Mgombea Urais kupitia Chama cha NLD Doyo Hassan Doyo ameutaja mfumo wa elimu ya Tanzania kuwa ni usio na maslahi kwa wananchi wake.
Doyo amezungumza hayo akiwa katika muendelezo wa kampeni zake Mkoa wa Rukwa katika Wilaya ya Sumbawanga Leo Oktoba 11, 2025 akisema mfumo huo unamfanya mwanafunzi...
Ajira nyingi zina nafasi zaidi kwa watoto wa maboss, watoto na ndugu wa wanasiasa wakubwa, watoto wa matajiri wanaojuana na watu wakubwa, wazanzibari wanaopewa mgao wa ajira ili kubalance muungano.
Halafu sasa kuna upande wa pili wazazi wanofosi kingi bila kujua hatma ya watoto, mmejipangaje ...
Nina classmates waliowahi kusoma nje ya nchi elimu ya msingi kwa shule za Uganda na Kenya.
Walirudi Tanzania kuendelea na elimu ya sekondari hadi vyuo kusomea IT, HR, Accounting, Law, Engineering na procurement.
Ni moja tu alieajiriwa serikalini, hao wengine wapo walio kampuni binafsi wengine...
Machozi, majuto na kuchanganyikiwa kwa wasomi wanaomaliza vyuoni kukosa kazi mtaani. Ndoto zao kuishia kuwa simulizi ndani ya nafsi zao ni msiba mkubwa kwa Taifa letu. Ni wakati sasa wa nchi kujipanga upya. Badala ya kushusha kila mwaka kontena la wasomi wasio na pakwenda, nchi itafakari...
Kwanini hapa Tanzania watu wanaheshimu sana cheti cha form four yaani ikiwa hata kama una GPA ya tano ila form four ukiwa na four unachukuliwa poa.?
Hii inasababishwa na nini mfano yule Mkuu wa Nchi ya Matiyaski Ana masters Ila watu wanambeza Sana wanasema Elimu yake ni fake kisa tu alipata...
Tanzania sio kisiwa na pamoja na sio kisiwa bado ni nchi masikini duniani na ivyo Kiswahili chetu bado hakitatupaisha sana duniani sio kama Kichina, Kijapani au lugha zingine duniani kwenye nchi tajiri.
Cha Kwanza; Kiswahili ifundishwe kote kutoka primary hadi chuo kikuu kama lugha kuu ila...
Mtoto anayemaliza elimu ya shule ya msingi atakua na uwezo ufuatao;-
Uwezo wa kujieleza kwa kujiamini kwa kutumia kingereza na kiswahili
Atakuwa na msingi imara wa kuongea kingereza,
Kutumia computer na kufungua vitu vidogo vidogo kama email, (Tanzania kuna group kubwa la watu hawajui hata...
Kama mada inavyojieleza kipindi hiki cha alfajiri na mapema nakutana na watoto wadogo kwenye usafiri wa umma.. wakiwahi shuleni.
Je, Ndio sera mpya ya elimu?!
Wabunge badala ya kujadili mambo ya msingi kwa ujenzi wa Taifa wamebaki wanasifia mtandio wa mama, goli la mama, waandishi wa mama, machawa wa Mama nk! Embu linganisha na wenzetu Kenya.
Na sasa eti wanaomba mitano tena!
Stupid!
Kwakwel mm nikisikia mtu alianza kusoma kozi Fulani certificate akaenda diploma halaf degree na kuendelea uko mbele napendekeza wawe mafundi au wapewe kazi za matendo zaidi ndo watazimudu kwa asilimia kubwa
Lakn kwenye kuhitaji reasoning, analysing na critical thinking huku tunawaonea sana na...
WEWE UWE UNAKULA TU MBUNYE ALAF WATOTO WAKO WALELEWE KWA HELA ZA KUBABATIZA ZA RUZUKU YA SERIKALI SIO ??
Uchoko wa wa tz unamizizi mikali Sana walahi nawaambia.
Nimekutna na nyuzi mbili mfululizo zinatuhumu walim kwa kutoza michango ili kujipatia kipato nikasitikika Sana as walim huwa...
Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.
Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.
Nina mashaka.
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewakosoa vikali baadhi ya Watanzania wanaoikosoa na kuidharau elimu ya Tanzania, akisisitiza kuwa taifa lina kila sababu ya kujivunia maendeleo yaliyopatikana katika sekta hiyo, hasa chini ya serikali...
Shule ya sekondari Maji ya Chai iko Halmashauri ya wilaya ya Meru, wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha.
Tusilaumu hizi shule, mazingira wala wanafunzi, mchawi mkubwa ni walimu na viongozi wao.
Shule hizi zimetelekezwa, walimu wanafanya shughuli zao binafsi, wengine wana vipindi shule binafsi. Hii...
Hata mlete watoto 1000 kutoka bonyokwa wanaopiga ung'eng'e kama wa Scotland, siwezi mtoa mtoto English Elementary eti nipeleke Kayumba
Hao wenyewe waliomuandaa afike pale apige kiingereza mbele ya hadhara jana, watoto wao wapo elementary 😂😂😂
Moderator mbona mnaweka heading ambayo mimi...
Habari Wana jamvi, tunashukuru Mungu kwa kuamka salama na kwa wale wenye changamoto mbalimbali tunawaombea kwa Mungu awape wepesi kuvuka kipind hiko kigumu,
Back to my topic.
Kuna nafasi 8000 zimetoka kwa ajir ya masomo ya ufundi kama hujaziona waweza tembelea www.kazi.go.tz
Nina mdogo Wangu...
Wazazi wamestuka, Vijana wametuka, zama zimebadilika,
Kwa upepo ulivyo Advance inaenda kupoteza thamani yake, yaweza kugeuka kuwa kapu la taka kwa wanafunzi wanaokosa vyuo.
watu wamepima mzani wa kwenda advance na kwenda chuoni kwa mazingira ya Tanzania ya sasa wamena kwenda advance kuna...
Napata wasi wasi na elimu hii ya tanzania kila kukicha ikichezewa na wizara ya elimu.
Miaka ya nyuma ilikuwa ni kazi sana kuona kundi kubwa la ufaulu ukilinganisha na leo. Kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari.
Sababu ambazo zinanipa mashaka ni kwamba watoto wanamatokeo mazuri ila hawajui...
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa Kidato cha Nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi Novemba 29, 2024.
Matokeo hayo yametolewa rasmi leo, Alhamisi, Januari 23, 2025, na Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Said Mohammed.
Wanafunzi pamoja na wazazi...
(1) Kuna rafiki yangu yeye aliambukizwa "ngoma" na mmama (cashier wa bank fulani) aliyekuja kujiendeleza. Jamaa sasa hivi ni mwendi wa ARVs. Sad indeed.
(2) Kuna sister mmoja agemate yeye alisaidiwa connection mwaka 2012 akaingia Polisi.
(3) Kuna braza mmoja alitokea NMB yeye alikuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.