dola

The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kampuni Shell yatangaza faida ya Dola Bilioni 9 kwa miezi 3 Iliyopita

    Ni wazi kabisa kupanda kwa bei ya mafuta ni makampuni yanayoagiza mafuta yameamua kupandisha bei wala suala hili halihusiani na vita vya Ukraine ni muhimu kwa serikali kuangalia huu mfumo wa uagizaji kwa Bulk. Ikumbukwe wakati wa serikali ya awamu ya 3 mfumo huu wa kuagiza mafuta kwa (Bulk)...
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani, Joe Biden atangaza kutoa silaha za dola milioni 150 kwa Ukraine

    Rais wa Marekani, Joe Biden ametangaza kutoa silaha zenye thamani ya dola milioni 150 kuisaidia Ukraine katika vita dhidi ya Urusi. "Ninatangaza kutakuwa na mzigo mwingine wa msaada wa ulinzi ambao utahusisha silaha za ziada na rada kwa ajili ya Ukraine," amesema Biden. Kwa mujibu wa ofisa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tangu mashambulizi ya Urusi yaanze, Ukraine imepokea misaada ya silaha na fedha kiasi cha dola za Marekani zaidi ya bilioni 12! Hizi zote ni mkopo!

    Ukraine received over $12bn in weapons, financial aid since start of war Ukraine has received over $12bn in weapons and financial aid since the start of Russia’s full-scale invasion on February 24, Ukraine’s Prime Minister Denys Shmyhal has said. Speaking at a high-level donors’ conference in...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Biden aliomba Bunge kuidhinisha dola bilioni 33 kuisaidia Ukraine kukabiliana na uvamizi wa Urusi

    Rais wa Marekani, Joe Biden ameliomba Bunge la Marekani kuidhinisha msaada wa ziada wa dola bilioni 33 kwa lengo la kuisaidia Ukraine wakati huu inapokabiliwa na uvamizi wa Urusi. Rais Biden amesema kuwa lengo sio kuishambulia Urusi bali kuisaidia Ukraine, ambapo msaada huo unahusisha dola...
  5. JamiiForums Tanzania Marekani yaahidi dola milioni 10 kwa atakayetoa taarifa za wadukuzi 6 wa Urusi

    Marekani imesema itatoa kiasi cha hadi dola milioni 10 kwa atakaetoa habari kuhusu watu 6 wanaotambulishwa kuwa ni maafisa wa ujasusi wa Jeshi la Urusi, wanaodaiwa kuwa waliendesha mashambulizi ya mtandaoni yaliyoathiri miundombinu muhimu ya Marekani. Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imesema...
  6. JamiiForums Tanzania Bajeti ya wizara ya ulinzi ,Marekani mwaka 2022 ni dola bilion 700 sawa na trilion zaid ya 1400 ,why anamsaidia ukrain trilion 2

    Hapa Ukraine ajiulize mara mbili anasaidiwa au anaangamizwa ,haiingii akilini mtu anakula mboga saba alafu anakupa kipande cha silesi eti kakupenda , Kwa kamsaada hako usitegemee utamshinda Russia kwa hako kamsaada. Yani wmarekani siwaelewi kabisaaa,msaada wa dola million 800 mdogo sana...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya jeshi la Ukraine kwa Mwaka ni Dola 2.3 bilioni. Mpaka Sasa imepewa "msaada na Marekani zaidi ya Dola 3 bilioni.

    Kama ulishawahi kusikia msemo wa "machozi ya mamba", ndicho mabeberu wanakifanya kwa Ukraine! Mamba akikamata mawindo huwa anatoa machozi!! Hayo machozi ya mamba si dalili ya maumivu Bali ni kielelezo Cha kifurahia utamu wa mawindo aliyopata! Kumekuwa na makelele ya vilio Toka Nchi za magharibi...
  8. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine umesababisha hasara ya dola bilioni 60

    Uharibifu wa majengo na miundombinu ya Ukraine kutokana na uvamizi wa Russia umefikia hasara ya takriban dola bilioni 60 na utaongezeka zaidi kadri vita vinavyoendelea, Rais wa Benki ya dunia David Malpass amesema Alhamisi. Malpass ameuambia mkutano wa Benki ya dunia kuhusu mahitaji ya msaada...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dunia imechelewa mno kuishtukia Marekani kuhusu utawala wa pesa yake DOLA katika uchumi wa dunia. Angalau sasa wameishtukia

    Marekani iliipiga changa ya macho dunia kwa muda mrefu. Ikalazimisha dola iwe ndio pesa rasmi katika biashara za kimataifa na uchumi wa dunia. Wanachofanya ni kuchapisha noti tu za dola na kuipa thamani kwa kauli tu. Dunia nayo ikawa imejikuta inakubaliana na changa hilo la macho. Lakini Urusi...
  10. JamiiForums Tanzania Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

    Kwa ufupi ni kuwa yule dada wa kinigeria alimpenda mlinzi wa kimakua na akaona haiwezekani kulala mwenyewe ila baadae akamgeuka, na walifikishana mpaka kwa mkuu wa wilaya ili kusuluhisha. Lakini yuke binti wa kiniger akagoma mpaka alipwe kitita cha US dollar 10,000 takribani 23.5mil ili...
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe pamoja na kuchangisha pesa mikakati iwe kuchukua dola 2025. CCM haikubaliki kabisa maana kwa mwaka mmoja tu imepoteza nguvu

    Anza mikakati ya kutafuta wagombea makini kwa ajili ya udiwani, ubunge na urais. Pia chaguzi za serikali za mitaa. Msisitizo ni kuwa hii ni wananchi kuikataa hii CCM ya wapiga madili hii ndio iwe hoja kuu. Wewe binafsi usigombee maana haukubaliki. Tafuta watu makini. 2025 ushindi upo wazi kabisa.
  12. JamiiForums Tanzania Kulikuwa na nini kati ya Tanroad ya Mfugale na JPM? Tanroad ilipokea fedha kuleta mtambo wa kutengeneza sukari wa dola milioni 50, haukuletwa!

    Huyu ndiye Rais wa wanyonge, aliyejipambanua kupambana na ufisadi, alidanganya wananchi wa kawaida wakamwamini, mlango wa nyuma alikuwa anafanya kweli. Kazi ya Tanroad ni barabara, lakini Mfugale alikuwa Kila mahali, uwanja wa ndege chato, yupo,standard gauge railway yupo. ==== ➡️"TANROAD...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania US Dola matatani kusambaratika, Biden kaliwasha na limemlipukia, anatapatapa

    Dolla ya Marekani ipo hatarini kusambaratika baada ya vita ya Urusi-Ukraine ikiisha. Baada ya Putin kutangaza mali zake zitauzwa kwa pesa yake RUBEL moja kwa moja, pesa hiyo imeimarika baada ya mataifa mengi kukimbilia Deal hilo kwani ni badhaa huwa bei rahisi. Hata ukali wa bei ya mafuta TZ...
  14. JamiiForums Tanzania Elon Musk ofa kuinunua Twitter kwa asilimia 100 kwa dola bilioni 41. 39

    Elon Musk ametoa ofa ya kuinunua kampuni ya Twitter kwa dola 54.20 kwa kila hisa. Hii ni ongezeko la asilimia 38 tangu tarehe 1st April Twitter alipotangaza amenunua asilimia 9. Elon mwanzoni mwa wiki hii alikataa maombi ya kujiunga na bodi ya Twitter. Wataalamu alitafsiri kukataa kwa ilo ombi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania CCM ilianguka kiuongozi 2013 haitasimama Tena; Dola pekee ndiyo itasimamia waendelee kuwepo madarakani

    Chama Cha mapinduzi kilipasuka miakaa tisa iliyopita; ufisadi, undugu na umimi ndio uliopelekea kikose dira kwenye jamii. Leo kinachofanyika siyo kukijenga chama wala kuijenga Nchi bali chama kimejikita kujitoa magamba Kisha yanaota mapya. Leo mataifa mengi yanapambana kusimamia uchumi lakini...
  16. JamiiForums Tanzania Vikwazo kwa Urusi; Sarafu ya ruble ya Urusi yapanda thamani dhidi ya dola ya Marekani

    VIKWAZO KWA URUSI;SARAFU YA RUBLE YA URUSI YAPANDA THAMANI DHIDI YA DOLA YA MAREKANI. Leo 15:30pm 27/03/2022 Respect for Russia,who dare to stand up against the West,Baada ya vikwazo vingi vya Ulaya na Marekani kwa Urusi,Urusi imetangaza kuuza mafuta na Gesi kwa sarafu yake ya ruble,Masaa 24...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola mmelitoboa Jahazi, itisheni boti za uokozi tusizame

    Mhe Rais wavumilie wenye Dola, wakumbushe umuhimu wa wao wenyewe kuwa na wivu dhidi ya vyombo vyao, usiendelee kuwateua, waelekeze wazifanyie mabadiliko sheria zao, waunde waweze kujisimamia, watenganishe na chama chako na kuwapandisha na kuwapa madaraka Kwa kuzingatia utendaji wao na siyo...
  18. JamiiForums Tanzania NATO ndio dola ya mwisho, hakuna nyingine itakayoinuka

    Ukisoma kitabu cha Danieli utaona ufunuo wa lile sanamu ambalo nilikua ndio mfano wa Muundo wa Dola ambazo zitaitawala dunia,ulianza utawala wa nebukadreza ambao ulikua na nguvu na imara kama dhahabu, Ukavunjika. Wakaja warumi walikua imara kama chuma nao wakaanguka. Sasa hivi umekuja NATO...
  19. JamiiForums Tanzania Polisi ni chombo cha dola, aliye na mamlaka ndiye anaesikikizwa.

  20. JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kupata kazi FBI, wameniomba dola 100 kwa ajili ya badge

    Kiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI. Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo. Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani yanasumbua kuhusu usafirishaji so wameniomba dola 100 ili wampe mdau mmoja anakuja huku Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…