elimu

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Ushetu: Wazazi na walezi wekezeni kwenye elimu ya watoto ili kuandaa watumishi wa baadaye watakaolisaidia taifa

    Wazazi na walezi katika Halmashauri ya Ushetu Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwekeza kwenye elimu ya watoto wao ili kuandaa Watumishi bora wa baadaye watakaoisaidia jamii na taifa kwa ujumla. Rai hiyo imetolewa leo Machi 21, 2025 na Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel...
  2. JamiiForums Tanzania Vijana wa Siku Hizi na Nguvu ya Mtandao: Tunajenga au Tunabomoa?

    Siku hizi, mtu akisema hana social media tunamshangaa kama kiumbe cha ajabu. Kila kitu kipo mtandaoni—kuanzia meme, trending stories, biashara, hadi mahusiano. Ila swali linabaki: Vijana tunatumia nguvu hii kujenga maisha yetu au tunajiharibia? 🤔 Nguvu ya Mtandao: Fursa au Burudani Tu? Kuna...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya elimu kupitia halmashauri zenu mbona mnatuchanganya?

    Hizi shule za serikali mnazosema elimu bure mbona mnatuchanganya sana,Kwa watoto wa darasa la saba kuna michango ya limu nzima, Halafu kuna mchango wa kila wiki sh1000 kwa darasa la4 yani kwa mwaka ni48,000 mtoto mmoja ikiwa darasa hilo lina watoto wapo 100 ni 4,800,000 hii pesa yani...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa dini watoa elimu ya Uraia kuhamasisha ushiriki wa Uchaguzi 2025

    Viongozi wa dini Tanzania wamefanya semina elekezi kwa viongozi wa dini mbalimbali pamoja na wananchi kuhusu Elimu ya Uraia nchini Tanzania. Akizungumza na vyombo vya habari Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu Mkuu TEC amesema lengo kuu la semina hiyo ni kuwapa elimu wananchi hasa kipindi...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Milion 65 ni watu wachache sana kutegemegemea soko la ndani. VETA ni uongo wa kuwafukarisha watanzania. Elimu ya juu inaleta technical know how

    Nchi kama nchi au marekani au india ni nchi ambazo zikisema vijana wake waende vocational trainings inakubalika kiuchumi mana soko la ndani linajitoshereza. Tunaposema soko tunamaanisha effective demand (AD). Sisis watanzani ni milion 65 tu ambapo hata mkiwashawishi vijana wajiajiri...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hoja ya sera mpya ya elimu na wahitimu wa vyuo vikuu kwenda VETA ni kichaka cha serikali kujifichia au kukwepa majukumu.

    Kwanza kabisa niikumbushe serikali kwamba swala la tatizo la ajira nchi hii sio swala la ujuzi bali ni swala la DEMAND AND SUPPLY wale ambao wanaosemwa hawana ujuzi nadhani nimeeleweka kiasi chake. Pili Swala la tatizo la ajira ni kushindwa kutafsiri nganzi za elimu ndo maana kila siku...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Serikali/Wizara ya elimu ifikirie kufundisha THINKING kama somo ikiwa wapo serious na kuondoa umaskin

    Ukweli usipingika ni kwamba maendeleo ya mtu/watu/taifa yanaendana na ubora wa ufikiri(thinking) ya mtu/watu. Niwe mkweli tu quality ya ufikiri wa watanzania walio wengi iko chini na inaendelea kushuka.Fanya reseach ndogo tu, ongea na watu kumi randomly unaokutana nao topic za maana au angalia...
  8. JamiiForums Tanzania Mh Kassimu Majaliwa, Mimi nimekubali kwenda VETA KUSOMA USHONAJI, nikimaliza ufundi nikajiali wewe na watu wa BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU mtanifata?

    Naliona anguko kubwa la Bodi ya mikopo ya elimu ya juu, Hivi walipewa mikopo ya elimu ya juu wakienda kuongeza ujuzi veta wakamaliza wakajiari je Bodi ya mikopo itafata marejesho? Binafsi sitokaa niwalipe kamwe.
  9. JamiiForums Tanzania Kama una miaka chini ya 40, pambana ufike Japan

    Japani kuna fursa nyingi za ajira (zisizo rasmi) ila zenye kipato kikubwa ukilinganisha na Tanzania. Maisha ya Japani hayana gharama kubwa ukilinganisha na nchi nyingine zilizo endelea Japani hali ya ubaguzi kwa Waafrika sio kubwa ukilinganisha na mataifa mwngine. Visa ya Kufika Japani ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanaoshabikia VETA hawaujui mfumo wa elimu Tanzania

    Veta ni level 1,2,3. Ukitoka hapo unakuja level 4,5,6 ambapo ni diploma. Ukimaliza hapo ni level 7 and 8 ambayo degree. Sasa utoke uje chini?
  11. U

    JamiiForums Tanzania Nimebubujikwa na machozi ya shangwe mwanafunzi Esther akimshukuru Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa kwenye elimu utakaowasaidia kutimiza ndoto zao

    Wadau hamjamboni nyote? Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa ziarani mkoani Tanga hususani wilaya za Muheza na Mkinga alikutana na mwanafunzi wa sekondari ya magila aendaye kwa jina la Esther aliyemshukuru kwa kufanya uwekezaji mkubwa sekta ya elimu. Wadau nimeguswa sana na tukio hili na...
  12. JamiiForums Tanzania Mwalimu: Afisa elimu wa wilaya ya Ulanga alininyima pesa yangu ya uhamisho

    Mkuu wa wilaya ya Kilombero Wakili Dunstan Kyobya katika kliniki ya Samia mkoani Morogoro akiwa mgeni rasmi aliwapatia walimu wa baadhi ya wilaya kuzungumza changamoto zao ambapo moja ya walimu hao alieleza juu ya kunyimwa stahiki zake kwa makusudi na Afisa elimu huku afisa elimu naye akapewa...
  13. JamiiForums Tanzania Yanga: Hatuna Mwanasheria, Hatuna Watu wenye Busara kwenye Uongozi, hatuna watu wenye Elimu ya kufaa

    Tuna UTOTO MWINGI NA USHAMBA. HILI SUALA NILIMWAMBIA MTU AKAISHIA KUNIITA MIMI MKIA. TUMEKUWA KAMA LAST BORN ALIYEDEKEZWA SANA NA ANAYEPENDA KUDEKA.
  14. JamiiForums Tanzania SHULE NA WANAFUNZI BORA WATAMBULIWE NA WATANGAZWE

    Anayefanya vizuri lazima apongezwe na atambuliwe, haiwezekani mtoto amefanya vizuri mpaka kufikia kuwa Tanzania One lakini hatambuliwi na kupewa heshima yake, vilevile kwa shule zinazofanya vizuri zaidi. Kama kuna kasoro na mapungufu, mamlaka husika ziyafanyie kazi na sio kuondoa utaratibu wa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Elimu ya utengenezaji wa mishumaa

    habari wadau Nahitaji kujifunza jinsi ya kutengeneza Mishuma kibiashara. vipi kuna mtu ana utaalamu nayo? mimi nipo dar
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya bunge ya utawala, katiba na sheria yapongeza uwekezaji wa TASAF sekta ya elimu

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imeeleza kuridhishwa na uwekezaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika miundombinu ya elimu katika mikoa ya Tanga na Pwani, ikisema miradi hiyo ni hitaji kubwa kwa wananchi wa maeneo husika. Kamati hiyo imetoa pongezi hizo siku ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli yaongeza jitihada kufungamanisha sekta ya mafuta na gesi na sekta ya elimu nchini

    Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeendelea kutekeleza programu mbalimbali zinazolenga kufungamanisha sekta ya mafuta na gesi asilia na sekta ya elimu nchini. Miongoni mwa programu hizo ni pamoja na kutoa fursa kwa wadau wa sekta ya elimu kutembelea miundombinu ya uzalishaji...
  18. JamiiForums Tanzania Wazazi tumesahau kuwaandalia watoto vitu vya kimaisha. Tunakomalia elimu ya gharama huku ajira ya kumpa mwanao huna,,Watoto wataenda sana VETA

    Kama wewe ni mzazi una maisha ya kawaida ya kipato chini ya milioni mbili kwa mwezi please please Usisomeshe mtoto shule za gharama kwa matarajio kwamba atapata ajira, utaishia kuumia tu ukisikia maneno aende VETA Wazazi wengi wana site hazijakamilika miaka 10 hadi 15 nyumba haijapauliwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kulikoni Mkuu mpya wa Idara ya ubora wa elimu Uingereza kuzua mjadala?

    Kwa nini huyu mkuu mpya wa idara ya ubora na udhibiti wa elimu wa Uingereza, Sir Hamid Patel amezua mjadala mkubwa sana?
  20. JamiiForums Tanzania Wahitimu wa vyuo na Serikali: Elimu hasa ngazi ya Shahada

    Tanzania ! Tanzania ! Tanzania ! Habari za leo vijana wasomi. Naomba kutoa wazo hapa hasa kwa Serikali dhidi ya Vijana wa elimu ngazi ya Shahada. 1. Serikali tunaweza anzisha "VIJANA SECURITY FUND". Hii ikawa maalumu sana kwa vijana wa taifa letu umri kuanzia miaka 18 mpaka 44. Huu uwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…