eid

Eid al-Adha (Arabic: عيد الأضحى, romanized: ʿĪd al-ʾAḍḥā, lit. 'Feast of the Sacrifice') or the Feast of Sacrifice is the second and the larger of the two main holidays celebrated in Islam (the other being Eid al-Fitr). It honours the willingness of Abraham (Ibrahim) to sacrifice his son Ishmael (Ismail) as an act of obedience to God's command. Before Abraham could sacrifice his son, however, God provided him with a lamb which he was supposed to kill in his son's place because of his willingness to sacrifice his own son in the name of God. In commemoration of this intervention, animals are ritually sacrificed. Part of their meat is consumed by the family which offers the animal, while the rest of the meat is distributed to the poor and the needy. Sweets and gifts are given, and extended family members are typically visited and welcomed. The day is also sometimes called the Greater Eid.In the Islamic lunar calendar, Eid al-Adha falls on the tenth day of Dhu al-Hijjah and lasts for four days. In the international (Gregorian) calendar, the dates vary from year to year, shifting approximately 11 days earlier each year.

View More On Wikipedia.org
  1. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Eid Mubarak kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

    EID MUBARAK Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawatakia Waislamu wote Sikukuu njema ya Eid El Fitr
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Sala ya Iddi kitoka Msikiti Mkuu wa Bakwata, Kinondoni DSM: Mgeni Rasmi Baraza la Iddi ni Rais Samia, JK, Salma, Mchengerwa Ndani!. Eid Mubarak!

    Wanabodi Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Karibuni https://www.youtube.com/live/c2Ad4IXVKUU?si=OMJZtMBCkCXGDagu Nimemuona Rais Samia amehudhuria ibada...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Eid Mubarak

    Eid Mubarak
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Eid Mubarak

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anawatakia Eid Mubarak
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania BAKWATA yatangaza sikukuu ya Eid El Fitri kuwa kesho Jumatatu

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limetangaza kuandama kwa mwezi leo Jumapili Machi 30, 2025 hivyo swala ya Idd El Fitri itafanyika kesho Machi 31, 2025. Taarifa iliyotolewa na Bakwata katika mitandao ya kijamii leo Machi 31, 2025 imeeleza: "Muft na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh...
  6. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atoa mkono wa Eid kwa watoto yatima Kagera

    Ikiwa yamesalia masaa machache kuelekea sikukuu ya Eid Al- Fitri ikiashiria kutamatika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani, Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa mkono wa Eid kwa vituo vyote vya kulelea Watoto mkoani Kagera hapo jana tarehe 29/03/2025. Taarifa...
  7. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Eid Mubarak nikiwa angani na Emirates A380 (JFK-DXB-DAR)

    1. Eid Mubarak toka Angani ndani ya Emirates A380 full internet. 2. Ndugu zangu nikiri mm ni mtoto wa Mkulima na bila baraka basi hii mipipa tungekua tunahadithiwa na watoto wa kishua. Lakini kama mnavyojua imebaki historia . Nakwea pipa hadi inakera.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Saudi arabia wameingiza mapato 8 Billion usd kwenye mwezi wa ramadhani na EID kutoka kwa watalii milioni 122 waliokuwenda kusali ibada za Umra

    hizo hela ni nyingi zaidi ya mara mbili ya hela zilizotumika kujenga bwawa la umeme rufiji, imagine saudia wameingiza mwezi mmoja tu
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu Mkoani Tanga waswali Swala ya Eid el Fitr

    Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wanaofuata mwezi mwandamo wa kimataifa, leo Jumapili Machi 30, 2025, wameswali Swala ya Eid el Fitr, baada ya kuhitimisha siku 29 za mfungo wa Ramadhan. Pichani baadhi ya waumini hao wakiwa katika Uwanja wa Ramole jijini Tanga wakihudhuria swala hiyo leo...
  10. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tamasha la Eid MUBARAK Arusha kufanyika CBD!

    Siku ya Eid El Fitr kutakua na tamasha kabambe Jijini Arusha mitaa kadhaa kufungwa Nyama, pilau, Burudani na DUA kama zote. Asante Sana Mheshimiwa kutujali
  11. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Eid Mubaarack. تقبل الله منا ومنكم

    Kesho jumapili ya tarehe 30 march 2025 ni sikukuu ya Eid Al fitri kwa waislamu wote duniani. Eid hii inakuja baada ya kuonekana mwezi wa shawwaal (mfungo Moshi ) ambao ni alama ya kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Taarifa za kuonekana mwezi wa shawwaali zimepatikana toka mataifa...
  12. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Mapumziko ya Eid el Fitri ni siku ngapi?

    Wajuzi naombeni msaada juu ya hili.
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DAWASA yatoa mkono wa Eid kwa makundi ya Wahitaji Kijitonyama

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika hatua ya kujali na kuthamini makundi maalumu katika jamii, imetoa msaada wa mahitaji ya kibinadamu katika kituo cha Makao ya Kulea Watoto Yatima, kilichopo mtaa wa Nzasa, Kata ya Kijitonyama Wilaya ya Ubungo. Hatua hii ni...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Taifa la Tajikistan lenye asilimia 96% waislamu, lakataza uvaaji wa hijab, na watoto kutohudhuria sherehe za eid

    Wameamua kurudia mavazi yao ya asili sio haya mambo ya kufanya wanawake wanatembea mjini kama mazombi au mizimwi wameghubika madude meusi kote...... Dunia inaendelea kupata elimu. ====================== Tajikistan, a 96% Muslim country, BANS women from wearing the Hijab. Children will also be...
  15. Roca fella

    JamiiForums Tanzania Eid Al Adha jamii forums

    As salaam alaikhum ndugu zangu Wana jamii forums Leo ni sikukuu Eid Al Adha tusherekee kwa pamoja tufurahie, tudumishe amani upendo na umoja katika Haki. Mola mtukufu awalinde na kuwabariki Sana Nasherekea sikukuu na uvutaji wa bangi tulivu.
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mwaliko na masharti ya ajabu Eid

    Sikutegemea kama rafiki yang kipenzi utakuwa na roho mbaya kiasi hiki aisee! Yani bila aibu kwenye mualiko wako unanimbia kuwa nikija kwako kula mwisho sahani moja.? Aisee umenifunza kitu.
  17. Sauti Moja Festival

    JamiiForums Tanzania Salam za Eid al-Adha kwa wana jamii forum kutoka Sauti Moja Festival!

    Tunawapongeza kwa sikukuu hii ya kipekee, inayotukumbusha umuhimu wa kujitolea, imani, na mshikamano. Tunawatakia baraka nyingi, afya njema, na amani tele katika kipindi hiki cha Eid. Tunatumaini mnafurahia sherehe hizi pamoja na familia na marafiki, huku mkikumbuka umuhimu wa kusaidiana na kuwa...
  18. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Nawatakia Eid Al Adh'ha njema

    Wapendwa wote salaam, Mwenyezi Mungu awe nasi sote kwenye Maadhimisho haya ya EID AL ADH'HA, 2024. Naomba tukumbuke kuwalinda watoto wetu wawe salama pamoja na makundi yote yenye mahitaji maalum wakati wote wa kufurahia Sikukuu hii kubwa, In Sha Allah, Amina, Heri ya Sikukuu kwetu sote.... 🌹
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Nimetafuta Wimbo Wa Eid El fitri Wa kisukuma nimeukosa

    Kwa kuwa wasukuma ni miongoni mwa makabila makubwa nchini, bila ya shaka wasukuma kadhaa ni Waislam. Kwa mintarafu hiyo nikapata shauku ya kusikiliza Wimbo angalau mmoja ulioimbwa Kwa kisukuma kusherehesha siku kuu hii nimeukosa kabisa. Kama Kuna mtu ana wimbo ulioimbwa kwa Kisukuma maalum Kwa...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nimeona tofauti ya Pasaka na Eid. Nilikuwa nafanya utafiti

    Pasaka zote mbili hazikujaza watoto mtaani. Nlijaribu kupitia beaches kadhaa Kigamboni na Mbezi hadi Kunduchi. Watoto wengi walikuwa na wazazi wao na walikuwa wanachungwa sana. Hawapati sana nafasi ya kujiachia. Wapo. Chini ya uangalizi. Hii si nzuri sana mnawafanya watoto wanakuwa wapole sana...
Back
Top Bottom