinachangia Kipindupindu Simiyu ~ Kipindupindu Simiyu kimeshamiri, kinaua ni hatari! Mbona...
  18. JamiiForums Tanzania Katibu Tawala Simiyu: Elimu ya kujikinga na Kipindupindu kutolewa kwa Lugha ya Kisukuma na Kiswahili

    Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Prisca Kayombo amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu kutumia lugha mbili ya Kiswahili na Kisukuma ili kuweajengea Wananchi wasijua lugha ya Kiswahili uelewa wa namna ya kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu. Aidha amemuagiza Mkurugenzi...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Kijana usitegemee sana elimu ya darasani kukupa maisha, tafuta ujuzi au maarifa ya ziada yenye guarantee ya kukupa maisha,

    ukweli ni kwamba elimu yetu ya Tanzania ina malengo zaidi ya kuajiriwa kuliko kujiajiri, vijana wengi wakipata vyeti ndoto huwa ni kuajiriwa, ni almost 2% ya wahitimu huwa wana ndoto nje ya ajira. Uwanja wa ajira upo tofauti sana sio kama mnavyohadithiana vyuoni, Ajira ni chache sana, Vyuo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Maombi ya mikopo ya elimu ya juu

    Tunaomba bodi ya mikopo ituangalie kwa jicho la tatu ambao hatukufanikiwa kukamilisha kuwasilisha nyaraka zote za muhimu kwenye maombi ya mikopo Hata kama muda wa maombi umeisha au watakao kosa kabisa basi mwezi wa kumi lifunguliwe dirisha jingine
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…