SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,201
(1) Kuna rafiki yangu yeye aliambukizwa "ngoma" na mmama (cashier wa bank fulani) aliyekuja kujiendeleza. Jamaa sasa hivi ni mwendi wa ARVs. Sad indeed.
(2) Kuna sister mmoja agemate yeye alisaidiwa connection mwaka 2012 akaingia Polisi.
(3) Kuna braza mmoja alitokea NMB yeye alikuja kujiendeleza, alikuwa hapendi shikamoo ilhali alituacha kama miaka 15 hivi. Tulikuwa tunamkwepa discussion groups.
(4) Jamaa yangu alikutana na Mwalimu wake wa Secondary O level darasa moja, chuo kimoja. Wakawa wanaonea aibu..
Kijana mdogo (fresh from school) Uliwezaje kuishi na mibaba/mimama waliokuja kujiendeleza kimasomo chuoni.
~ SIPENDI SIASA ~