dstv

  1. Multchoice na DSTV zimenunuliwa na Canal+. Je, kutakuwa na unafuu wowote?

    French media group Canal+ will on Wednesday publish its full-year 2025 financial results – the first annual numbers to include subsidiary MultiChoice Group since the London-listed company completed its acquisition of Africa’s largest pay-television operator. The results, which cover the year...
  2. M

    Nahitaji kufahamishwa vifurushi vya DSTV vilivyo na mechi za UEFA

    Kuishi vijijini tabu yake ndio hii sasa Unanunua king'amzi cha Dstv na hujuwi vifurushi vyake huwa vina bei gani Naomba kufahamishwa ndugu wapenda michezo Kwa sasa ni bei gani ili niangalime timu yangu ya PSG wiki ijayo?
  3. KERO DSTV ni Mr. Kuku wa kikaburu

    Siwashangai Ghana kuwapa miezi miwili hawa peremende kushusha bei ya vifurushi vyao au waondoke nchini humo. Hawa jamaa ni pure trash🚮🚮 Wanachouza ni ile status ila kiukweli hizi contents zao hazistahili hizi bei
  4. Hawa 'Camera Men' wa Dstv waambiwe wakiwa wanachukua Picha za Wachezaji walio Benchi wawe wanawachukua Nusu / Vifuani tu kwani

    Kila Mechi naona wanachukua Picha nzima nzima za Wachezaji walio Benchini wakiwa wamekaa (kwa kujiachia kabisa) na Kuvalia Bukta halafu Kende zinaonekana wazi wazi
  5. Special thread Big Brother 2025 on DSTV 198 chanell

    Hello Hii thread ni special kwa Big brother 2025 imeanza ina oneshwa DSTV chanell 198 Je una hisi ya mwaka uhuu itakuwa more na tulizo zoea kuziangalia?
  6. K

    Ninawaomba DStv wajitafakari kwa kupandisha gharama zao kila kukicha

    Imekuwa ni tabia ya DSTV kupandisha gharama zao kila kukicha. Juzijuzi kama mtu ulilipia compact ilitakiwa kulipa Tshs.60,000 leo hii malipo ya compact ni Tshs.67,000. Hawa watu wanatuona wajinga kwa kuwa hakuna mshindani. Ninaiomba Kampuni ya AZAM ione uwezekano wa kuchukua nafasi ya DSTV...
  7. Vifurushi vya Dstv kupanda kuanzia Agosti mosi 2025

    Kuanzia tarehe 1 Agosti 2025 DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo; DStv Poa - 11,500/= DStv Bomba - 27,500/= DStv Family - 40,000/= DStv Compact - 68,000/= DStv Compact Plus - 118,000/= DStv Premium - 189,000/= Extra view - 36,000/= Ndani ya mwaka tu wamepandisha...
  8. DSTV yauzwa kwa Canal+ kwa Trilioni 5

    Kampuni ya MultiChoice ambayo ni mmiliki wa DStv na GOtv wamekubaliwa kuuzwa kwa Canal+ kampuni ya Ufaransa kwa kiasi dola bilioni 3.1 (Tsh. Trilioni 5). MultiChoice ina wateja milioni 19.3 na pia inamiliki asilimia 49 ya BetKing.
  9. J

    MY DSTV APP

    Wakuu naomba kupewa huduma kwa mtumiaji wa Dstv nijiunge na My dstv app, nitachangia
  10. C

    Dstv kampuni kubwa lakini ukubwa boflo

    Niaje niaje.............hivi nyie Dstv ni watoa huduma kwenye hii tanzania kweli au mko sa? pesa mnapokea harafu mnaladhimisha mtu apande kifurushi ili agundue nini?? Ili amuangalie huyo kim kardiashian au nguzu au hizo bongo movie zenu.
  11. DStv kuja na vifurushi maalum vyenye chaneli za mpira tu

    DStv wameshtuka baada ya kupoteza mamilioni ya watazamaji wake. Dunia ya teknolojia, watu wana stream mechi hawalipii tena vifurushi. DStv wako mbioni kutuletea vifurushi pekee vyenye chaneli za michezo pekee kama wafanyavyo Canal Sports. Hii ikitiki itakuwa safi, japo wamechelewa sana.
  12. ITV na shida ya kukatika matangazo DStv

    Wakuu,nikiwa kama mtu nipendaye kuifuatilia habari za ndani,hupendelea kutazama ITV kutokana na mfumo wa taarifa yao ya habari Lakini linalochosha kwenye kisimbusi cha DStv ni kukatika mara kwa mara kwa matangazo na kuonekana ujumbe 'technical difficulties'...ninachojiuliza ni ITV hawajui hili...
  13. nimerudishiwa pesa yangu na DSTV, je naweza itoa kama cash?

    wiki 3 zilizopita nilinunua kifurushi dstv lakini decoder ilikua mbovu Leo nikaomba kunihamishia mwamala wangu na wamenipa, sasa nauliza je, naweza itoa kama fedha kesh? au inatolewa vip? asanteni. Nb kwa sasa nilinunua decoda mpya nilisha lipia ko wamehamishia katika hii decoda mpya
  14. Kwa mara ya kwanza namiliki DSTv, lakini nimechemka kupata sauti kupitia sabufa

    Nimetoa Waya wa HDMI umeenda katika TV, na inawaka, pia nikatoa Waya wa two in one kutoka kwa king'amuzi kwenda kwa sabufa hamna sauti, tafadhali nisaidien anakosea wapi, asante wakuu nawapenda
  15. DSTV wapandisha tena vifurushi kuanzia leo tarehe 1/4/2025

    Kama kawaida yao, wamepandisha tena cha 25,000 kuanzia leo ni 27,000 huu mwaka unaweza usiishe wameshafika 30,000 Sasa akili kumkichwa, ulipie Azam cha 28,000 uangalie ligi ya bongo, spain, na zingine na mazaga zaga Au ulipie DSTV 27,000 ubaki na ligi ya spain na sinema zetu(kwa wale wa hizo...
  16. Niambieni chanel za DSTV ambazo sizijui

    Kwa kua nimenunua kifurushi cha laki na kumi pasi na kupenda basi ningependa nione channel ambazo sijawai ona Nipeni code za chanel hizi -chanel za Burundi -chanel zq Central Africa -chanel za Msumbiji -chanel za Botswana -chanel za Comoro -chanel za Sudan -chanel za Somalia -chanel za Congo Na...
  17. Nimejichanganya nimeunga kifurushi 110,0000 badala ya cha elfu 10 kile cha DSTV poa!

    aisee Huu mwezi nimeanza na kiranga Kifurushi cha laki cha tv😳😳Yaan hela yote ya nauli na matumizi ishaisha Nimekaa hapa haya machanel sijui niyafanyaje. DSTV MUWE NA HURUMA MNGENIPIGIA MNIULIZE VIZURI
  18. Hizi ndizo bei mpya za vifurushi vya DStv kuanzia kesho April mosi 2025, Umejiandaaje?

    Kuanzia kesho DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo; DStv Poa - 11,000/= DStv Bomba - 27,000/= DStv Family - 39,000/= DStv Compact - 67,000/= DStv Compact Plus - 116,000/= DStv Premium - 185,000/= Ukiona hivi, jua na AzamTv nao hawako mbali kuja kuwakandamiza...
  19. Azam akipata leseni ya kuonesha EPL na UEFA, hawa DSTV kwisha habari yao

    Itawavutia wengi kwa maana atapata package ya michezo ya nyumbani na ligi maarufu za epl na uefa. Dstv impoteza ubora alafu bado ni very expensive, haijalishi hata ukiweka kifurushi cha juu, utaambulia vitu vya ajabu, muvi za kujirudia rudia, angalau hata hii mbc ya azam unapata muvi za awali...
  20. C

    Naona kama DSTV TANZANIA MMEWAZOEA WATEJA WENU................

    Sianzi na salam sababu ya jazba ............hivi hawa mbwa wanajikuta nani?? Yaani mmelipwa pesa na huduma mmekata.........mnadhania pesa ni ya mababa zenu??...........hii kampuni sio international bora hata mngeweka ofisi yenu tandale ................huduma kwa wateja namba haifanyi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…