dorothy semu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dorothy Semu: Wananchi wasimame kidete kulinda kura

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesema chama chake kimeamua kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba ili kutetea na kulinda demokrasia nchini, akisisitiza kuwa ni haki ya kila mwananchi kuchagua viongozi wanaoweza kuleta maendeleo. Amebainisha haya Busega, mkoani Simiyu, Semu na kwamba haki...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Janeth Ritte:Tupo tayari kumpigania na kumuunga mkono Dorothy Semu

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo, Janeth Ritte, ametangaza kwa msisitizo kuwa wanawake wa chama hicho wako tayari kumpigania na kumuunga mkono Dorothy Semu, Kiongozi wa Chama, kupeperusha bendera ya ACT katika nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akizungumza...
  3. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy Semu: Fedha za uchaguzi Mkuu zisitumike kuminya demokrasia

    ACT WAZALENDO YAPINGA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA UCHAGUZI MKUU Chama cha ACT Wazalendo kinapenda kuwajulisha wananchi wote wa Tanzania kuwa katika muktadha wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26, tumechambua kwa kina matumizi yaliyotengwa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025...
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy Semu: Tukisusia uchaguzi tutakuwa tunaimarisha hujuma dhidi ya demokrasia. ACT Wazalendo tutaikabili CCM itakavyokuja

    Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo, Bi Dorothy Semu akizungumza katika mkutano wa hadhara Temeke ameendelea kusisitiza kuwa chama chao kitashiriki uchaguzi ili kuing'oa CCM Madarakati. Amesema ''Tumeona na tumejifunza tunaposusia uchaguzi, tunaendelea kuimarisha hujuma dhidi ya demokrasia, CCIM...
  5. crome20

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu anakiri mifumo ya uchaguzi haiwezi kutoa haki lakini hawatasusia uchaguzi

    Nina swali kwake. Hivi hawaoni wakiungana na Chadema kutoshiriki uchaguzi mpaka mabadilko ya kweli yawepo ndio njia bora ya kushiniiza mabadiliko? Ni akil gani ya kuamini utashinda wakati unakiri kura zinaibiwa, wagombea wanaenguliwa kwa sababu zisizo za kikatiba. Haoni kushiriki uchaguzi ni...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tazama kiongozi wa ACT alivyozuiliwa kuingia mahakama ya Kisutu kwenye kesi ya Lissu

    Leo ni siku ambayo imekuwa busy sana wakuu, huku watu wanatekwa huku wengine wanazuilwa mahakami yani imekuwa tafrani. CCM kama inajiamini kwa nini inafanya haya yote? Kwanini wasitulie === Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu amezuiliwa kuingia kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy Semu achukua fomu ys kugombea Urais ndani ya ACT Wazalendo

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu leo tarehe 22 Aprili, 2015 amefika Makao Makuu ya Chama hicho Jijini Dar es Salaam kuchukua fomu ya kuomba kuwania nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akidokeza kuwa yupo tayari kuchuana na Mgombea wa CCM Samia Suluhu Hassan ikiwa...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy Semu: Uchambuzi wetu unaonesha katika nchi mbalimbali duniani, kususia uchaguzi kumeimarisha hujuma zaidi za dola dhidi ya demokrasia

    Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Doroth Semu ameeleza kuwa Chama hicho kitashiriki kikamilifu uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu kwenye nafasi zote za Udiwani, Ubunge, Uwakilishi na Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ule wa Zanzibar. Akizungumza na wanahabari leo Aprili 16...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy Semu: Hatutaki kubaki kimya mbele ya kanuni kandamizi, lazima kuwe na rekodi kwamba tulipinga

    Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kuwa kitafungua kesi mahakamani kupinga baadhi ya kanuni za maadili ya uchaguzi ambazo kinaamini zinakiuka Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kikisema lengo ni kutafuta tafsiri sahihi ya haki za wananchi kisiasa. “Chama cha siasa ni mdau, lakini yule...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy semu: Mashtaka ya Lissu ni jaribio la kufunga mdomo wa haki

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu akieleza namna chama hicho kinavyosimama pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu anayekabiliwa na mashtaka mawili (2) yenye makosa manne (4) ikiwemo kosa la uhaini lisilokuwa na dhamana.
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya kusaini maadili na kanuni zake. ACT Wazalendo watoa Mlio, kanuni zina mapungufu

    Daaaah... ACT nao eti wanatoa mlio kwa issue hii? === "Tumefanya uchambuzi wa kina wa Kanuni za Uchaguzi na Kanuni za Maadili, na tumeona mapungufu makubwa. Kwa mfano, Kanuni za Maadili zinawalazimisha vyama kusaini makubaliano yanayokiuka Katiba, na kuwanyima haki ya kushiriki uchaguzi. Hili...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy Semu: Kuwazuia kushiriki uchaguzi ni kuwanyima haki ya kisiasa

    Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu akieleza mkakati wa chama hicho kufungua kesi za kupinga kanuni za uchaguzi zinazoongoza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 zilizosainiwa leo, Jumamosi Aprili 12.2025 jijini Dodoma akidai kuwa ni kandamizi Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy Semu wa ACT Wazalendo: Tunaitaka serikali imuite Balozi wa Angola nchini Tanzania ili ajieleze

    “Kutokana na kadhia hii ambayo mmeisikia kwanza baada ya matukio haya yote kuanzia tarehe 13 mpaka leo tarehe 16 tunafanya press hii hatujasikia chochote kutoka kwa Serikali ya Tanzania kutoka kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzanka kutoka kwa Wizara ya Mambo ya Nje kwamba ni nini hasa...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwaka 2025 mageuzi ni lazima: Dorothy Semu awataka Wanawake kusimama imara

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesisitiza kuwa mwaka 2025 ni mwaka wa mageuzi na wanawake hawatarudi nyuma katika mapambano ya kudai haki zao. Akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani jijini Dar es Salaam, Semu ameeleza kuwa hali ya kisiasa nchini...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti ACT Wazalendo Dorothy Semu: Nikiteuliwa serikalini sitakubali uteuzi. Sitamani kufanya kazi nyingine zaidi ya ACT

    Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Doroth Semu ameeleza kuwa hatamani kufanya kazi sehemu nyingine tofauti na kukitumikia chama chake Cha ACT Wazalendo Na kwamba hata akipewa kazi serikalini hawezi kukubali. Ikumbukwe kuwa mwaka 2017 aliyekuwa mgombea wa ACT Wazalendo Anna Mgwhira...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Dorothy Semu atangaza nia ya kuwania Urais mwaka 2025

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu ametangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao. Semu ametangaza nia hiyo leo Alhamisi Januari 16, 2025 alipokuwa akizungumza na wahariri na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam akisisitiza yupo tayari kumkabili Rais Samia Suluhu...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dorothy Semu amuonya Mtendaji wa Kijiji kutoipendelea CCM Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amemuonya mtendaji wa Kijiji cha Angalia kutopendelea Chama cha Mapinduzi (CCM) wajibu wake nikutumikia wananchi sio ubaguzi wa itikadi katika uchaguzi. Kauli hiyo ameitoa baada ya mtendaji huyo kuzuia mikutano ya chama hicho kutumia maeneo ya Umma, Semu...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee, Dorothy Semu, na Dkt. Dorothy Gwajima ni baadhi ya mifano Bora ya Wanawake kwenye Siasa na Uongozi

    Halima Mdee Alikuwa Mbunge wa Kawe kuanzia 2010 hadi 2020 (CHADEMA) akiwa miongoni mwa Wanawake wachache walioweza kuingia Bungeni kwa kupitia vyama vya Upinzani. Aliwahi pia kuwa mwenyekiti wa BAWACHA Dorothy Semu Mwaka 2020 aliteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti Bara na Chama cha ACT-Wazalendo...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dorothy Semu ashiriki katika msiba wa aliyekuwa Mkuu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga, Askofu Chediel Sendoro

    Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Ndugu, Dorothy Semu, leo 17 Septemba, 2024 akiwa safarini kuelekea Jimbo la Rombo amepita Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga kwenye kuaga mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga, Askofu Chediel Sendoro ambaye alifariki tarehe 9 Septemba...
  20. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dorothy Semu katika Kikao cha Halmashauri Kuu Taifa ya ACT Wazalendo, Agosti 25, 2024

    Taifa la wote, Maslahi kwa wote! Zanzibar Mpya, Zanzibar Moja Mamlaka kamili. Ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa nafasihii adhimu ya kukutana nanyi kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya kwanza tangu chama chetu kipateuongozi mpya baada ya Uchaguzi Mkuu Machi mwaka2024. Kwa heshima...
Back
Top Bottom