dola

The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mnakomaa kupata Tume Huru ya Uchaguzi, mnadhani itawaweka madarakani?

    Kwa mujibu wa ibara ya 190 ya rasimu ya Katiba ya JMT iliyoundwa na tume ya Jaji warioba ni kuwa kutakuwa na tume huru. Mwenyekiti, makamu mwenyekiti na wajumbe saba wa tume watakuwa wanateuliwa na rais. Kama mwenyekiti akitoka bara,makamu atatoka Zanzibar vivyo hivyo makamu akitoka Zanzibar...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA kususia sherehe za Uhuru ni kukosa uzalendo. Hii ni kuthibisha kuwa hamfai kukamata Dola

    Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili...
  3. JamiiForums Tanzania Twiga wetu wa Barrick azidi kurefusha shingo yake, atanuka, anenepa na kuzidi kutanua! Anunua mgodi wa jirani kwa $ Milioni 6, kuinvest $ Milioni 9

    Wanabodi, Wale wasoma kizungu, nendeni moja kwa moja jikoni, Barrick’s Bulyanhulu Acquires Highly Prospective Licences in Tanzania Kampuni ya Twiga Minerals Corporation (“Twiga”), ambayo ni joint venture kati ya Barrick na serikali Tanzania, kupitia mgodi wake wa Bulyanhulu Gold Mine Limited...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ifanye 'due diligence' mkataba TANESCO kukodisha software kwa Dola 30m toka kampuni ya India

    Chini ya dr Menard Kalemani tuliambiwa tanesco tayari ilikua inajiendesha yenyewe na taarifa ya mwisho ya hesabu shirika lilianza kupata faida. Asili ya tanesco kua mzigo ni kugeuzwa shamba la bibi na wapigaji. Mikataba ya uzalishaji ya kinyonyaji na makampuni binafsi na ubadhilifu wa vigogo...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa hii CCM inayopasuka na sisi tunavyojipanga kidigitali 2025 tukishiriki uchaguzi tunaweza kukamata dola

    Tunashuhudia Chama chetu kikisonga kidijitali na kusajili maelfu kwa mamilioni ya wanachama. Tunashuhudia Ccm ambayo imeanza kumeguka kati ya wapinga upigaji madili na wapiga madili. Kwa hali hii ya kisiasa ni wazi kuwa 2025 kama tutashiriki uchaguzi basi tutatoka na ushindi mkubwa.
  6. JamiiForums Tanzania Dola milioni 115.7 zatolewa kwa ajili ya kutoa chanjo za Malaria Afrika

    Muungano wa chanjo ulimwenguni wa Gavi Alhamisi umesema kwamba bodi yake imeidhinisha dola milioni 155.7, kuelekea zoezi la utoaji wa chajo za kwanza za malaria kwa watoto kwenye mataifa yalioko chini ya jangwa la Sahara barani Afrika. Mwenyekiti wake Jose Manuel Barroso ameeleza kufurahishwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kijiji kilichojengwa enzi za Dola ya Roma kipo nchini Italia

  8. JamiiForums Tanzania Enzi za Dola ya Roma walichaguliwa wenye bikra kutumikia madhabahu. Hawa walipewa heshima kubwa katika jamii

    Utaratibu kama huu unaweza kurudisha heshima ya bikra katika jamii na wana wari kujitunza mpaka ndoa.
  9. JamiiForums Tanzania Mfahamu Binti Mfalme wa Dola ya Mongolia Aliyefahamika kwa Jina la Khutulun

    BINTI MFALME WA DOLA YA MONGOLIA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA KHUTULUN. Khutulun alikuwa binti wa pekee wa Kaidu Khan ambaye alikuwa ni kizazi cha mfalme wa dola ya mangolia Ganghis Khani shujaa aliyeogopwa kwa ukatili dunia nzima. Dola hiyo ilipatikana Asia ya kati na ilikuwa ikijulikana kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ndugu Nape pokea mchanganuo wangu wa dola 9 billioni alizokula Magufuli

    NDUGU NAPE POKEA MCHANGANUO WANGU WA DOLA 9 BILLIONI ALIZOKULA JPM. Kwa hesabu zangu za darasa la saba B,Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere,JPM aliweka mzigo wa Usd $5 Billion,SGR Dar-Morogoro-Makutupora Dodoma JPM aliweka mzigo wa Usd $3 Billioni,SGR toka Mwanza-Isaka JPM aliweka mzigo...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mnapoongozwa na Dola Ovu

    Mhalifu au mwovu huweza kuwa mtu binafsi, serikali/dola, taasisi, kikundi rasmi au kisicho rasmi. Uovu mbaya kabisa ni ule wa dola maana huo unafanywa dhidi ya wananchi ambao kihalisia walistahili kuheshimiwa na kutendewa haki. Wanaosababisha dola iwe ovu ni watawala waovu. Na bahati mbaya...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuwa PIMA COVID-19 hawahitaji dola?

    Nilikuwa mjini Dar nikaona wageni / Wazungu sijui na waNigeria? wanahitaji huduma ya kupima korona Wakawa wanaulizia wapi wanaweza kubadili Dola wapate shilingi kwa kuwa eti pima covidi inahitaji shilingi pekee. Nikajiuliza Hivi ni kweli kuwa wizara ya Afya haihitaji Dola? Yaani dola...
  13. JamiiForums Tanzania FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

    ||FY2021|22 Rais Samia kutoa Jumla ya Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma yaliyoaachwa na mtangulizi wale, === Rais Samia Suluhu Hassan kimyakimya ameendelea kulipa madeni mbalimbali kwa makampuni binafsi au taasisi. Kwakuanzia tu mwaka huu pekee Rais Samia analipa madeni yenye thamani ya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndoto ya CHADEMA ya muda mrefu ya kushika dola wananchi wameinyonga mpaka kufa (Part 1)

    Amani iwe nanyi wana JF, Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kijenotyipia ( ki-mtazamo wa ndani ) kimeshakufa kibudu ila kifenotyipia ( ki-mtazamo wa nje ) bado kinaishi hali hii ilishawahi kuvikumba vyama vya National Convention for Constitutional Reform ( NCCR -Mageuzi ) baada...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wafuatao wajiandae kuzongwa na dola ili wajiunge CCM

    Chadema wamekimbiza sana huko kitaa na usajili wa kidigitali. Viongozi wa jumuia za chama hiki wanafanya kazi kubwa sana na wameibua wananchi kuamka hasa wanawake kuitafuta haki. Kwa namna ambavyo viongozi Hawa wamejizolea umaarifu lazima wataaza kukamatwa na kuteswa kisaikologia wapunguze Kasi...
  16. JamiiForums Tanzania Je unajua dola inavyosafirishwa? Mfano unaposikia benki ya dunia wametoa msaada dola bilioni kadhaa kwa nchi husika unajua zinafikaje?

    Jibu ni rahisi zinatoka New York au Washington kwa ndege mpaka kwa nchi lengwa. Ila pia ujue kutoka airport mpaka benki kuu haiwezi kabisa kutekwa maana Kuna makomandoo maalumu kwa kila nchi wanaotumiwa kusafirisha pesa. Ya kasusura ni inside job usilete ule upuuzi kwenye huu Uzi.
  17. JamiiForums Tanzania Mtaa wa Fugerrei haujapandisha bei ya nyumba kwa miaka 500, ukilipa dola 1 unakaa mwaka mzima

    Nyumba zilizoko Fuggerei, Augsburg Ujerumani zilijengwa mwaka 1521 na Jacob Fugger ambapo tangu hapo hadi leo bei ya kuishi humo haijapanda. Unalipa dola 1 (Tsh. 2300) kukaa mwaka mzima. Masharti ya kukaa kwenye nyumba hizo ni lazima uwe mkatoliki, umuombee Jacob Fugger mara tatu kwa siku, pia...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Series ya Squid Game imefanikiwa kuingiza Dola za Kimarekani 900M ikiwa ni zaidi ya Tshs Trilioni 2, mwezi mmoja tu tangu itoke

    Series Ya Squid Game Imefanikiwa Kuingiza Takriban Dola Za Kimarekani Milioni 900 Ikiwa Ni Zaidi Ya Trilioni 2 Tshs Ikiwa Na Mwezi Mmoja Tu Tangu Itoke Rasmi. - - Kwa Mujibu Wa Mtandao Wa Bloomberg Series Hiyo Imetazamwa Na Watu Milioni 132 Kwenye Siku 23 Za Mwanzo Ilipoachiwa Na Hii Kuvunja...
  19. JamiiForums Tanzania Suala la Sabaya, CCM imejionesha kuwa ni chama cha Dola

    Lazima wana CCM tuainishe the basic contradiction ya uhusika su kutohusika kwa CCM katika suala la Ole Sabaya. Komredi Abdulrahman Kinana alipokuwa Katibu Mkuu CCM, pamoja na Katibu Mwenezi Nape Nnauye, wakati wao wslidiriki kuinyooshea kidole Serikali kwa mapungufu kila idara iliyokuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Utajiri wa Mark Zuckerberg wapotea kwa Dola bilioni 7 baada ya Mitandao yake kupata tatizo

    Utajiri wa Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg umeanguka kwa wastani wa USD 5.9 B hadi 7 kwenye saa ambazo mitandao ya Facebook, Instagram na Facebook ilipata tatizo la kimtandao, kwa sasa Mark yupo No. 6 kwenye orodha ya Matajiri Duniani akiwa na utajiri wa USD 116. 8 B. Kampuni ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…