dunia ya leo

Odesa (also spelled Odessa) is the third most populous city and municipality in Ukraine and a major seaport and transport hub located in the south-west of the country, on the northwestern shore of the Black Sea. The city is also the administrative centre of the Odesa Raion and Odesa Oblast, as well as a multiethnic cultural centre. As of January 2021, Odesa's population was approximately 1,010,537. On January 25, 2023, its historic city centre was declared a World Heritage Site and added to the List of World Heritage in Danger by the UNESCO World Heritage Committee in recognition of its influence on cinema, literature, and the arts. The declaration was made in response to the bombing of Odesa during the 2022 Russian invasion of Ukraine, which has damaged or destroyed buildings across the city.
In classical antiquity a large Greek settlement existed at its location. The first chronicle mention of the Slavic settlement-port of Kotsiubijiv, which was part of the Grand Duchy of Lithuania, dates back to 1415, when a ship was sent from here to Constantinople by sea. After the Grand Duchy lost control, the port and its surroundings became part of the domain of the Ottoman Empire in 1529, under the name Hacibey, and remained in it until the Ottomans' defeat in the Russo-Turkish War (1787–1792).
In 1794, the modern city of Odesa was founded by a decree of the Russian empress Catherine the Great. From 1819 to 1858, Odesa was a free port. During the Soviet period, it was an important trading port and a naval base.
During the 19th century, Odesa was the fourth largest city of the Russian Empire, after Moscow, Saint Petersburg and Warsaw. Its historical architecture is more Mediterranean than Russian, having been heavily influenced by French and Italian styles. Some buildings are built in a mixture of different styles, including Art Nouveau, Renaissance and Classicist.Odesa is a warm-water port. The city of Odesa hosts both the Port of Odesa and Port Pivdennyi, a significant oil terminal situated in the city's suburbs. Another notable port, Chornomorsk, is located in the same oblast, to the south-west of Odesa. Together they represent a major transport hub integrating with railways. Odesa's oil and chemical processing facilities are connected to the Russian and other European networks by strategic pipelines. In 2000, the Quarantine Pier at Odesa Commercial Sea Port was declared a free port and free economic zone for a period of 25 years.

View More On Wikipedia.org
  1. Vien

    Mfumo wa kutafuta hela kwa sasa umebadilika sana; kwa dunia ya leo maarifa yana nguvu kuliko juhudi

    Miaka ya nyuma tulilelewa kwenye dhana kwamba mafanikio yanategemea zaidi jasho, juhudi, na kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka. Ilikuwa ni kweli kwa wakati huo, kwa sababu fursa zilikuwa chache na taarifa hazikupatikana kwa urahisi. Lakini kadri dunia ilivyobadilika, hasa kwa ujio wa...
  2. jamaikatz

    Dunia ya leo ni mwendo wa haki sawa na kukomoana

    Kwa dunia ya leo ya miaka ya hivi karibuni, wanawake vitu vingi wanafanya kama wanavyofanya fanya wanaume. Wanawake wengi siku hizi wanafanya vitu vingi kwa ajili ya kuwakomoa wanaume Unakuta mwanaume kachepuka na mwanamke naye anataka kuchepuka Hata kazi pia kuna kazi zingine ni za kiume...
  3. A

    CCM bado wanafikiri dunia ya leo ni ile ya zamani

    Tatizo kubwa ambalo linatajwa na wachambuzi wengi ni kwamba baadhi ya viongozi wa CCM bado wanafikiria kuwa siasa ya leo ni sawa na siasa ya miaka ya zamani—wakati taarifa ilikuwa haba, mitandao haikuwepo, na vijana hawakuwa wengi kwenye maamuzi. Leo dunia imebadilika: Vijana wana uelewa...
  4. jamaikatz

    Maisha yamebadilika

    Ukiona mtu,anakuheshimu ,ana kupigia simu alafu huna pesa, huna kazi , huna chochote, huyo ni zaidi ya binadamu .muombee sana kwa Mungu 😥
  5. Just Pray

    Oscar Oscar: Kwa mahitaji ya Dunia ya leo, kusoma na kuandika haipaswi kuwa moja ya Sifa ya mtu kuwa Mbunge

    Kwa mahitaji ya Dunia ya leo, kusoma na kuandika haipaswi kuwa moja ya Sifa ya mtu kuwa Mbunge. Walau Shahada ya kwanza ya Chuo Kikuu inaweza kusaidia. a
  6. Jack Daniel

    Kutokukujua Kiingereza kumenifelisha kiasi cha kukosa madili kibao

    Salaam JamiiForums Natamani kujua vyema lugha ya Kiingereza. Natamani ningeongea Kiingereza hata Kwa asilimia 50 tu naamini ningetisha sana. Achana na stori hizi, eti tunakuza na kudumisha lugha yetu,mara tuwe wazalendo. Acheni hizo kama hujawahi kusafiri kwenda nchi yoyote ya ughaibuni...
  7. Bushmamy

    Dunia ya sasa inaelekea wapi? kwanini watu wanakufa sana?

    Siku hizi ni kawaida au pengine ishakuwa mazoea kusikia ,kuona au kutokea kwa msiba wa mtu fulani aidha wa mtaani kwako,jirani, ndugu,ofisini kwako au yoyote unaemfahamu. Wengi wa Wanaokufa ni watu wenye nguvu bado, Dunia ya leo je inaelekea mwisho? Kwanini misiba ni mingi kuliko matukio...
  8. Mshana Jr

    Picha zinazoonesha uhalisi wa kuhuzunisha wa dunia ya leo na ijayo

    Sura bandika zenye ready made makeup.. Hakuna haja ya kujipodoa tena. Tumeshakuwa na kila kitu cha bandia mpaka akili ya bandia sasa ipo. Inaitwa akili mnemba. Maisha ya social networks yamejaa uhalisia bandia. Unachokiona mtandao ni sivyo kilivyo katika uhalisia wake Saa nyingine...
  9. Paspii0

    Dunia ya Leo...

    👉Dunia ni mahali pazuri kutokana na watu wanaotaka kupaendeleza na kuwaongoza wengine.Kinachofanya iwe bora zaidi ni watu wanaoshiriki zawadi ya wakati wao kuwashauri viongozi wajao. Asante kwa kila mtu ambaye anajitahidi kukua na kusaidia wengine kukua. 👉Maisha ni safari, katika kila hatua...
  10. MINING GEOLOGY IT

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Serikali na wananchi wake tumejipanga vipi kwendana na dunia ya leo na kesho?

    Tanzania, kama nchi nyingine, inakabiliwa na changamoto na fursa za kuendana na mabadiliko ya dunia. Kujipanga kunahitaji juhudi za pamoja kutoka kwa serikali na wananchi ili kuhakikisha maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Tumeona nchi nyingi ambazo zilizopo afrika na zengine zikikabiliwa na...
  11. FaizaFoxy

    Watanzania tujiulize Maswali muhimu ya Kibiashara kuhusu bandari zetu kwa dunia ya leo

    Leo tuwache jazba, kejeli, matusi na ujinga. Hii kwa pande zote mbili, zinzoona DP World haifai na zinazoona DP World inafaaa tujadiliane kiustaarabu tuone "options " zetu ni zipi, zile zenye faida tuishauri serikali izifate, zile zisizo na faida tuishauri serikali isizifate. Kama una jibu au...
  12. Morg

    Ukweli uliofichika kwa Dunia ya Leo

    Acha kuhamasisha mila za Kizungu za Uzinifu/ mahusiano ( girlfriend na boyfriend) kwa kuwa zinamdhalilisha mwanamke. Na kupitia huo Uzinifu ndipo Wazungu wakaja na mawazo ya kuwa mwanamke ajitafutie pesa ili asimtegemee mwanaume hivyo lengo na makusudi ni kuhakikisha Uzinifu unaendelea ambapo...
Back
Top Bottom