elimu bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Serikali inaboresha miundombinu ili Mtoto wa Kitanzania apate haki yake ya msingi ya elimu bora - Prof. Shemdoe

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inaendelea kusimamia uboreshwaji wa miundombinu ya elimu nchini, ili kuhakikisha kila mtoto wa Kitanzania anapata haki yake ya msingi ya elimu bora katika mazingira...
  2. H

    Mlete mwanao kwetu ELITE HOME TUITION umpatie elimu bora ya kweli

    Ndugu mzazi, la sivyo unaweza kumpoteza mwanao kielimu bila wewe kujua. Kwa sasa tumeshuhudia changamoto nyingi katika ufundishaji wa watoto: Mtoto anafundishwa egg lakini anapaka rangi nyekundu, ilhali hakuna yai lenye rangi hiyo. Orange anapaka nyeusi, lakini bado mwalimu anaandika...
  3. Mindyou

    GE2025 Shule ya Sekondari Kipunguni iliyojengwa kwa Tsh Bilioni 2.1

    Wakuu Wakazi wa kata ya Kipunguni wameishukuru serikali kwa kuwezesha ujenzi wa shule ya sekondari ya ghorofa nne ya Kipunguni B. Wakazi hao wamemshukuru Dkt. Samia kwa kutoa Shilingi Bilioni 2.1 ili kukamilisha shule hiyo ambayo inahudumia kata ya Kipunguni na kata za jirani. Jengo hilo la...
  4. M

    ARUSHA TZS Bilioni 99 kwa Elimu Bora!

    ARUSHA TZS Bilioni 99 kwa Elimu Bora! Rais ametumia TZS99bn kujenga shule mpya 34, madarasa 834 mabweni 60 na maabara 78. Rais Samia amejenga shule mpya 27 za sekondari, shule mpya saba (7) za msingi na kujenga vyumba vya madarasa 843 na mabweni 60 ya wavulana na wasichana. Hata hivyo Mama Samia...
  5. Mwamundela

    BEST HOME TUTORING – Elimu Bora Nyumbani Kwako (primary ,Form One to A-Level)

    Habari wakuu, Katika zama hizi ambapo ushindani wa kielimu ni mkubwa sana, wazazi wengi wamekua wakijitahidi kuwapatia watoto wao msaada wa ziada nje ya shule ili kuhakikisha wanafanikiwa kitaaluma. Ndio maana nawaletea huduma bora inayoitwa Best Home Tutoring – Elimu bora, nyumbani kwako. ✅...
  6. N

    CHADEMA; kwa hili mnastahili maua yenu

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ninapenda kuzungumzia kipengele kimoja kilichonivutia zaidi katika Ilani ya mwaka 2020-2025 ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); Sura ya 16, Kifungu namba 16.1 Kipengele b (Ukurasa wa 95) ambacho kinasema: "Katika kutimiza azma ya kujiendeleza...
  7. Miss Zomboko

    Serikali zinapaswa kutoa elimu yenye ubora na kuhakikisha kuwa watoto wote wanaipata bila ubaguzi wowote

    Serikali zinapaswa kutoa elimu yenye ubora na kuhakikisha kuwa watoto wote wanaipata bila ubaguzi wowote. Hili ni jukumu la kisheria kimataifa, na serikali zinaweza kuwajibishwa kwa kushindwa kutoa elimu kwa raia wake wote. Elimu imetambuliwa kama haki ya msingi ya binadamu katika sheria za...
  8. Mindyou

    Wizara ya elimu yaagiza shule zote za Dar Es Salaam kufungwa kwa siku 2 kupisha kongamano la nishati

    Wakuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema kufuatia taarifa ya Serikali kuhusu agizo la baadhi ya Watumishi wa Umma kufanyia kazi nyumbani, Wizara hiyo inaelekeza Shule zote za Msingi, Sekondari na Vyuo katika Mkoa wa Dar es Salaam kufungwa kwa siku mbili January 27 na January 28...
  9. Damaso

    Namna bora kama Tanzania kuwawezesha watoto wetu kupata elimu bora zaidi kupitia ushirikiano na serikali za nchi rafiki

    Hakuna ambaye hapendi kuona mtoto au kijana wake akipata maarifa bora na elimu ambayo mwisho wa siku itamsaidia katika maisha yake. Elimu ambayo inakwenda kumuinua zaidi mtoto na kumfanya awe msaada kwa familia, jamii na taifa kwa ujumla. Ni jambo zuri sana ukimuona mtoto wako akitumia maarifa...
  10. Allen Kilewella

    Ili Elimu yetu iwe bora, wanasiasa wana mchango gani?

    Baada ya kuona matamanio ya baadhi ya watanzania juu ya kuwa na kizazi cha Gen Z kama cha Kenya, nimejikuta najiuliza ni kwa nini tuwatamani vijana wa kenya wakati na sisi tuna vijana wetu wasomi kama wao!? Lakini pia huwa humu kunakuwa na mijadala ya jinsi vijana wa China walivyoiendeleza nchi...
  11. Heci

    Maneno yaliyoandikwa kwenye geti la kuingia Chuo Kikuu cha Cape Town, yana funzo kubwa!

    Kwenye geti la chuo kikuu cha Cape Town nchini Afrika kusini kuna maandishi yasemayo "Ukitaka kuangamiza taifa lolote duniani huhitaji kutumia silaha za nyuklia wala mabomu ya atomic. Njia nzuri ya kuangamiza taifa ni kuharibu mfumo wa elimu. Ruhusu "mbumbumbu" waonekane wamefaulu na wasonge...
  12. R

    SoC04 The government to cut off taxes and subsidize some costs in private schools to reduce school fee burdens on parents

    In Tanzania, education is a cornerstone for sustainable development, serving as the foundation for a progressive society. Presently, parents with children in public schools are relieved of school fees from primary through secondary education. As opposed to parents who choose private schools for...
  13. Last_Born

    SoC04 Elimu Bora: Kuwekeza Katika Kizazi cha Baadaye cha Tanzania

    Elimu ni ufunguo wa maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Kuelekea miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inatakiwa kujikita katika kuboresha mfumo wake wa elimu ili kuandaa vijana kwa ajira za baadaye na kushiriki katika ujenzi wa taifa lenye nguvu na mafanikio. Kuboresha elimu kunahitaji mabadiliko...
  14. I

    Mataifa 20 yenye elimu bora duniani

    Hivi majuzi tulikusanya orodha ya Nchi 20 Bora zenye Mfumo Bora wa Elimu Duniani na katika makala haya, tutaangalia nchi inayoongoza kwa mfumo bora wa elimu duniani. Mitindo ya Elimu Ulimwenguni Takwimu kutoka kwa ripoti ya Takwimu ya Elimu ya Juu ya Ulimwenguni ya UNESCO iliyotolewa mwaka 2022...
  15. BARD AI

    Nini kinachangia ongezeko la matukio ya Ukatili dhidi ya Watoto?

    Kuongezeka kwa matukio ya ukatili dhidi ya watoto nchini Tanzania ni tatizo changamano lenye sababu mbalimbali, zikiwemo: Sababu za Kijamii: * Mtazamo potofu wa kijinsia: Baadhi ya jamii zinaamini kuwa wanaume wana haki ya kuwadhibiti wanawake na watoto, na hii inaweza kusababisha ukatili wa...
  16. L

    Hivi elimu na shule za Tanzania zimekumbwa na nini?

    Kuna rafiki yangu ana mtoto anasoma shule moja ya private yuko kidato cha tatu. Shule yenyewe ni boarding hivyo mtoto ameanza kusoma pale toka kidato cha kwanza na sasa yuko kidato cha tatu. Sasa jambo la kushangaza ni kwamba walimwita mzazi katika likizo hii na kumwambia kuwa mtoto wake siku...
  17. K

    SoC04 Upatikanaji wa Elimu Bora

    Katika Maisha ukikosa mwanzo mzuri basi kila kitu kitayumbayumba mpaka kisimame inahitajika kazi ya ziada kwakuwa chochote kile kikianza na msingi mzuri uwezo wa kustawi ni mkubwa maana watu husema , Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Mmea ili ustawi vizuri lazima uanze na mizizi. Ili nyumba iwe...
  18. Faraja S

    SoC04 Kesho tuliyoiishi

    Watu wanasema "ukitaka kujua umepiga hatua basi simama na uangalie ulipotoka". Kwa sisi watanzania ambao tuna ujasiri wa kuhesabu miaka 62 tangu tupate uhuru wa kuijenga Tanzania tuliyoitaka wenyewe, Je tukisimama na kuangalia tulipotoka tunaona nini? Naomba dakika kadhaa za siku yako niweze...
  19. M

    SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Serikali Ya Uthubutu, Uwajibikaji Mzuri Kwa Maendeleo Bora Katika Sekta Ya Elimu

    Tofauti na awamu nyingine za maraisi waliopita , serikali ya sasa chini ya awamu ya sita ikiongozwa na Raisi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan inaonesha kujenga shule nyingi Kwa ajili ya kutataua changamoto ya ukosefu wa madarasa. Zaidi kuwepo wa Elimu ya bure mashuleni bila...
  20. A

    SoC04 Mfumo wa elimu bora wa kujitegemea na kujiajiri

    Tanzania tuitakayo: Kumekuwa na changamoto kubwa ya vijana walio maliza chuo kukosa ajira , hii inapelekea vijana kuwa tegemezi katika familia zao. Chanzo ya vijana kukosa ajira ni mfumo mbovu wa elimu ambaye inamwandaa mwanafunzi kuja kuajiriwa na sio kujiajiri! Tunahitaji Tanzania ya vijana...
Back
Top Bottom