dp world

DP World is an Emirati multinational logistics company based in Dubai, United Arab Emirates. It specialises in cargo logistics, port terminal operations, maritime services and free trade zones. Formed in 2005 by the merger of Dubai Ports Authority and Dubai Ports International, DP World handles 70 million containers that are brought in by around 70,000 vessels annually. This equates to roughly 10% of global container traffic accounted for by their 82 marine and inland terminals present in over 40 countries. Until 2016, DP World was primarily a global port operator, and since then, it has acquired other companies up and down the value chain.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Deni la taifa limefikia Trilioni 116, Nafasi ya DP World iko wapi? Tuliambiwa mapato yataongezeka hivyo kupunguza deni

    Salaam! Rais Samia na serikali yake walitwambia kuwa ujio wa DP World utaongeza mapato ya serikali kwa kiasi kikubwa na kufadhili budget yetu. Sasa maswali yanakuja je! Ikiwa mapato yameongezeka serikalini,iweje deni likue, kwanini lisilipwe kwa amount kubwa ikibidi limalizwe sababu ya ujio wa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania je wanachama wa simba tunaluhusiwa kuuza hisa zetu?? kuna kama 800k kila kadi kwa dp world na bakhresa

    I will be short kuna card za chana 50 k na kuna 40 billion on the table for simba sc shares. hapo kila mtu ana 800k kila card. Kama vipi simba tuuze tu, naona dp world na bakhresa wanavizia hisa za mo wakati wanachama tupo na kadi hazina hata faida. anyway ngivuu mmmoyaaa 😂
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya sasa wana Simba SC wenzangu bahati hii imekuja, tafadhali tuitumieni na tuachane rasmi sasa na Tajiri Mo Dewji ambaye anatupotezea tu muda

    Taarifa zilizonifikia ni kwamba Kampuni Tajiri ya DP WORLD inataka Kuidhamini Simba SC na kuichukua kwa 49% tu.
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ujio wa DP World mbona haujatupunguzia kero ndogondogo Wafanyakazi wa Bandarini?

    Huku Bandarini tangu DP World wamekuja mambo yamekuwa magumu kwa Wafanyakazi, hatuna over time. Pia wafanyakazi wengi wamehamishwa, yaani tafrani tupu, kubwa zaidi ni kuwa hatulipwi kwa wakati, mfano sasa hivi tulipaswa kupewa pesa zetu za rent tangu June mpaka leo tunaitafuta August 2025 bado...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Plasduce Mbossa: DP World Imeigeuza Bandari ya Dar kuwa Kitovu cha Usafirishaji Afrika Mashariki na Kimbilio la Exporters

    Haya ndio matunda ya ubinafsishaji kama yalivyoelezwa na Director wa TPA. Bandari ya Dar es Salaam Yabadilika: Kutoka Kero hadi Kituo Bora cha Biashara Afrika Mashariki na Kati Hapo awali ilijulikana kwa msongamano, ucheleweshaji na urasimu mkubwa, lakini sasa bandari ya Dar es Salaam imepitia...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Makataba wa DP world ni wa kujipendekeza tu sio wenye maslahi ya nchi yetu

    Ule mkataba wa DP world ni wa kujipendekeza tu sio wenye maslahi ya nchi yetu. Nilisikia DP world wanatumia mashine kushusha mizigo haraka na kwamba sisi tunapakua taratibu sana kwanini na sisi tusizinunue hizo mashine ile tupakue mizigo haraka kama DP world ? Samia amewapa bandari yetu kwa...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Prof. Makame Mbarawa: Uwekezaji wa DP World, mapato yafikia TSh. Trilioni 8.26 ongezeko la asilimia 16.67

    Serikali imesema kitendo cha kushirikisha Sekta Binafsi katika uendeshaji wa shughuli za bandari kwa kuingia ubia na Kampuni za DP World na TEAGTL katika kuendeleza na kuendesha baadhi ya maeneo ya Bandari ya Dar es Salaam, kumeleta mafanikio mbalimbali yakiwemo kuongezeka kwa mapato yatokanayo...
  8. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Head of Information Technology – Ports and Terminals at DP World April 2025

    Job Function: This role is responsible for planning, design, implementation and maintenance of the Port’s information technology (IT) systems, network connectivity, application and data servers, workstations, communications systems, cyber security protection and backup solutions, user training...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini bwawa la umeme la Nyerere na DP World havijasaidia bidhaa na huduma kushuka bei ?

    Uchumi wa bongo huwa unashangaza sana, kuna wakati watu walikuwa wanasema bwawa la umeme likikamilika na Waarabu wa DP World wakianza kuendesha bandari itasababisha gharama za uzalishaji na uingizaji mizigo kushuka na kupelekea bidhaa kuwa bei rahisi ila haijawaha hivyo mpaka sasa!
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge Wampongeza Rais Samia kwa Kufanikisha Uwekezaji wa DP World na Kuongeza Mapato

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) na Kamati ya Bajeti ya Bunge pamoja na wabunge mbalimbali wamezungumzia maboresho ya Bandari ya Dar es Salaam, yanayotekelezwa na Serikali kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na kusifia maendeleo yake ikiwa ni pamoja na uamuzi...
  11. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Kitenge aigeuka DP World? Hii Nukuu yake inafikirisha

    Hii ni Nukuu kutoka kwa aliyewahi kuwa Waziri Zambia. Bw. Kapwepwe. Ingawa yeye Kitenge kwa kuwa ni bwege hajaweka kama nukuu. Yaani kajifanya kama ndo yeye kaandika. Sisi wajuvi tunaelewa. Ilisemwa na nani.
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Serikali iliahidi kuleta Mikataba ya IGA ya DP World Bungeni lakini mpaka sasa hamna kitu!

    MPINA anaanzia pale alipoishia Bungeni, Sasa anawakumbusha Serikali, katika kujitetea waliahidi IGA yenyewe italetwa Bungeni kabla ya Utekelezaji, kwanini wapi kimya??. Hata Ahadi yao wenyewe wameivunja?? Mzee Wassira Sasa hapa utamtetea nani?.
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nshala alitishiwa maisha sababu ya kupinga Mkataba wa DP World. Uteuzi wake CHADEMA unamaanisha nini kwenye Siasa za Tanzania?

    Wakuu, Januari 21 ulifanyika Uchaguzi Mkuu CHADEMA kwenye nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Wenyeviti kwa Bara na Zanzibar, ambako Lissu alitangazwa kuwa Mwenyekiti mpya CHADEMA, siku hiyo pia ulifanyika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama na Lissu akafanya uteuzi wa viongozi, na kati ya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Lema kuambatana na Kitenge kwenye jogging siyo dalili njema kisiasa; hata DP world ilianza kama ubuyu

    DP world ilianza kama ubuyu means tetesi na walioongoza huo ubuyu walikuwa wana habari. Walikaa kiti cha uzalendo wakidai wanawatetea wanyonge kumbe wanalo jambo nyuma ya pazia. Mhe. LEMA yupo too emotional kuliko wakati mwingine wote. Ni kipindi ambacho amezungumza hoja nyingi kuliko...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nilisikia DP world wanapakua mizigo haraka kwa mashine za kisasa kwanini sisi tusiende kununua mashine kama hizo ili tupakue haraka

    Nilisikia kuna watanzania waliopewa dhamana kusimamia rasilimali za nchi walio gawa rasilimali zetu ikiwemo bandari zetu kwa wageni bila ushiriki wa wananchi Wanasema heti sababu ya kugawa bandari kwa DP world kuendesha bandari zetu ni kwasababu wao wana mashine za kisasa hali inayo pelekea...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kwa hesabu zangu Makusanyo ya DP World bado yapo chini kulinganisha na miaka ya nyuma 2019/20

    Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amedai DP World kwa miezi mitano tangu ianze kazi imekusanya Bilioni 325. Hii ni sawa na Bilioni 65 kwa wastani wa kila mwezi mmoja. Natuzingatie hii ni miezi yenye meli nyingi na mizigo mingi. Kwa mwaka wa 2019/2020 Serikali ilikusanya Bilioni 901 kwa mwaka...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Matunda Matamu Ya Siku 150 Za DP World Bandarini, Serikali Yakusanya Billion 325

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Mama ameifungua Nchi na Sasa Asali na Maziwa vinatiririka na kumiminika Tu hapa Nchini.kwa hakika kila mmoja analamba asali Kiganjani mwake.Embu nisiwachoshe na kuwapunguzia Utamu . soma hapo chini👎 Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema matunda ya...
  18. P

    JamiiForums Tanzania DP World kapewa bandari zote au ni Dar peke yake?

    Habari za jioni wakuu, naomba kuuliza, DP world amepewa aendeshe Bandari ya Dar Pekee au zimo na za mikoani pamoja na Tanga na Mtwara? Pia kampuni ya MRC pale bandarini inajihusisha na Nini?
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amjibu Mpina Bungeni kuhusu DP World kukusanya Kodi Bandarini, Mpina afuta kauli

    Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) amemjibu Mbunge wa Kisesa Luhaga, Joelson Mpina kuhusu hoja ya DP World kukusanya kodi akieleza kuwa amelidanganya Bunge, jambo lililosababaisha Mbunge huyo kuomba radhi na kufuta kauli. Dkt.Nchemba amesema hakuna taasisi au kampuni...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina aibana Serikali ataka mikataba ya Bandari na DP World ipelekwe Bungeni

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameitaka Serikali kueleza kwa nini mikataba ya uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam na kampuni ya DP World haijawasilishwa Bungeni ili wabunge waweze kujua maudhui yaliyokubaliwa kwenye mikataba hiyo. Akiwasilisha hoja yake wakati wa kujadili...
Back
Top Bottom