dokta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dkt. Slaa aache udini na undumilakuwili

    Dr. Slaa: Mkataba wa Bandari na DP World ya Dubai ni uuzwaji wa nchi Akiongea na waandishi wa habari kuhusu sakata la bandari leo 13th June 2023 Dr. Slaa amesema kuwa mkataba huo ni uuzaji wa nchi kwenye kipindi ambacho serikali iliyopo madarakani ina uhalali wa wasiwasi kutokana na uchaguzi...
  2. Sakata la Bandari: Spika Tulia atoa ufafanuzi

    Spika anasema wacheni kupotosha: -- Spika wa Bunge, Dr Tulia Ackson ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizosambaa zikidai kuwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tayari limesharidhia Azimio la Bunge kuhusu pendekezo la mkataba wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai...
  3. T

    Shaka kumtambulisha Chongolo kwa cheo cha "Doctor" ni ulimi uliteleza au pana ukweli?

    Kwa hatua za awali kabisa nimeanza kuona wasiwasi alionao ndugu msemaji wa Chama mpaka kufikia hatua ya kumtambulisha Chongolo kama dokta na madokta wa kweli kutambulishwa kama ndugu tu. Kwa tunaofahamu historia ya Ndg. Chongolo tumepata wasiwasi kuona utambulisho huo. Je, kuna kilichofichwa...
  4. Tatizo la kutoka damu puani kwa Mtoto, ni Wakati gani nikamuone Dokta?.

    Mtoto amekuwa akipata tatizo la kutoka damu puani mara kwa mara. Kumekuwa na maoni tofauti wengine wakisema ni hali tu ya kawaida. Ninachotaka kufahamu kutoka kwa Daktari au Wataalamu ni hatua gani ikifikia inabidi kwenda kumuona Daktari?.
  5. Huyu ni aina ya mwanamke ambae ninaweza kumuhonga milioni na kuendelea

    Ndani ya nafsi ya Kila mwanaume zimewekwa taarifa kuhusu mwanamke anae tamanisha, hamasisha na kuvutia kufanya nae sex. Kuna mwanamke ukimuangalia tu unajua yupo vizuri kitandani. Mtazame Aunty Ezekiel Jack Pemba alifaidi Sana. # Her eyes, the way she talk, the way she look, her rudeness...
  6. Joseph Kasheku Musukuma achukua Fomu ya kugombea Uspika

    Mbunge wa jimbo la Geita vijijini Dr Joseph Kasheku Musukuma amechukua Fomu ya kugombea uspika wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam
  7. Naona Rais Samia anarudisha kwenye mfumo taratibu taratibu watu waliotumbuliwa

    Hii inanipa tafasiri ya kwamba ingawa alikuwa Makamu wa Raisi enzi za Hayati Magufuli pia walikuwa hawaelewani yaani walikuwa ni kama maji na mafuta. Hapa chini tunaona Mama kamrudisha Dr. Baghayo Abdallah Saqware kuwa Kamishina wa Mamlaka ya usimamizibwa Bima Tanzania (TIRA) ambaye...
  8. Swali kwa DPP, ikiwa Marehemu alinyongwa na dokta kuthibitisha alikufa kwa kukosa hewa, Je damu iliyoonekana kwenye fulana ilitoka wapi?

    Hili ni swali ambalo kila mwenye akili timamu anapaswa kujiuliza. DPP kathibitisha kulingana na ushahidi aliopelekewa kutoka police, kuwa marehemu alikufa kwa kunyongwa kule Iringa, ambae alikuwa kada wa CCM na mgombea udiwani 2020. Suali nikwamba. "Kama marehemu alinyongwa, na akafariki kwa...
  9. M

    GE2020 Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo

    Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade. Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM. Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo. Kila la heri...
  10. I

    Dokta Jakaya Kikwete: ‘No way’

    wakati Afisa Mhamasishaji wa Yanga Afrika akifungua halfa ya mchakato wa utiaji saini wa makubaliano ya mabadiliko ya mfumo kati ya Yanga, GSM na La Liga, amemtaja Rais Mstaafu Dokta Jakaya Mrisho Kikwete kama Rais kipenzi cha Watanzania. Akiwa amekaa katika meza yake, huku kamera zikimmulika...
  11. Simulizi: Dokta Ivo (Dr. Evil)

    TITLE: DOKTA IVO MTUNZI: JOTO LA MOTO SEHEMU YA KWANZA NJE-KUNDUCHI BEACH HOTEL-KWENYE BWAWA LA KUOGELEA-MCHANA. KAZI, kijana mtanashati, miaka 35,akiwa amevalia bukta ndefu ya bluu iliyobana sambamba misuli yake ya miguu, huku akiwa kifua wazi anatembea pole pole kuelekea kwenye bwawa la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…