dola

The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna tetesi ligi kuu yetu wapo wachezaji wa nje wanakunja mpaka milioni 10 kila mwezi. Je, kuna mzawa yeyote anealipwa hata milioni 5 ?

    Kwa wachezaji wa nje wa hapa bongo wapo wanaokunja hadi milioni 10 lakini kwa wazawa wetu kuna utata. Tukija kwa wachezaji wetu wa hapa bongo, kunaweza kuwa na yeyote anaelamba walau dola elf 3 kwa mwezi takribani shilingi za kitanzanha milioni 7 kila mwezi? Kuna tetesi zipo kwamba Feisal...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Sothbys kufanya mnada wa almasi yenye karati mia 3 ambayo inakadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 15 za kimarekani

    Sothbys kufanya mnada wa almasi yenye karati mia 3 ambayo inakadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 15 za kimarekani.
  3. JamiiForums Tanzania Hata kikishika dola bado CHADEMA kitaendelea kuwa chama cha upinzani

    Je, CHADEMA ni CCM B? Hili ni swali nimejiuliza kwa siku kadhaa baada ya kutokea tukio la udhalilishaji huko Mara. Tukio lenyewe ni kada wa CHADEMA aitwaye Chacha Heche kumshurutisha kwa maneno ya hovyo mzee mmoja aliyekuwa akifanya kibarua kwa ndugu Chacha kwamba avue shati la CCM. Lilikuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ghana kuipiga kando dola ya Marekani katika ununuzi wa mafuta

    Nov 26, 2022 02:33 UTC Serikali ya Ghana inaanda sera mpya ya kununua bidhaa za mafuta kwa kutumia dhahabu badala ya sarafu ya dola ya Marekani. Makamu wa Rais wa Ghana, Mahamudu Bawumia amesema katika ujumbe alioutuma kwenye mtandao wa Facebook kuwa: Iwapo mpango huu utatekelezwa barabara...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli uwe mtamu kusema japo ni mchungu sana, kwa sasa CCM inabebwa na dola kama Chama Tawala ila kwa ndani imeshajifia

    Wakuu habari? Ni matumaini yangu kuwa mko poa sana katika harakati zetu za watu weusi kutafuta rizki ya kila siku.Wanasema hatuwezi kuacha kujihusisha na Siasa sababu Siasa ndiyo ina mstakabali wa maisha yetu,kwa siku za hivi karibuni yaani kuanzia 17.3.2021 hadi sasa nimekuwa nikifatilia vyama...
  6. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kuleni kilichopo mezani, CCM haiwezi kuwatengenezea njia ya ninyi kushika Dola!

    Nasikia huko Zanzibar kimeumana! Sijajua Othman Masoud na Rais Mwinyi kama wanatazamana usoni kwa sasa. Masoud anaonekana ni mtata sana hata akiwa ofisini sijajua anamshauri vipi Rais Mwinyi. Kilichopo kwa ACT wamshukuru Maalim Seif kwa heshima yake suk imekuwepo. Hiyo haimaanishi CCM...
  7. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani anzieni hapa kuelekea kushika dola 2025+

    Kutokana na uhalisia wa kwamba Chama.Cha Mapinduzi kujikita kwenye siasa zenye malengo ya kuimaliza nchi ishindwe kuwa na uwezo wa kupata maendeleo ya kweli. Nimewaza sasa kutoa ushauri kwa vyama vya siasa hususani vya upinzani kuwapa mbinu za kufikia kutwaa dola kwenye chaguzi zijazo za...
  8. JamiiForums Tanzania Namba hazidanganyi, Mwinyi aliitoa Tanzania kutoka GDP ya dola bilioni 13.5 mwaka 1985 mpaka dola bilioni 5.7 mwaka 1995

    Hizo ndio takwimu zinavyoonesha. Nchi iliporomoka vibaya sana katika miaka hiyo kumi alipokuwa anaongoza rais mstaafu Mwinyi. Alishindwa kufanya makubaliano mazuri ya kiuzalendo na IMF na WB ili uchumi usiporomoke Mwaka 1985 Mwaka 1995
  9. JamiiForums Tanzania Ewe DOLA, ikikupendeza 2025, Tuleteeni Luhaga Mpina

    Kuna Chemistry hapa naiota Kila kukicha Nikweli ni kijana, ila Uongozi ni AKILI , huyu mtu kawekeza sana Muda wake, Akili yake, Kwa masuala mapana yenye masilahi na Nchi . Ewe DOLA, inawezekana Kuna walamba Asali wamejipenyeza mpaka huko ndani. Ila DOLA, Kwa kunionea huruma tu Nchi hii, na...
  10. JamiiForums Tanzania siasa ni dili ,hawagombei ili washike dola! wanagombea wapate hela!

    Utaona wakati wa kampeni wagombea watamiminika kutoka kusikojulikana! hata waliokimbia nchi watarudi, kwa nini? Kwa sababu kwenye kampeni kuna ulaji mkubwa, sisi oya oya! ndio tunakuwa wapiga makelele, lakini hawapo sirias na kile wanatuaminisha! Wapata wafadhili lukuki wakati huo !watu...
  11. JamiiForums Tanzania Muda umefika wa Dola kusimamia miradi ya maendeleo, wanasiasa na ilani za vyama vyao wameshindwa

    WAKUU Nianze KWA kunukuu "Kule kwenye miradi ya maendeleo waliachiwa wanasiasa" Hii ni kauli ya mwandishi ninaye mhusudu Sana HAPA jukwaani,kwamba miradi mingi Sana HAPA nchini inasimamiwa na wanasiasa walioshinda chaguzi zao tangu tupate uhuru,lakini hadi leo bado kuna kizungumkuti Sana...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA kubalini kuwa ACT wazalendo wameonyesha ukomavu wa kuwa chama dola. Mmlishaharibu kwa wananchi

    Hata TANU ilipokuwa inapambana ili kupigania uhuru wa Tanganyika ilihakiiisha kuwa na ofisi na matawi kila ofisi kila mkoa na kila wilaya. ACT Wazalendo wameonyesha kuwa wakipewa dhamana ya kuwa chama dola wanaweza kutumia vyema rasilimali za umma Ninyi mmekuwa kwenye siasa za Tanzania kwa...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Gharama za Himars 'zapaa' na Taiwan kuongeza malipo ya dola milioni 400 ili kupata ingizo la kwanza la silaha hizo hatari

    Mifumo hiyo itaanza kuwasili mwaka 2024 kwa mujibu wa gazeti la Liberty Times la Taiwan. Taiwan inahitaji kuagiza jumla ya mifumo 29 ya Himars kutoka nchini Marekani. Makubaliano ya awali kati ya Taiwan na Marekani yalisema kwamba uagizwaji wa kwanza ungegharimu jumla ya dola milioni 300.9 kwa...
  14. JamiiForums Tanzania DOLA (the state) nawaomba muingilie Kati zuio la mikutano ya hadhara ya upinzani nchini kwa afya na mstakabali wa taifa letu!

    Najua nyie mpo loyal KWA taifa hili,mmelilinda tangu kuasisiwa kwake, Najua nyie Ndio mmeiruhusu ccm kuwa Chama Tawala tangu kuanzishwa kwake hadi leo,bila nyie CCM isingekuwepo madarakani Hadi leo! Najua mmewapenda upinzani na mmeulea KWA Namna Moja au nyingine Lakini hamkuweka wazi hisia...
  15. JamiiForums Tanzania Fedha ya uingereza inaendelea kuanguka dhidi ya dola ya Marekani

    Hizi nyakati si za kawaida kwa wakongwe wanazidi kujionea maajabu.
  16. JamiiForums Tanzania Korea Kusini: Google na Meta zapigwa faini kwa kuuza taarifa binafsi za watu kwa matangazo

    Serikali ya Korea Kusini imetoza faini ya jumla ya dola milioni 72 dhidi ya Google na Meta kwa kukusanya na kutumia taarifa binafsi kinyume cha sheria. Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iliyo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu iliamua kutoza faini ya bilioni 69.2 na bilioni 30.8 dhidi ya Google na...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani kuiuzia Taiwan silaha za Dola Bilioni 1.1

    Marekani imeidhinisha uwezekano wa kuiuzia silaha Taiwan zenye thamani ya Dola Bilioni 1.1, hatua ambayo inaweza kuzidisha mvutano ambao tayari upo kati ya Marekani na China. Mauzo hayo yatajumuisha makombora 60 ya kukinga meli, makombora 100 ya angani na msaada wa vifaa vya ufuatiliaji wa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Japan yatoa dola bilioni 30 kusaidia nchi za Afrika

    Serikali ya Japan imetangaza kutoa kiasi cha Dola za Marekani bilioni 30 katika kipindi cha miaka mitatu (2022 – 2025) kwa Nchi za Bara la Afrika ili kuziwezesha kutekeleza programu na miradi ya maendeleo itakayoleta mageuzi ya kiuchumi barani humo. Kiasi hicho cha fedha kimetangazwa kutolewa...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya waitaka Uingereza kulipa Tsh. Tril 466 kama fidia ya Ukoloni

    Jopo la raia wa Kenya wamefungua kesi Mahakama ya Ulaya ya Haki za Binadamu (ECHR) dhidi ya serikali ya Uingereza wakiituhumu kwa unyanyasaji wa kikoloni Kati ya madai yaliyotajwa ni pamoja na wizi wa ardhi ambayo wamedai bado inatumiwa na makampuni ya chai, pia jopo hilo limeilaumu serikali ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Muda huu euro moja = 0.99 USD, naomba kujua inaweza kuwa imechangiwa na nini?

    Kama kichwa kinavosema wakuuu,mdaa huu saa 12 na dk 16 Eur moja ni sawa na 0.99 usd hii inaweza kuwa inachangiwa na nini hasa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…