DP World is an Emirati multinational logistics company based in Dubai, United Arab Emirates. It specialises in cargo logistics, port terminal operations, maritime services and free trade zones. Formed in 2005 by the merger of Dubai Ports Authority and Dubai Ports International, DP World handles 70 million containers that are brought in by around 70,000 vessels annually. This equates to roughly 10% of global container traffic accounted for by their 82 marine and inland terminals present in over 40 countries. Until 2016, DP World was primarily a global port operator, and since then, it has acquired other companies up and down the value chain.
Kwenye gharama za Wharfage ndio kuna maumivu makubwa. Wharfage (tozo ya kutumia gati/bandari) imeongezeka karibia mara 5–7 zaidi ya ilivyokuwa mwanzo.
Kwa mfano, kama gharama ilikuwa 1,000 kwa kontena, now ni mara 5–7 yake. Kama mwanzo ulikuwa unapaswa kulipia 250,000 TZS, now jiandae kutoa...
Ameandika BAK Mwabukusi
"DO NOT STOP ...FORGET ABOUT IT.
TPA tuliambiwa haina uwezo wakaletwa wenye mtaji DP World je umewahi tangaziwa wamewekeza kiasi gani hapo Bandarini?
Kwa hiyo ikifika kugharimia fedha za kuendeleza Miundombinu wanarudi kutubebesha mzigo watanganyika na hapo ndipo ndugu...
https://x.com/AboDantee/status/2022431434254987763
Boss wa DP world Sultan Ahmed bin Sulayem amejiuzulu nafas yake baada ya kuhusika na mauaji ya washirika wake kibiashara!
Boss huyu ametajwa katika mafaili ya EPSTEN baada ya kuonekana akipika chakula kinachosemekana ni cha binadamu mtoto
je...
Dubai CEO named in Epstein files resigns from DP World
Story by Omar Abdel-Baqui
DUBAI—DP World Chairman and Chief Executive Sultan Ahmed Bin Sulayem resigned from the Dubai-based global ports operator Friday, after documents released by the Justice Department showed he had ties to convicted...
DP World, kampuni ya kimataifa ya usafirishaji na usimamizi wa mizigo inayomilikiwa na Falme za Kiarabu (UAE), imemwondoa Sultan Ahmed bin Sulayem katika nafasi ya mwenyekiti na mtendaji mkuu kufuatia uchunguzi mkali kuhusu urafiki wake na marehemu Jeffrey Epstein.
Kampuni hiyo Ijumaa ilimteua...
My Take
Kama sio juhudi za mageuzi ya kiuchumi za Rais Samia Leo Bandari ya Dar ingekimbiwa na wateja Kwa sababu za kipuuzi za miaka yote huku wanaojiita Wazalendo walishindwa kutoa suluhisho.
Hivi navyoandika hapa Kwa mwaka huu wa 2025/26 tayari Kuna ongezeko la Mizigo Kwa zaidi ya asilimia...
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza leo Januari 20, 2026 na vyombo vya habari amesema serikali mkataba NA DP World kudumu kwa miaka 30
Aidha ameeleza kuwa malengo yaliyowekwa na serikali ilikuwa kuwekeza dola Milioni 250 kwa kipindi cha miaka 5 ambapo ndani ya 2021 hadi 2022...
Katika press ya msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ameeleza namna ambavyo bandari ya DP World ilivyotatua changamoto ya ajira kwa viajana wasomi wa kitanzania ambapo amesema bandari hiyo imezalisha zaidi ya ajira 764 za moja kwa moja na ajira zisizo za moja kwa moja nyingi zimezalishwa...
Msiwawafanye watanzania ni wajinga na wapuuzi. Kwa nini Dp World ambao ni waarabu wapewe kandarasi ya kuendesha bandari wakati uwezo tunao.
Kama ni kupanua na kujenga angepewa mkandasi akajenga na kuweka miundombinu ya kisasa. Watanzania wakapewa utaalamu na kuendesha bandari yao.
Kuhusu...
Huyu Makonda anacheo gani hadi kwenda kukagua bandari? Mbona mwaka vituko ni vingi
Wakati sasa hivi alitakiwa kuwa kwenye jimbo analogombea ili aendelee kupiga kampeni zake lakini yeye kiguu na njia. Au ndio anaona kashapita?
==============
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini amempongeza...
Tutaenda pale bandarini kwa DP world wengine bungeni, wengine nendeni ikulu nendeni, wengine nendeni kwenye tume huru kudai mabadiliko wanajifanya hawasikii.
Sasa tuone watalinda wapi.
COURT DISMISSES DP WORLD PETITION
By FAUSTINE KAPAMA-Judiciary
...........................................................
Judges Danstan Ndunguru, Mustafa Ismail and Abdi Kagomba ruled in favour of the Attorney General and three other Respondents after holding that the constitutional petition...
Salaam!
Rais Samia na serikali yake walitwambia kuwa ujio wa DP World utaongeza mapato ya serikali kwa kiasi kikubwa na kufadhili budget yetu.
Sasa maswali yanakuja je! Ikiwa mapato yameongezeka serikalini,iweje deni likue, kwanini lisilipwe kwa amount kubwa ikibidi limalizwe sababu ya ujio wa...
I will be short
kuna card za chana 50 k na kuna 40 billion on the table for simba sc shares. hapo kila mtu ana 800k kila card.
Kama vipi simba tuuze tu, naona dp world na bakhresa wanavizia hisa za mo wakati wanachama tupo na kadi hazina hata faida.
anyway ngivuu mmmoyaaa 😂
Huku Bandarini tangu DP World wamekuja mambo yamekuwa magumu kwa Wafanyakazi, hatuna over time.
Pia wafanyakazi wengi wamehamishwa, yaani tafrani tupu, kubwa zaidi ni kuwa hatulipwi kwa wakati, mfano sasa hivi tulipaswa kupewa pesa zetu za rent tangu June mpaka leo tunaitafuta August 2025 bado...
Haya ndio matunda ya ubinafsishaji kama yalivyoelezwa na Director wa TPA.
Bandari ya Dar es Salaam Yabadilika: Kutoka Kero hadi Kituo Bora cha Biashara Afrika Mashariki na Kati
Hapo awali ilijulikana kwa msongamano, ucheleweshaji na urasimu mkubwa, lakini sasa bandari ya Dar es Salaam imepitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.