download

In computer networks, download means to receive data from a remote system, typically a server such as a web server, an FTP server, an email server, or other similar systems. This contrasts with uploading, where data is sent to a remote server.
A download is a file offered for downloading or that has been downloaded, or the process of receiving such a file.

View More On Wikipedia.org
  1. Echolima1

    Ku download movie kwenye Telegram

    Napenda ku download movies kwenye Telegram Naomba muongozo kwa anayefahamu tafadhali
  2. S

    Internet Download Manager Free Download

    Internet Download Manager 2025 Free License Key . Download Now: Click Download Now Button & Go-to Downloading Process - Pcwaredownload
  3. S

    Internet Download Manager Software - 20,000 Tsh

    Internet Download Manager Software (IDM) ya Windows OS - 20,000 Tsh. Mawasiliano: 0756704145 Eneo: Dar es salaam, Mbezi
  4. ELI COHEN

    Hizi wi-fi routers ni utapeli tu kama mwingine, yani mtu una download file la gb 3 spidi kama ya konokono

    Yani wabongo tunachezeshwa pass tu za ulaghai, ukienda hapa unapigwa ukirudi unapigwa tena huku wanakutekenya usihisi machungu ya kufinywa Ooh sijui unlimited data, sijui 5G, 4G, kumbe fix tu wanajua kukula kwa namna yao. Pure evil bastards.
  5. mjasiriamali mdogo

    Baada Dramacool na baadhi ya tovuti kufungwa. Ni tovuti gani unaweza kupakua (download) Korean Drama bure

    Wadau wa Korean Drama kwasasa ni tovuti gani zimebaki ambazo unaweza pakua bure. Tovuti ambayo inakuwa na high quality. Nkiri iweke kando Kwanza ina low quality na Drama nyingi hakuna
  6. Carlos The Jackal

    Kwa namna gani unaweza Ku download video za YouTube na kuzihifadhi kwenye Storage ya Simu yako?

    Wakuu ,nmedownload baadhi ya Apps nilizogugo zinazosemekana zinadwnld video YouTube ila Sijafanikiwa . Ni Application gan nayoweza kutumia?. Kwa kuanzia naomben hii video , Kwa sisi Wasanii tunaburudishwa na Mpangilio wa Sauti https://youtu.be/Ae8IA_84Naw?si=MIz142u-I-7GcaO3
  7. Trinity

    Nawezaje ku download videos na audio YouTube?

    Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote ulimwenguni.! Naomba msaada wadau maana nimehangaika tangu zamani bila mafanikio. Miaka ya nyuma Kuna jamaa yangu aliniwekea app ilinisaidia sana, lakini Leo nikiiweka inagoma kabisa, inasema "not permission mara strickted dah nafeli sana kwa...
  8. Deejay nasmile

    Zawadi ya Jumapili! Sikiliza na download playlist hii ya nyimbo za dini

    huyu kuna nyimbo kama vile picha ya mama -bahati bukuku nina siri-israel moyo wangu-rose muhando kunyata nyata- christina shusho-ningare martha mwiaapaya godluck gozbet joel n.k https://hearthis.at/ignas-ndimbo/dvj-nasmiletz-gospal-vol-4-nina-siripicha-ya-mamaherikijitonyamamartha-mwaipayamgendi/
  9. K

    Huu wimbo naweza download wapi?

    Ni Wimbo wa Roman Catholic unaanza na mtu anaongea maneno harafu wanaanza kuimba wimbo unaitwa Kwa ajili ya mateso makali ya Yesu utuhurumie sisi na Dunia nzima Ntaweza kuupakua wapi!? msaada tafadhali
  10. BENEDICT BONIFACE

    Download kitabu cha "Guidance and counselling in education institution" na ict and computer application for teachers(pdf)

    VITABU HIVI NI VIZURI KWA WALIMU, NA WANAFUNZI WANATAKA KUA WALIMU VITAWASAIDIA
  11. Best Daddy

    Mind Bending Blowing Movies Special Thread

    Ulishawahi angalia filamu ukajikuta una question your reality? una-question everything? Yaani filamu imeilenga akili yako mtazamaji kama ni sehemu ya mchezo. Basi huo ni mfano wa Mind bending/blowing movie. kwa matumizi ya uzi huu: Mind bending films films ni aina ya filamu zenye lengo la...
  12. Amydiz

    Jinsi ya ku Download PC GAMES FIFA, PES, Minecraft, Fortnite, Counter-Strike 2 & GO, Call of Duty: Modern Warfare II/III/Warzone, League of Legends

    Hellow watu wangu wa games. kwawale wanao penda games tu share website mbali mbali za kucheza na ku dawnload PC GAMES Naanza na hizi; https://oceansofgamess.com/ https://store.epicgames.com/en-US/free-games https://store.steampowered.com/ https://www.g2a.com/ https://www.softpedia.com/
  13. Gulio Tanzania

    Msaada naomba makadirio ya malipo App yenye download 10k

    Habari zenu wakuu, Nimekuja kwenu wadau naomba msaada wenu kwa wamiliki wa App huko play store nataka nijue App yenye download watu 10k na watumiaji active 10% malipo yake huwa kiasi gani kwa makadirio kwa mwezi. Nimesikia Admob wanalipa sana na ndio mana nimekuja hapa ili nipate taarifa kwa...
  14. Jokeri

    Msaada simu yangu inagoma kuinstall App nilizo download kwenye Google Chrome na nilizo rusha kwa njia ya Xender

    Nimeluhusu sehemu zote zihusianazo na security & install unknown apps. kila nikijaribu ku install inaandika hivi 👇 Msaada plz.
  15. Kitchener

    Mwenye shida ya uzazi soma download hii doc

    Kuna kipindi nilikuwa sina watoto, miaka nenda rudi, nilitafakari maneno haya na kumwambia Mungu kuhusu haya, Mungu alikuja kufungua tumbo la mke wangu, nina watoto hadi tunapambana kuzuia mimba wasije wengine. Mungu ni wa ajabu sana. WATOTO NI ZAWADI TOKA KWA MUNGU Mwanzo 1 :28, Mungu...
  16. luangalila

    Msaada wa Ku download Computer Software FREE

    Watalaaam kwemaa kama kichwa cha habari kinavyo sema, Zaman mm nilikuwa mtumiaji mkubwa wa sites kama pirrate bay kwa ajili ya ku download movies na softwares mbali mbali , lkn siku izi nimekuwa nikipata shida sana kupata softwares ambazo (cracked)., naomba msaada wenu wataala kama kuna anaye...
  17. kifii sheria

    Download vitabu bure hapa

    Kwa wanafunzi na wale wanaoanza practice ya criminal, hizi zinatumiwa kama checklist kwenye trial Subordinate na High Court na appeals High Court na Court of Appeal. unaweza kuokota kitu.
  18. Makanyaga

    Soma vitabu au novels, download vitabu au novels kwenye website hii

    https://www.you-books.com/ Sample novel: TRUE COLOURS https://www.you-books.com/bookepub/D-Palmer/True-colors/truecolors_fm01.html https://www.you-books.com/bookepub/D-Palmer/True-colors/truecolors_ch01.html CHAPTER ONE MEREDITH STOOD by thewindow watching the rain beat down on Chicago...
  19. Powder

    Nielekeze wapi naweza ku download hii series ya Kikorea....!?

    Natafuta Korean series inayoitwa Arthdal Chronicles....! Nimehadithiwa habari yake kwa Uchache, kuhusu Igutu wenye Damu yenye rangi ya Zambarau...!!! Wapi naweza ku download hii series..!??
  20. KakaKiiza

    Naomba kuuliza hivi kuna Internet Download Manager App Kwa ajili ya MAC Computers

    Wakuu naomba kuuliza kama kuna Internet Download Manager App Kwaajili ya MAC Computers. Kama ipo naomba link
Back
Top Bottom