Hii video imenifanya nitafakari, kweli hapa duniani tunapita; unaweza ukapambana ili uweze kuishi miaka mingi; lakini viungo vya mwili vikaendelea kuchoka na hatimaye kupoteza ufanisi wake, mfano macho, ngozi n.k na mwisho wa siku moyo kushindwa kufanya kazi yake na kupata umauti.