duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tarehe 30/9 ni siku ya tafsiri duniani. Chukua zawadi yako

    Kila mwaka tarehe 30/9 dunia inaadhimisha siku ya Tafsiri duniani. Siku hii ilianzishwa ili kumuenzi Mtakatifu Jerome aliyefariki tarehe 30/9/420. Huyu alifanya kazi kubwa ya kufasiri biblia na hujulikana kama baba wa watafsiri/wafasiri. Chukua zawadi yako hapo. Usisahau kuinstall app ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Gaddafi na Saadam waliokuwa wafadhili wakuu wa ugaidi kuuawa, ni vizuri Iran isambaratishwe ili Ugaidi uishe kabisa duniani

    Kwanza tuelewe , ugaidi na uislamu ni vitu viwili tofauti. Tujikumbushe nyuma kidogo kisa cha kuuawa kwa Gadaffi wa Libya na Saadam wa Iraq , pamoja na yote wale ndio walikua wafadhili wakubwa wa makundi ya kigaidi duniani. Walitumia mabilioni mengi kufadhili makundi hayo duniani kote, Baada...
  3. JamiiForums Tanzania ONYO: Hivi ndivyo vitu vya kuogopwa uwapo Duniani

    Mungu, Urusi, Wanawake, Israeli; na, Kifo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Duniani kuna karma na hakuna kitu kinachoitwa Albadir, Albadir haina madhara yoyote

    Albadiri nayo ni scam, kama scam nyingine. Karma ipo na inafanya kazi hili halipingiki. Msemo wa malipo ni hapahapa duniani ndio "karma hiyo". Ukifanya mema utalipwa mema na ukifanya mabaya utalipwa mabaya kama kawaida. Kitu kinachoitwa Albadir hakina nguvu yoyote ile , hakijawahi kuwepo na...
  5. JamiiForums Tanzania Sakata la Diddy limeonesha wengi wanachukia masuala ya ushoga

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sakata hili limerahisisha Sana kujua kuwa hata mashoga waliopo Duniani hawapendi kuwa vile walivyo isipokuwa kûna Ñguvu ya ziada zinawalazimisha kufanya Yale wanayoyafanya. Mataifa Makubwa na Watu wengi wa Ulimwengu wa Kwanza wamekuwa Mstari wa mbele Kúpigania...
  6. JamiiForums Tanzania Kuonana na P.Didy ndiko kulikompa kichwa Diamond na kupata ndoto ya kuwa "Tajiri Namba 1 Duniani"

    Lakini sasa itakuwaje? Maana mentor tayari yameshamfika shingoni huko Marekani!
  7. JamiiForums Tanzania Hakuna mtu duniani amewahi kuwekewa mikono kichwani na wazazi wake wakamwombea jambo bila mafanikio.

    Hello! Mimi ni mtumishi wa Mungu, I know God. Sio mtumishi wa kuenenda kwa hisia. Hata nikimwombea mtu jambo siishii tu kumwambia amini utaponywa au utatendewa. Nitamwombea mpaka nipate jibu kutoka kwa Mungu kuhusu situation yake. Nimegundua jambo ambalo watu wengi wakilichukulia maanani...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe amefikisha ujumbe duniani. Na amethibitisha ni shujaa

    Shujaa wa wiki hii
  9. JamiiForums Tanzania Mashirika10 yenye Nguvu Duniani (powerful organization in the world)

    10.M16 ( shirika la kijasusi la uingereza) 9.kampuni ya Apple 8.ICBC ( benki ya kiselikali ya china) 7.CIA 6.Serikali ya india 5.Umoja wa ulaya 4.Serikali ya Russia 3.Serikali ya china 2. Serikali ya marekani 1.Illuminate / Freemasoni sorce: World data 3D
  10. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mabunge Duniani wajihakikishia ushirikiano endelevu na Umoja wa Mataifa

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amethibitisha kuwa ushirikiano endelevu baina ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Umoja wa Mataifa (UN) ni wa muhimu katika kutekeleza ajenda mbalimbali za pamoja kwa manufaa ya...
  11. JamiiForums Tanzania Raisi wa CAF Dkt. Motsepe ndiyo Rais pekee duniani ambaye hapokei mshahara mwisho wa mwezi

    Hapokei hata Senti kumi linapokuja suala la malipo ( mshahara ) Anajilipia/kugharamia kuanzia: a) Usafiri b) Makazi c) Malazi nk. Pia timu yake anayoimiliki yaani MAMELODI SUNDOWNS (Masandawana) gharama zote za uendeshaji analipia yeye pia. Kina Abou Hany, Samuel Eto'o na Fouzi...
  12. JamiiForums Tanzania Hapana duniani watu wanaojinasibu wanaujua ulimwengu kumbe hawaujui ulimwengu wanaouishi!

    Sikia! Kila kitu kina mlango ili ukiingie! Hata wanzinzi, wezi, mafisadi, nk kabla ya kufanya tukio ujiuliza nitaingilia wapi? Ukitaka kuingia kwako hata chumbani kwako lazima upitie mlangoni! Sijali kama unaamini au huamini (atheists) lakini ujue kuna mfumo uliounda ulimwengu tunaoishi una...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa Hezbollah Sayyed Hassan Nasrallah kutoa hotuba nzito mbele ya waandishi wa habari duniani kesho alhamisi Septemba 19

    19:30 TODAY THURSDAY SEPTEMBER 19,2024 LATEST UPDATES FROM THE SPEECH OF HEZBOLLAH CHIEF NASRALLAH: Israel strikes southern Lebanon as Hezbollah leader condemns fatal device attacks Israel has launched air strikes on southern Lebanon as Hezbollah leader Hassan Nasrallah condemns this week’s...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi hii tabia ya wizi ni kwa watanzania tu au duniani kote

    Natumai wazima. Unakuta kijana kaangaika miaka kibao kutafuta ajira tena na maombi ya kutosha kwa Mungu lakini baada tu ya kupata ajira anaanza kuangalia mwanya au udhaifu upo wapi ili apige na yeye akanunue kigari atambe mjini alafu wenyewe wanaita et marupurupu wakati huu ni wizi. Hii tabia...
  15. JamiiForums Tanzania Vitu gani vinaonyesha udhihilisho wa uwepo wa Mungu hapa duniani? Hata kama wewe ni atheist!

    Angalia majengo ya makanisa mtaani kwako, kwenye maeneo yote uliyowahi kutembelea! Angalia gharama za ujenzi wa hayo majengo! Angalia watu wanaohubiri injili katika maeneo ya makusanyiko stand za magari, matamasha, nk. Hawa watu usidhani wote ni wajinga! Haiwezekani kuongelea kitu ambacho hakipo!
  16. JamiiForums Tanzania Iraq (babylon) chanzo cha maasi duniani

    Tujifunze kidogo kuhusu taifa LA Iraq🇮🇶 Iraq ni taifa lenye history kubwa kuliko matafa mengi duniani Wanadamu wa kwanza (Adam na Hawa)waliishi hapa katikati ya mito ya Tigris na Euphrates Dhambi au uasi ulianzia hapa na hawa watu na kusambaa duniani kote Eneo hili ndipo Adam alimuasi Mungu...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa moja ya nchi 10 zenye watu wengi zaidi duniani ifikapo 2100, kuizidi Mexico, Japan na Brazil!

    Ifikapo mwaka 2100 Tanzania itakuwa kati ya nchi 10 kubwa zaidi duniani kwa idadi ya watu. Pia Tanzania itakuwa moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi duniani.
  18. JamiiForums Tanzania Majukumu matatu ya binadamu duniani

    Kwa game lovers naamini mmewahi kukutana na huu msemo kwenye gemu fulanifulani, "Surviving is winning, Franklin. Everything else is bullshit." Yes! Kwenye quote hio nitaongeza vitu viwili na kwakweli ukitoa orodha ya hivi vitu vitatu nitakavyovitaja hapa, vingine havina maana kabisa na...
  19. JamiiForums Tanzania Godbless Lema ana PHD ngapi mpaka awe mjuvi wa kila jambo duniani?

    Hivi majuzi nimesoma post ya mtu anayeitwa Julius Mtatiro (siku indie Mhe DC ama majina yamefanana) amepost hio post huku pembeni yupo Godbless Lema Mbunge Mstaafu wa Arusha. Baada ya kuisoma post hiyo nikajipa assignment kufuatilia platforms zote za Mbunge Mstaafu wa Arusha, nikajikuta nastuka...
  20. JamiiForums Tanzania Erdogan ahimiza umoja wa waislamu duniani kupambana na Israel.

    Kwa mara nyengine tena raisi wa Uturuki ,Tayyib Erdogan amekuja na pendekezo la kupambana na Israel ili kuwatetea wapalestina na kujikinga na hatari za kujitanua kwa Israel kwenye maeneo ya waislamu. Pendekezo hilo amelitoa hapo juzi kwenye hafla ya shule moja ya kiislamu nje kidogo ya jiji la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…