dunia

  1. B

    JamiiForums Tanzania Naibu wa Nasrallah aihutubia dunia kuweka mustakabala wa vita Lebanon

    Bila shaka Natenyahu naye alikuwa mbele ya runinga: Kwa muda wote hadi sasa Israel imeshindwa kusonga mbele kusini mwa Lebanon. Uwezo wao uko pale pale, na mpambano kaskazini mwa Israel yamepanuka. Hawajachagua kiongozi na kwa wakati wao watamchagua. Kamwaga pongezi za kutosha kwa HAMAS...
  2. JamiiForums Tanzania Huu ndiyo muonekano wa sayari ya Mars, kama Dunia yetu vile

    NASA wametoa picha mjongeo ya sayari ya Mars, yaani ni kama inafanana na dunia yetu, nahisi huko mbele kuna watu wataenda kuishi huko. Source: science.nasa.gov
  3. JamiiForums Tanzania Katika Dunia kila kitu ni biashara

    Juzi Juma mamosi nilikua Sehemu nakula akapita Binti nikamsemesha, Direct Bint, anataka 50k kwa Bao Moja. Kwamba apendi kutongozana, ni mrembo kwa mtazamo wangu,nikawaza faster. Kama huyu Binti angekua anapata 50K kwa Bao Moja, toka siku alioanza kufanya mapenzi/ Ngono Hadi Leo maana yake...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Chana amezindua nembo ya asali ya Tanzania itakayotumika kuitambulisha bidhaa hiyo katika soko la dunia

    WAZIRI CHANA AZINDUA NEMBO YA ASALI YA TANZANIA Na Happiness Shayo-TABORA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua nembo ya asali ya Tanzania itakayotumika kuitambulisha bidhaa hiyo katika soko la dunia huku akitoa rai kwa Wafanyabiashara kuchangamkia fursa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Natabiri dunia lazima ivute pumzi muda mchache ujao ni kiama Iran

    Niutabiri ambao nilazima niuseme yakuwa baada ya masaa machache Ayatollah Khamenei kuliutubia Taifa nakuapa kuifuta Israel. Nikama alitangaza kiama kwa Taifa lake na yeye mwenyewe. Natabiri huwenda saa chache zijazo mkasikia tukio lakushangaza sana duniani. Israel amemtwaa mchezesha ngoma na...
  6. JamiiForums Tanzania TANZIA MwanaJF Dada Niah amefariki dunia akipatiwa matibabu Dodoma General hospital

    Kwa majonzi makubwa nachukua nafasi hii kuwatangazia ya kwamba dada mama na ndugu yetu mwanaJamiiForums mwenzetu dada niah ametwaliwa kutoka maisha haya..! Amefariki juzi tarehe 2 Dodoma General hospital alikokuwa akipatiwa matibabu Msiba uko nyumbani kwake Dodoma na ndugu yetu Mwifwa yuko huko...
  7. JamiiForums Tanzania Do not give a permanent solution to a temporary problem. Kwa dunia ya sasa nakushauri usioe

    Okay, let's make this as short as possible. Kwa nn unaoa? I mean, what problems do you think marriage will help you solve? List them down. Are those problems permanent? Je hayo matatizo unayotegemea kuyatatua ukiwa na ndoa ni ya kudumu? Only a desperate idiot gives a permanent solution to a...
  8. JamiiForums Tanzania Ukifuatilia sana yanayojiri huko Israel, Lebanon, Iran, Palestina, Russia na Ukraine unaweza fikiri Dunia itawaka moto usiku huu na Kuteketea kabisa

    Wakuu, Kichwa cha thread chahusika. Yaani ukijifanya kuwa mfuatiliaji sana wa kinachojiri huko kwa wenzetu unaweza pata wasiwasi na kuhisi dunia itafikia mwisho usiku wa leo. Kumbe maisha yapo tu na yataendelea kuwepo sana. Mwanzoni wakati nasikia Russia ikiwapiga beat Ukraine pamoja na...
  9. JamiiForums Tanzania Harufu ya vita kuu ya 3 ya dunia inanukia. Umejipangaje wewe kama wewe? Mimi nimejipanga hivi!

    👉Mimi Binafsi nimejipanga Kula papuchi nyingi FRESH kwa kadri nitakavyo weza. Why & HOW? 👇 👉Effect za vita zitaiathiri dunia nzima. 👉Kwenye suala la uchumi hali itakuwa kama korona vile. 👉Umasikini utaongezeka maradufu. 👉Mabinti hawatakuwa na kimbilio zaidi ya kujisalimisha kwa akina...
  10. JamiiForums Tanzania Starehe zote za hii dunia ni ubatili na hasara tu

    Tangu January 2011 mpaka june 2024 nimetembea na wanawake 574 toka ndani na nje ya nchi yetu. Nimetumia zaidi ya milioni 28.3 kutekeleza uovu huu kwa kuhonga na kulipia gharama mbalimbali ili kujionea raha ya ngono. Nilichobaini ni kuwa tofauti ya wanawake ni ma housing na miguno tu. Ushauri...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna watu umasikini hauwezi kuwaisha hapa duniani

    Unakuta mdada kakutana na jamaa kamuajiri kwa kumfanyia kazi zake za nyumbani, kala! kaoga! kapendeza! Bosi wake kamruhusu akamfuate mtoto wake aliyemuacha kijijini amlete akakae naye kwa bosi wake! Sasa kuna mzee mmoja yuko vizuri sijajua background yake ikoje! Sasa leo niko pale nikasikia...
  12. JamiiForums Tanzania Ninapitia mitandao ya kijamii hasa mtandao X naona Waarabu wanamaadui Kila pembe ya Dunia. Sababu kubwa ni ipi?

    Aiseeh! Hii vita ya Israel Vs Hezbollah na haya mauaji ya safu ya UONGOZI wa Hezbollah ukisoma huko mitandaoni hasa mtandao X na Facebook utagundua Waarabu hawapendwi Dunia nzima. Sio China, India, Pakistan, Ulaya ndio usiseme, Amerika na hata huku Afrika. Sijajua tatizo ni nini. Hivi mchina...
  13. JamiiForums Tanzania Kinachowatesa Waarabu wa Kigaidi ni Waisrael kumiliki na ku-operate Satellites kwenye anga yote ya dunia

    Hakuna nchi yenye hakimiliki ya Satellite technology duniani isipokuwa Israel yaani hata leo Tanzania wakitaka kufunga sattelite kwenye anga yake ya taifa lazima aombe kibali kutoka Israel, Adui yako akikuweza kwenye technolojia ya mawasiliano umeisha mazima hicho ndicho kinachowatesa Waarabu...
  14. JamiiForums Tanzania Trump: Nisiposhinda uchaguzi, vita ya Ukraine itakuwa ni vita ya 3 ya dunia!

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amekutana na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy katika jengo la Trump Tower huko New York mapema Ijumaa wiki hii na amemuahidi kumaliza haraka vita kati ya Urusi na Ukraine ikiwa atashinda kiti cha Urais wa Marekani. “Tuna uhusiano mzuri sana na pia...
  15. JamiiForums Tanzania Jitu la miraba 12 kutoka Burkina Faso lavunja rekodi ya dunia kubeba chuma kilo 231

    Raia wa Burkina Faso, Iron Biby, majina halisi, Cheick Ahmed al-Hassan Sanou aweka rekodi ya mtu mwenye nguvu zaidi duniani 2024. Hii ni baada ya Iron Biby kubeba chuma kilo 231 na kuvunja rekodi ya dunia wakati wa mashindano ya Dunia ya kuinua Magogo 2024 (WLLC)yaliyofanyika Birmingham...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Dunia Haina huruma

    Ama kweli Dunia Haina huruma ..Kila siku kukicha kwangu ni afadhali ya jana..najitahidi kufanya kazi ila mwisho wa siku naangukia pua na hasara juu.nmechoka katika hili najihisi kukata tamaa. Nina madeni Kila Kona Nlichobakiwa nacho kwa Sasa n hii cm iliyochoka, yenye thamani ya 10000 a mii...
  17. JamiiForums Tanzania Yule mwizi wa darajani Kawe alifariki dunia na kuzikwa

    HAPA MAJUZI KUNA MEMBER ALIWEKA UZI KUNA PIK PIK ZAIDI YA 200 PALE KAWE DARAJANI AMBAZO NILIWAPA INFO N MWIZI AKAKRUIIA KWENYE DARAJA KWA HESHIMA KABISA NIWATANGAZIE MTOTO WA DALALI MUHA AMEFARIKI NA MAZIKO YAMESHAFANYIKA KIJANA ALIPELEKWA SHAMBA HOSPT KAWE WAKAMPELEKA MUHIMBILI HATIMAE...
  18. JamiiForums Tanzania Penzi la Mwanamke wa Kimakonde ni habari ya Dunia tumejifungia week na hatuboi yaani kazi kazi.

    Ebana wanawake wa Kimakonde ni habari ya Dunia, Niko nae ndani yapata wiki sasa yaani ni kazi kazi, nimesahau shida zangu zote. Yukoje? Ni maji ya kunde, kitunguu cha malolo wazaganza na chuchu Dodo , urefu 170sentimita Kuna makabila ni tunu ya Taifa la Tanzania kwenye anga ya mapenzi, mimi...
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Maandamano ya CHADEMA yamefanikiwa kwa 100%

    Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho...
  20. JamiiForums Tanzania Raisi wa Israel,Isaac Herzog aiomba dunia iwe upande wao kuwashinda Hamas ili kuwarejesha mateka wao waliopo Gaza.

    Riasi huyo amesema Israel sio iliyotaka vita hivi na kwamba dunia ni lazima iwe pamoja nao kusaidia kuwashinda Hamas na kuwarudisha mateka wao nyumbani wakiwa salama. Salamu hizo kwa dunia nzima kutoka kwa raisi huyo zimetolewa wakati ambapo vita hivyo vinakaribia kutiimima mwaka mmoja na huku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…