download

In computer networks, download means to receive data from a remote system, typically a server such as a web server, an FTP server, an email server, or other similar systems. This contrasts with uploading, where data is sent to a remote server.
A download is a file offered for downloading or that has been downloaded, or the process of receiving such a file.

View More On Wikipedia.org
  1. Gabb_y

    Download movie zilizotafsiri tafsiriwa pamoja na sizoni bure hapa

    *****†********
  2. Da'Vinci

    Animation Download Links...

    Habari👋 Naomba mnisaidie Links za kupakua Series/Movie hizi kutoka Channel za Disney na Nickelodeon. Nimejitahidi kutafuta links nimeshindwa, Tinker bell zipo tano ni muvi Pia naombeni Links ya anime mbalimbali za kijapan CC Ninja assasin Chief-Mkwawa Super Assassin
  3. Kukudume2013

    Je uzuri wa ku download na ule wa natural upi unapenda wewe?

    Miaka ya karibuni kumezuka hombwe la kufata mkumbo kutoka magharibi (utandawazi) ktk nyanja nyingi. Leo hii nitazungumzia nyanja moja tu ya urembo. Utaona wadada wetu wanajiremba na kujirembua kwa kasi ikiwemo kubadilisha maumbile yao kama MAKALIO.MATITI.NYWELE .MAKUCHA NK. na hata rangi zaoza...
  4. HIMARS

    Hii Coming 2 America sijaielewa...

    Jamani maoni yenu kuhusu hili dude, naliona. Lina matusi mno Haifai kwa watoto Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
  5. dvj nasmiletz

    Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

    Kama wewe ni dj au mdau wa muziki.hapa unaweza kusikiliza na kudownload nyimbo zilizotengenezwa na madj. Yaan mixing au nonstop mix kutoka djs mbalimbali PIA UNAWEZA TEMBELEA CHANEL YANGU YA YOUTUBE INAITWA DVJ NASMILETZ https://www.youtube.com/@NASMILETZ?sub_confirmation=1 KISHA SUBSCRIBE...
  6. YEHODAYA

    Nawezaje kuweka Playstore Application yangu niliyotengeneza ili kuuza na mtu aki download pesa napataje?

    Wataalam, Nawezaje kuweka play store application yangu niliyotengeneza ili kuuza na mtu aki-download pesa napataje?
  7. Tripo9

    Msaada jamani ku download kitabu kinachouzwa mtandaoni lakini mi niki download kwa free

    Kitabu kinaitwa THE LOST BOOK OF HERBAL REMEDIES ( by Claude Davis and Dr. Nicole Apelian) Dah nakihitaji Sana. Wataalam wa ku cheza na kuchekecha mambo hamuwezi mkanisaidia aisee ni fanye free download?!! Asante sana 🙏🙏
Back
Top Bottom