dunia

  1. Ni bora nife nikifukuzana na ndoto zangu kuliko kufa njaa kwenye dunia isio na haki

    Kipi special sanaa katika hii dunia kinachoweza kunijali kwa dhati eti nikionee huruma??? Eti kinifanye nicheze kwa standards zilizo fair, hakipo, so ni muda wa kuwa ruthless. Anaekuhubiria uache pombe, anatembea na mke wako Anaekukamata haujalipa kodi, anapita na pesa zote za mradi wa mtaani...
  2. Dunia tabu, duniani tabu haswa

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Ngoja tuanze na Shahiri kwanza Shahiri: Dunia tabu, Duniani tabu haswa,. Ukiishi tabu, Ukizeeka tabu haswa,. Ukifa tabu, Ukizaliwa tabu haswa,. Ukiwa na mali tabu, Ukiwa masikini tabu haswa, Ukiwa wa kike tabu, Ukiwa wa kiume tabu haswa,. NA HATA...
  3. Nimeandika sana kuhusu vita zinazoendelea ulimwenguni kwamba ni roadmap ya mwisho wa dunia

    Miongoni mwa watu wenye bahati ni watu wa jamii forum. Tuache ubishi, tukubali ufahamu tunatofautiana. Kile usichikijua wewe Haimanishi wengine nao hawajui. Hizi Vita zinazoendelea kwa wakubwa hazitapoa. Kuna jambo la hatari Sana hapo Mbeleni kidogo. Hatari hii kubwa itawakumba wanadamu wate...
  4. Je, kweli dunia ni duara?

    Leo nimekuja na swali langu kwa wana JF wale wa Earth is around, ninataka mnipe jibu la swali langu JE, DUNIA NI DUARA? Kama dunia duara kitendo hiki kinaitwaje au kinaeababishwa na nini? Je, dunia inazunguluka kama inazunguluka inakuwaje mpaka kikatokea kitendo hiki? Je, shuleni uliwai...
  5. L

    Lengo la maendeleo la G20 laonyesha umuhimu wa mchango wa Dunia ya Kusini

    Mkutano wa kilele wa 19 wa Kundi la Nchi 20 (G20) umefanyika hivi karibuni mjini Rio de Jeneiro, Brazil. Rais wa China Xi Jinping amesema katika mkutano huo kwamba, China imetangaza uamuzi wa kuzipatia nchi zote zilizo nyuma kimaendeleo zenye uhusiano wa kibalozu na China huduma ya kuondoa...
  6. L

    Kuibuka kwa "Dunia ya Kusini" kumeleta mabadiliko makubwa duniani na kuielekeza dunia kwenye mustakbali mzuri

    Tangu kuingia karne ya ishirini na moja, nchi za "Dunia ya Kusini" zimeanza kubadilika hatua kwa hatua kutoka nchi nyingi zenye ukimya mkubwa hadi kuwa nguvu kuu inayoendesha mabadiliko katika utaratibu wa kimataifa. Nchi na mashirika ya kimataifa kutoka Kusini, kama vile China, India, Umoja wa...
  7. T

    Je, kuna uwezekano wa vita kuu ya dunia ya 3 kutokea? Na JE, tujiandaaje??

    Wahenga walinena, 'lisemwalo lipo na kama halipo liko njiani linakuja!' Katika hii vita Kati ya Urusi na Ukraine, Urusi ilishataadharisha mapema kuwa iwapo Mataifa ya NATO yatairuhusu Ukraine kutumia Silaha za masafa marefu kushambulia ndani ya Urusi, basi Urusi itahesabu kuwa NATO imeingilia...
  8. Ya Israel na Palestine: Nimeamini Dunia Hii Tunafuata Sheria za Wakubwa Pekee, Si za Mungu

    Habari wakuu wa Jf poleni na majukumu ya kazi na simanzi ya Janga letu la pale Kariakoo. Ukifuatilia muenendo wa Vita huko Gaza ni dhahiri kabisa nafsi yako itakuuma na Mauwaji ya haraiki kila kukicha huku Dunia ikikaa kimya pasi zuio au katazo lolote dhidi ya dhulma hii ya wana Gaza. Je ni...
  9. Jinsi Ninavyofaidi Dunia Yenu

    Natumaini hamjambo! Poleni na misiba ya wapendwa wetu - Kariakoo. Baada ya kukutana na maigizo mengi sana kutoka kwa watu (ndugu, mpenzi, marafiki na jamaa) niliyumba sana. Nilihisi dunia imenigeuka. Kwakweli usaliti ni mwingi sana sana. Nilianza kutokula na kulala sana. Kuna kipindi...
  10. L

    Ni matarajio ya pamoja ya dunia ya kusini kuona AU inakuwa mwanachama rasmi wa G20

    Mkutano wa 19 wa Viongozi wa kundi la nchi 20 (G20) umefanyika nchini Brazil, ambapo Umoja wa Afrika umeshiriki kwa mara ya kwanza kama mwanachama rasmi, na kuwa shirika la pili la kikanda baada ya Umoja wa Ulaya. Katika miaka ya hivi karibuni, nguvu ya dunia ya kusini inayowakilishwa na nchi...
  11. B

    ALIYESEMA CCM HAINA CHA KUSEMA AKIPENDA MUNGU NDIYO ISHINDE. AFARIKI DUNIA.

    Marehemu Zawadi Salehe Makame KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Visiwani Zanzibar, Zawadi Salehe Makame, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Radio ya Serikali ya Zanzibar, Zawadi amefikwa na mauti jana Jumanne, tarehe 17...
  12. Elon Musk anafifisha dhana ya matajiri kuwa juu ya wanasiasa na taswira ya umwamba juu ya masuala ya dunia?

    Kuna baadhi ya matajiri duniani mfano George Soros na Bill Gates huwa wanatuhumiwa sana kuwa puppet masters wakiwaendesha wanasiasa kama vikaragosi vyao na kuwafanya watimize zinazodaiwa kuwa na ajenda zao ovu kama depopulation, mass control, ushoga n.k Sasa inakuaje Elon Musk tajiri namba...
  13. Uchumi wa namba ulikuwa ni mmoja ya silaha ya mamlaka za dunia kucheza na akili za watawaliwa.

    Sijui inflation rates, sijui GDP, sijui unemployment rates, sijui exchange rates, hayo yote they mean katika uhalisia wa maisha ya ukweli yaliyopo mtaani. Mara nyingi hizi rates zinakuwa propaganda za wavaa suit ku-prove wamefanya jambo au kuwa challenge wengine kwamba wameshindwa mambo.
  14. QUINCY JONES; Panyaroad Wa Chicago Aliyeitawala Dunia Kimuziki

    Katikati ya mdororo wa uchumi, anguko la viwanda lililosababisha Great Depression. Biashara za magendo zikitawala, Magenge ya kimafia yakiwa fasheni ya mitaa. Ni wakati huo alizaliwa mtoto. Chicago, Illinois, ngome kuu ya maharamia wa Chicago Outfit, chini ya underworld chief, Al Capone a.k.a...
  15. KWELI Mbwa Laika ni kiumbe hai wa kwanza kusafiri nje ya dunia

    Nimekutana na stori inadaiwa kuna Mbwa wa Urusi anayeitwa Laika ndiye kiumbe hai wa kwanza kusafiri nje ya dunia? Kuna ukweli kuhusu historia hii?
  16. M

    Wanachama wa Yanga na Simba ni mambumbu wa mpira. Wataazima viwanja mpaka dunia ina malizika

    Licha ya kuwa mpira ni haramu kwa mujibu wa mafundisho ya dini yangu lkn kama mimi kama msomi sinabudi kuchambua mchezo huo. Tuanzie hapa. Yanga na simba ni timu kongwe sana Tanzania, ni timu zenye washabiki wengi na ndio timu zinazotegemewa ktk Afrika kwa ujumla. Yanga imevuma sana huko nyuma...
  17. I

    Ugunduzi wa zaidi ya tani 2,000,000,000 za madini adimu ya Dunia yaliyopatikana Marekani unaweza kuifanya nchi hiyo kuwa 'kiongozi mpya wa dunia'

    Inaweza kubadilisha mustakabali wa utengenezaji wa bidhaa nchini Marekani. Kufuatia uchaguzi uliomalizika, bilionea Elon Musk amekuwa akionya kuwa uchumi wa Marekani unaelekea kufilisika na kumtaka Rais Donald Trump kuzingatia Bitcoin kama suluhu la deni linalozidi kuongezeka nchini humo...
  18. Dunia inawezaje kukomesha dhuluma na ukatili vya Allah na Jehova

    Ninapoandika kuna watu wasio na hatia wameuawa nchini Uganda eti kisa ni kubadili dini toka uislam kwenda ukristo. Hii ni kutokana na maagizo ya Mohamed kuwa atakayeretadi auawe. Kwanini watu wanaopingia kwenye uislam hawaambiwi hili na kwanini iwe haki kuingia lakini siyo kutoka? Nchini...
  19. Dunia itatushangaa tukishindwa kuilinda SGR

    Kuna madai ya hujuma katika mradi wa treni ya umeme SGR. Ni treni ambayo ipo kwa nchi za Afrika mashariki na kati pekee. Nilibahatika kuitumia. Kwa kweli ni nzuri Mno. Kama hizi zinazoitwa Hujuma dhidi ya mradi zitaachwa ziendelee mpaka mradi kushindwa kutoa huduma,itakuwa jambo la aibu...
  20. Kubadilika kwa magnetic poles za dunia, North kuwa South na South kuwa North

    Hivi unajua kuwa dunia ina North pole mbili na South pole mbili, ambazo moja ni za magnetic na zengine na za geograpic. Magnetic North poles na South pole ndizo zinazosaidia kwenye kuzuia mionzi hatari iliyopo kwenye space na solar flares zilizo kwenye jua. Sayari kama Venus na Mars zenyewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…