duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Halotel ndio unaweza ukawa mtandao mbovu zaidi duniani

    Kila siku halopesa inasumbua yani imeshakua kawaida, halafu nao wamekua na tabia kama ya mbogamboga ya kuwalipa machawa wawasifie kwenye comment! Naona leo mambo yamekua magumu machawa nao wamezidiwa nguvu wameona wafunge comment kabisa TCRA wanaruhusuje watu kama hawa kutoa huduma kwa...
  2. JamiiForums Tanzania El Mencho ndiye bosi wa dawa za kulevya anayeogopwa zaidi na mwenye ushawishi mkubwa zaidi duniani kwa sasa.

    Nemesio Oseguera Cervantes, anayejulikana zaidi kama El Mencho, alizaliwa Juni 17, 1967 katika kijiji kidogo cha Michoacán, Mexico. Alikulia katika familia maskini, akikabiliana na ukosefu wa fursa na mazingira magumu ya vurugu na umasikini, ambayo yaliunda msingi wa akili yake ya kibiashara na...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Dr Zakir Naik adaiwa kusilimisha zaidi ya watu 100,000 kuingia kwenye Uislamu duniani

    Mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu, Dk. Zakir Naik, anaendelea kutajwa na wafuasi wake kuwa mmoja wa wahubiri wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani, baada ya kudaiwa kuwa amechangia kusilimisha zaidi ya watu 100,000 kuingia katika Uislamu kupitia mihadhara yake na mijadala yake anayokuwa anafanya...
  4. JamiiForums Tanzania Hitler aliwekeza katika kutafuta nguvu za miujiza na uchawi kwa kuwatuma watu wake duniani kote wakazisake ila hawakuambalia chochote.

    Alifanya hivi ili iweze kumsaidia katika ambition yake ya kuitawala ulaya nzima. ila wewe 35+ bado unaaamini haujapata mganga mzuri na mafuta uliochukuwa kwa ben haukuyaambatanisha na sadaka nzuri ndio maana tabu hazijaisha
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kuna watu hapa duniani wana gubu kama watoto wa nje ya ndoa, watoto wa kambo, watoto wa mke mdogo na watoto wanaolelewa na ndugu?

    Hawa ni wafalme na malkia wa kunung'unika muda wote, wanafiki wa kuchonganisha na muda wote huwa wanawaza jinsi gani mali zitakavyogawa. Bastard children!!!
  6. JamiiForums Tanzania Ratiba ya mechi za ligi mbalimbali duniani wikiendi hii Januari 24/25

    Wikiendi hii, mashabiki wa soka wanatarajiwa kushuhudia burudani ya kiwango cha juu kutoka viwanja mbalimbali duniani, huku mechi kubwa zikipamba ratiba, ikiongozwa na Manchester Derby huko England pamoja na fainali ya AFCON 2025 inayosubiriwa kwa hamu kubwa barani Afrika. EPL & CAFCL...
  7. JamiiForums Tanzania Nina uhakika 90% ya wanaJF humu hawajui kuwa 90% ya utumwa duniani ulifanywa na waarabu lakini 80% hawajui kuwa 80%+ ya utumwa uliwezeshwa na machifu

    Lakini jibu la maswali haya yote tumefundishwa ni mzungu. Ukatili wa biashara ya watumwa ya Waarabu ulijumuisha ukatili wa kulazimishwa kuvuka jangwa na bahari, unayanyasaji wa kingono kwa wanawake na wanaume, kuwahasi watumwa wa kiume ili watumikie kama matowashi. Biashara hii, ambayo ilidumu...
  8. JamiiForums Tanzania Siku ya mwandiko duniani: Mwalimu wako aliyekufundisha mwandiko unamkumbuka?

    Wakuu, Leo ni siku ya muandiko duniani. Kuna wale walimu wetu ambao walikuwaga wanatufundisha jinsi ya kuandika (kuunda maneno na kuumba herufi) Kwanza wanakuwaga wabibi fulani hivi na wanakuwaga very strict.
  9. JamiiForums Tanzania Je unajua ni sarafu/pesa ipi inathamani kubwa zaidi duniani? Njoo hapa nikujuze!

    Watu wengi hudhani Dollar ndio safaru yenye thamani zaidi duniani ila ukweli ni kwamba Dollar ipo nafasi ya kumi kwenye sarafu zenye thamani zaidi duniani huku nafasi za mwanzo zikishikwa na sarafu kutoka nchi za uarabuni kwa sababu ya biashara za mafuta. Na hii ndio list ya sarafu zenye...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Sehemu nyingi Duniani zilifurahia Morocco kufungwa?

    Nadhani Morocco kuna kitu wajifunze. Jamaa pengine ile kubebwa iliwafanya wachukiwe na watu wengi. Hadi nchi za Kiarabu nyingine zilifurahia tukio hili.
  11. JamiiForums Tanzania Elimu tata duniani zilizopigwa marufuku kufundishwa vyuoni

    Hapa kuna orodha ya baadhi ya elimu/mada tata ambazo zimepigwa marufuku au kuzuiwa sana kufundishwa vyuoni katika nchi mbalimbali duniani (hadi mwaka 2026): - Afghanistan (chini ya Taliban) - Masomo yote yanayohusu haki za wanawake - Gender studies / Jinsia na masuala ya kijinsia -...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Jumapili toka kwa Godbless Lema: Kwanini tuko duniani

    Usipokuwa makini katika maisha na kutafakari kwa kina, unaweza kujikuta unaishi bila kusudi. Ukizaliwa, unaishi kwa ajili ya kula, kunywa, mapenzi, kuzaa, kuzeeka na hatimaye kufa. Kukosa purpose ya maisha ni tatizo kubwa sana, na ndilo chimbuko la ujinga na upumbavu kutawala duniani. Bila...
  13. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Madaktari waongoza kwa kuaminika zaidi duniani, Wanasiasa washika mkia

    Utafiti mpya wa kimataifa uliofanywa na Ipsos Global Trustworthiness Index 2024 unaonesha kuwa madaktari ndio taaluma inayoaminika zaidi na watu duniani kote. Zaidi ya asilimia 58 ya washiriki walisema wanawaamini Madaktari, ikifuatiwa na Wanasayansi (56%) na Walimu (54%). Utafiti huo...
  14. X

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hawajui kinachoendelea nchini na duniani

    Kuna mabinti, wanawake na madem wengi wanachosha kuzungumza nao. Hawana uelewa wa kinachoendelea nchini, duniani, kwenye tech, siasa, uchumi na biashara wala mada pana. Mazungumzo yao ni kuhusu drama za celebrities kama kina Diamond na Zuchu. Kutwa kufuatilia watoto wa Paula na Marioo. Halafu...
  15. JamiiForums Tanzania MOI yaendelea kuwa kinara wa tiba ya mifupa Duniani

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kung’ara katika utoaji wa huduma za matibabu ya mifupa katika ukanda wa nchi zinazoendelea na zinazopokea ufadhili wa vifaa tiba vya upasuaji wa mivunjiko ya mifupa kutoka shirika lisilo la kiserikali la nchini Marekani, Surgical...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Vurugu za Oktoba 2025 zimebadili taswira ya Tanzania duniani

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema mwaka 2025, Tanzania ilikabiliwa na vurugu wakati wa uchaguzi ambazo hazijawahi kutokea tangu nchi ilipopata uhuru mwaka 1961. Soma pia: Waziri Kombo: Tumestahimili mtihani mzito wa Oktoba 29, Dunia...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani kusitisha kwa muda usojulikana utoaji wa viza kwa nchi 75 Duniani ikiwamo Tanzania rasmi kuanzia tarehe 21 January

    Kitengo cha serikali ya Marekani maarufu kama "State Department" kimetangaza kusitishwa kwa utoaji wa viza za kuingia nchini Marekani kwa nchi zipatazo 75 nyingi zikiwa ni kutoka barani Afrika Tanzania ikiwemo. Sababu ilotolewa na kitengo hicho imesema raia kutoka katika nchi hizo wafikapo...
  18. JamiiForums Tanzania Tabia 10 Muhimu za Mafanikio ambazo utazikuta kwa kila tajiri kokote duniani

    13 jan 2026 Tabia 10 Muhimu za Mafanikio ambazo utazikuta kwa kila tajiri kokote duniani 1.Lala mapema 2.Amka mapema msimulizi 3.Soma kitabu atleast 20dk/siku 4.Fanya mazoezi kila siku 5.Tengeneza ratiba na uifate na usiivunje ratiba yako kirahisi 6.usikate tamaa 7.weka malengo na na...
  19. JamiiForums Tanzania Siri ya Waislamu kuwa na Amani kuliko watu wengine hapa duniani

    My people, Kwa Nini Waislamu Huishi Kwa Amani: Imani ya Kuamini Mtoa Riziki ni Allah na Kadari Iliyokwisha Andikwa Moja ya nguzo kuu zinazowatofautisha Waislamu katika mtazamo wa maisha ni amani ya ndani wanayoilea mioyoni mwao. Amani hii haiji kwa bahati, wala haitokani na wingi wa mali au...
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo la magonjwa ya akili duniani limekuwa kubwa sana. Dalili moja ya ugonjwa wa akili ni kutaka kusikia shari kila muda.

    Mtu mwenye matatizo ya akili akisikia mahali kuna ajari anapata furaha moyoni. Akisikia wamekufa wachache au hakuna maiti kwenye ajari hiyo basi moyo wake hupoteza furaha. Akisikia Iran kuna vita anapata raha sana. Mostly ya watu ambao wanajifanya kuchukizwa na mauaji ya October 29 -31 moyoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…