duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la lugha kwa waandishi wa habari; Gazeti la Guardian la IPP Media ladokeza kwamba Joseph Kabila, Kikwete, Uhuru Kenyata hawapo tena duniani!

    Katika makala yake kuonyesha muda mrefu ambao Raisi Yoweri Museveni wa Uganda amekaa madarakani, gazeti la Guardian limeandika kwa namna ya kuonyesha watu kadhaa waliokuwa maraisi hawapo tena duniani, wakati bado wako hai! Haya ndiyo waliyosema Guardian. Museveni surpasses 18 EAC counterparts...
  2. JamiiForums Tanzania Nimepatwa na maajabu duniani baada ya kununua na kusoma kitabu fulani

    Jamani wapendwa nasumbuka usiku na mchana, mimi (naishi ulaya lakini mkenya) kuna kitabu moja nilinunua (amozon.com) nikafanya ilivyo andikwa, sio kitabu kibaya (nitapost mkione) lakini yanayo nikumba kwa sasa ni makubwa. Hio kitabu nilinunua mwezi 01. 2024. Baada ya kusoma na kufuata maagizo...
  3. JamiiForums Tanzania Google yapigwa faini ya Tsh. 56,076,872,348,484,000,000,000,000,000,000,000,000,000 na Urusi, ni kiasi cha fedha ambacho hakipo duniani

    Kampuni ya Google imepigwa faini ya rubles bilioni 2 (takriban $2.5 decillion) nchini Urusi kwa kukataa kufungua akaunti za pro-Kremlin na vyombo vya habari vya serikali, kama ilivyoripotiwa na RBC. Adhabu hizo zilianza kwa kutozwa faini ya kila siku ya rubles 100,000 mwaka wa 2020, ikiongezeka...
  4. JamiiForums Tanzania Ripoti WHO: Kuna ongezeko kubwa la Wagonjwa wa Kifua Kikuu duniani

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limechapisha ripoti mpya kuhusu hali ya Kifua Kikuu (TB) ikifichua kwamba takriban watu milioni 8.2 waligunduliwa hivi karibuni kuwa TB mwaka wa 2023 - idadi ambayo ni kubwa zaidi iliyorekodiwa tangu WHO ilipoanza ufuatiliaji wa TB duniani mwaka 1995. Hili...
  5. JamiiForums Tanzania Barabara za Dar zinafanana na za sehemu gani nyingine duniani?

    Tuseme ukwel kabla mambo hayajaharibika sana. Kuna muendelezo wa vitu ambavyo pengine baadae vikaleta matatizo makubwa sana. Wakati wenzetu wamepanua njia zao kwenda kwenye 6 to 8 lanes, sisi tunatumia millions of USD kujenga highly ineffective highways. Kuna watu ukiwauliza watachekelea...
  6. JamiiForums Tanzania Familia yenye maprofesa wengi zaidi Duniani

    THE KINDIKI FAMILY 1. Prof. Jonah Nyaga Kindiki, International Education and Policy, Dean of Faculty of Education, Moi University; 2. Prof. Isaiah Iguna Kindiki, Soil Science, Vice Chancellor, KCA University; 3. Prof. Moses Mpuria Kindiki, a Political Economy and Development Researcher...
  7. JamiiForums Tanzania Jeshi namba 6 kwa ubora duniani likaiokoe Congo DRC.

    Sasa yatosha, majirani zetu wanateseka sana. Ni wakati sasa jeshi letu pendwa (JWTZ) kwenda kufanya operation nyakua nyakua kutokomeza waasi wote na kuiacha DRC salama. Ikumbukwe kuwa kwa mujibu wa msemaji wa JWTZ, jeshi letu ni namba 6 kwa ubora Dunani. Sasa haliwezi shindwa kazi ndogo kama hii.
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini tupo duniani?

    Wasalaam katika Jina la Mwenyezi Mungu.... Moja kwa moja kwenye mada... Tupo duniani kwa Neema ya Mwenyezi Mungu (upendo wake kwetu). Tupo duniani ili kumpendeza yeye aliyetuumba na kutii maagizo yake.... shetani (malaika aliyeasi)alikuwepo kabla ya kuumbwa sisi...
  9. JamiiForums Tanzania China inaongoza kwa ulaji wa nyama ya Nguruwe Duniani

    Nchi ya China ndiyo inayoongoza Kwa wananchi wake kwa ulaji wa nguruwe duniani. Inakadiriwa wananchi wa China hula wastani wa kilo 70 za kitimoto kwa mwaka. Nchi namba mbili ni Belarusia Ikifuatiwa namba tatu na Korea ya kusini, Jumuiya Ulaya na Vietnam kwa pamoja. Kwa Afrika, Afrika ya...
  10. JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea Hasa marekani na ulaya wanachukua rasilimali Afrika na huku wakituambia ni nchi masikini Duniani. Tujitafakari

    Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake wanatafuta hela kwa lengo la kutupindua wanaume ili waishi wenyewe iwe rahisi kuongeza maasi duniani

    Salaam sana " Watakuja masingle maza hapa na wanawake mafeminist pamoja na wanaume wajinga na wavivu kuwajibika kupinga waraka huu wa kweli kuhusu hawa viumbe wazuri malaika na mauwa ya duniani zawadi kwa wanaume, wanao tafuta hela zao wenyewe" Ndugu zangu kama tujuavyo tokea enzi na enzi...
  12. JamiiForums Tanzania Orodha ya Vyama vya Siasa vyenye Wanachama wengi duniani (According to Wikipedia)

    According to Wikipedia Vyama vikubwa ni Bharatiya Janata Party BJP, Chinese Communist Party; Indian National Congress; hivyo vina wanachama zaidi ya 50 million Between 5 to 50m CCM ipo namba Tisa ikiwa na wanachama 12 million Democrats USA; Namba 5 (45 M) Republican USA Namba 6 (36M)...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa CHADEMA wako karibu mataifa yanayounga mkono uonevu?

    Ukaribu wa Sugu na balozi wa Marekani ni wa kiwango cha "infomer" au agent wa taifa hilo. Kila chadema wakipanga tukio, huwa linatanguliwa na balozi wa Marekani na Sugu kukutana. Possibly Sugu pia ni carrier anayelink chadema na ubalozi huo. Wengine wanasema kwamba akiwa anatoka katika ubalozi...
  14. JamiiForums Tanzania JE wajua ni Tanzania pekee Bunge hukutana kujadili matundu ya vyoo vya shule na zahanati? Duniani ni Tanzania pekee

    Bunge la Tanzania baada ya miaka 60 plus unakuta mjadala unahusu choo cha zahanati, kwamba real watu wanakutana Dodoma kujadili Choo cha zahanati fulani. Unakuta wanajadili Madaraja na Makaravati, wanajadili matundu ya vyoo vya shule. Na raia walivyo wajinga ndio vitu wanapenda kusikia, yaani...
  15. JamiiForums Tanzania Hapa! Nimemkubali Tulia Akson! Mkuu wa mabunge yote duniani kutoka Tanzania

  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Mwanaisha Ulenge katika Mkutano wa Jukwaa la Wabunge Wanawake wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)

    MHE. ENG. MWANAISHA NG'ANZI ULENGE KATIKA MKUTANO WA JUKWAA LA WABUNGE WANAWAKE WA IPU Mhe. Eng. Mwanaisha Ng'anzi Ulenge ameshiriki katika Mkutano wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani unaofanyika Jijini Geneve, Switzerland Wenye Mada Kuu ya kuunganisha Sayansi na Ubunifu kwa Amani na Kesho...
  17. JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeshiriki maonyesho ya wiki ya chakula duniani ambayo kitaifa yanaendelea Mkoani Kagera

    Na Mwandishi Wetu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeshiriki maonyesho ya wiki ya chakula duniani ambayo kitaifa yanaendelea Mkoani Kagera. Akifungua maonyesho hayo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Mkuu wa Wilaya ya Muleba Dkt Abel Nyamahanga amesema Mkoa wa Kagera unakabiliwa na changamoto ya...
  18. JamiiForums Tanzania Habari, matukio na yanayojiri duniani leo hii

    Tupia hapa, kwa mistari michache na ikiwezekana link ya kwenye habari kamili kwa habari, matukio na yanayojiri duniani leo hii.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Diaspora Tanzania umefia wapi? Tunao kweli wanadiaspora Duniani au ukanjanja mwingi?

    Nawatafuta wanadiaspora watueleze kwanini hawana mchango chanya kwa nchi yao. Kwanini hawana vitu vyakuonekana vinavyoweza kusaidia kusukuma Agenda yao mbele ya wanasiasa na watoa maamuzi nchini? Mhe. Rais ameonyesha nia njema yakusupport Movement zao lakini wao huko Duniani wamegawanyika kila...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Duniani Mawaziri wa Fedha hawana historia ya kuwa Marais?

    Mawaziri wa fedha katika nchi nyingi Duniani hawana historia yakuwa Marais wa Nchi. Lakini ni mawaziri wachache wa fedha ambao upendwa na wananchi baada ya kushika wadhifa huo. Ni zipi zinaweza kuwa sababu za viongozi hawa wa potifolio muhimu serikalini kutoaminika na kupewa nafasi ya juu? Ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…