dp world

DP World is an Emirati multinational logistics company based in Dubai, United Arab Emirates. It specialises in cargo logistics, port terminal operations, maritime services and free trade zones. Formed in 2005 by the merger of Dubai Ports Authority and Dubai Ports International, DP World handles 70 million containers that are brought in by around 70,000 vessels annually. This equates to roughly 10% of global container traffic accounted for by their 82 marine and inland terminals present in over 40 countries. Until 2016, DP World was primarily a global port operator, and since then, it has acquired other companies up and down the value chain.

View More On Wikipedia.org
  1. Prof Mbarawa kuhusu DP WORLD selection, naomba kufahamu haya

    Mwanzoni tulijulishwa kuwa walipatakana Kwa mfumo wa Single Source, Leo hii Tunaambiwa kuwa ilikua ni Tender. Sasa, tunaomba kujua, Tarehe ya Tender kutangazwa, waliomba, waliokuwa disqualified Hadi DP WORLD kupita...
  2. R

    Nadhani kuhusu issue ya DP WORLD shida kubwa iko kwenye hizi 35% za wazawa

    Leo 14/7/2023 katika mkutano wa Wahariri na Viongozi wa wizara mbali na kuambiwa mikataba itakayo fuata ya kibiashara itakuwa ni SIRI iki maanisha kuna uwezekano tusije jua Ukomo wala Mapato baada ya hii IGA ,shida kubwa nliyoiona ni hii 35% hisa wazawa . Ni kwamba katika mikataba ya kibiashara...
  3. Aliyeelewa Mkurugenzi wa DP World kusaini mkataba wa nchi ya Dubai na Tanzania anieleweshe

    Moja ya jambo ambalo linafikirisha katika IGA ya Tanzania na Dubai ni sehemu ya watia sahihi! Upande wa Serikali ya Dubai amesaini Mkurugenzi wa Bandari! Yani huu ni mkataba wa nchi na nchi anakuja kusaini Mkurugenz wa Bandari kwa niaba ya nchi yake? Mawaziri, na makatibu wakuu hamna huko...
  4. B

    DOKEZO Responded Hospitali ya Rufaa Shinyanga haina mochwari

    HOSPITALI mpya ya Rufani mkoani Shinyanga iliyopo Mwawaza Manispaa ya Shinyanga haina jengo la kuhifadhia Maiti, pamoja na kukabiliwa na upungufu mkubwa wa madaktari bingwa. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dk. Yudas Ndugile amebainisha hayo jana kwenye ziara ya Waziri wa Afya Ummy Mwalimu...
  5. DP World walipatikanaje kama hatukuona tenda ikitangazwa?

    Kuhusu bandari mimi siungi mkono ubinafsishaji wake hata kidogo! Ibinafsishwe ili sisi tufanye nini? Kwani uendeshaji wake unagharimu nini ambacho hatukimudu kama nchi? Mbona ATCL inapewa ndege mpya na serikali na bado inapata hasara ila haibinafdishwi? Bandari inaingiza hasara gani mpaka...
  6. D

    Tetesi: Paul Kagame nyuma ya DP world

    Wajumbe, Hili dude la mkataba wa DP World na Serikali ya Tanzania ina makando-kando mengi. Katika kufukunyua nimekutana na wavaa miwani mieusi tena ni PSU. Huyu Bwana amenidokeza kwamba katika uwekezaji huu Rwanda ya Paul Kagame anayo hisa 17% katika kampuni ya DP World na ndiye amekuwa na...
  7. Tetesi: Kumekucha: 'Kelele' za watanzania zawafikia DP World, watuma maofisa wao kujiridhisha

    Hatimaye, malalamiko ya watanzania kuhusu uhalali na vipengele vya Mkataba kati ya Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World yamewafikia na kuwashtua wahusika. Taarifa za uhakika nilizozipata zinaonesha kuwa DP World wamesikia hoja za wazalendo wa kitanzania na wameguswa nazo...
  8. N

    Naona Yanga wameamua kufanya siku ya mkutano wa wananchi kuhusu DP world iwe ni siku ya YANGA DAY 22 /7 /2023

    Naona Tanga wameamua kufanya siku ya mkutano wa wananchi kuhusu DP world iwe ni siku ya TANGA DAY 22 /7 /2023 Tanga mnatumika Dr slaa na viongozi wengine msibadili tarehe naona chama cha CCM kimeamua kiwatumie yanga kuzima.
  9. Hitimisho: Mkataba wa Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia DP World tumeukataa!

    Watanzania tumezungumza. Tumezungumza kwa kauli zetu kalikali kama msumari na waziwazi kuliko utandawazi. Tumezungumza kupitia Wanasheria, Maprofesa, Maaskofu, Masheikh, Wanasiasa, Wasomi hadi wananchi wa kawaida. Tumeuzungumza mkataba wa DP World kuliko hata Bunge letu. Tumeuzungumza makataba...
  10. R

    Kwamba Mzee Warioba, Butiku, Shivji, Bagonza, Pengo, Kitima wamelipwa kukataa Mkataba wa DP World?

    Hao wezi waliokuwa wananufaika na Bandari wana nguvu sana; kama wameweza kumwonga na kumshawishi hadi Waziri Mkuu mstaafu Jaji Warioba , Mzee Butiku ambao ni wazee wa CCM nani tena watashindwa kumwonga? Kwa taarifa zilizotoka hivi karibuni zinaonyesha wanaopinga mkataba huu ni wezi waliokuwa...
  11. SI KWELI DP World kudhamini Ligi Kuu ya Tanzania Bara

    Kumekuwepo na taarifa zinazosambaa mtandaoni zikiihusisha Kampuni ya DP World kudhamini Ligi Kuu ya Soka la Wanaume Nchini Tanzania. Taarifa hizi zililipotiwa pia Juni 24, 2023 kwenye Jukwaa la JamiiForums ambapo baadhi ya madai ilikuwa ni uwepo wa mpango wa TFF kuachana na wadhamini wa sasa...
  12. Q

    Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala(PhD) aitwa Polisi kutokana na maoni yake kuhusu bandari

    Barua hiyo ya wito kutoka ofisi ya DCI inamtaka Dkt. Nshala kufika kwa ajili ya mahojiano Ofisi hii inafanya uchunguzi kuhusiana na kauli ulizotoa tarehe 03 Julai 2023 na kisha kusambazwa katika vyombo vya habari na mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusiana na mkataba wa uwekezaji katika...
  13. R

    Ni nini msimamo wa Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu kuhusu DP world?

    Habari jf ,naona upepo umebadilika sana na hii ndio siasa sasa . Kwa walio karibu na Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu wawa ulize ni nini misimamo wao kuhusu Bandari zetu na DP World ? Ikumbukwe hawa ni waandishi wa kitabu cha ' I am the state .'
  14. RC Adam Malima ashauri Serikali kuwa makini kwenye Mkataba wa DP World, ili tusipigwe kama kwenye Mikataba ya Madini

    Akizungumza katika kipindi cha Good morning Wasafi FM, Malima ambae marehemu baba yake aliwahi pia kuwa waziri wa fedha kipindi cha Nyerere, amesema Kinachopingwa sio ufanisi wa bandari bali ni vipengele vya mkataba, na huko nyuma, 1998 Tanzania iliwahi Ingia mikataba mibovu ya madini, na...
  15. Baada ya DP World, tukumbuke kipande cha Loliondo

    Nimetafakari sana haya nauzo ya ardhi za Tanganyika, Hapo mwanzo kulikuwako Tanganyika ikatawaliwa na Julius K Nyerere akang'atuka akamrithisha Ally Hassan Mwinyi nchi ikiwa haina tobo wala kiraka. Ikawa jioni ikawa asubuhi Mwinyi akawa madarakani. Mwinyi akatawala akiwa ni mtoa ruksa, tukawa...
  16. M

    Waziri Mkuu Majaliwa: Hatutomwacha DP World aende zake

    Katika mkutano na wananchi wa mjini Mtwara juzi, Majaliwa alisisitiza kuwa hadi sasa kilichotiwa saini ni makubaliano ya awali na muda ukifika maoni ya wananchi yatazingatiwa. “Hatuwezi kumwacha huyu (DP World) aende zake. Kilichopitishwa na Bunge si mkataba wa miradi ni makubaliano ya awali...
  17. Wekeni mambo wazi, ujenzi wa Ikulu Chamwino ni kazi nzuri ya hayati Magufuli, angekuwepo hata bandari ingeendelezwa na JKT bila DP World

    Miundo mbinu ya bandari ni cranes, na kuwa na gati za kisasa. Hili halihitaji mwarabu kupewa kwa nguvu hata JKT wangepata utalaamu kutoka China wqngefunga cranes za kisasa na kuwezesha ufanisi. Hii ya Ikulu Chamwino msitie Chumvi za uongo aliyepambana ni hayati. Vinginevyo wangejenga hata...
  18. CCM yatoa Baraka zote kwa DP World kufanya uwekezaji wa Bandari

    Hamashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana katika kikao chake cha kawaida makao makuu ya chama hicho jijini Dodoma leo Jumapili, Julai 9, 2023, chini ya Uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na mambo mengine imejadili mkabata wa makubaliano ya uwekezaji na uendelezaji wa...
  19. Namuacha mpenzi wangu kisa DP WORLD

    Habari waungwana! Baada ya familia kunikomalia nioe nikaona nianze msako ,dada yangu mmoja ni lecturer akanilengeshea kwa ka mwalimu ka sekondali (jina kapuni) Basi baada ya kutumiwa picha akaomba tuonane . Vigezo alivonivutia 1.Mwanadada ni muwazi kupitiliza sijui umuulize nini ajibu uongo...
  20. P

    Maandamano makubwa ya Amani kupinga DP World kufanyika Julai 22

    Wakuu, Maandamano hayo ni kwa ajili ya watu wote wanaopinga mkatabda wa bandari kati ya Tanzania na DP World. Maandalizi ya maandamano hayo yanaendelea ikiwa ni pamoja na kuwasisitiza watu kuwa maandamano hayo ni ya amani na kuwafundisha jinsi ya kushiriki maandamano hayo ikiwa ni pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…