Swali kwa DPP, ikiwa Marehemu alinyongwa na dokta kuthibitisha alikufa kwa kukosa hewa, Je damu iliyoonekana kwenye fulana ilitoka wapi?

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2016
3,590
8,475
Hili ni swali ambalo kila mwenye akili timamu anapaswa kujiuliza.

DPP kathibitisha kulingana na ushahidi aliopelekewa kutoka police, kuwa marehemu alikufa kwa kunyongwa kule Iringa, ambae alikuwa kada wa CCM na mgombea udiwani 2020. Suali nikwamba.

"Kama marehemu alinyongwa, na akafariki kwa kukosa hewa, Je fulana ya CDM iliyopatikana ikiwa na damu ambayo inasemakena alivaa muuwaji na imepatikana nyumbani kwa muuwaji, hiyo damu imetoka wapi?." Au Marehem alijeruhiwa kwanza ndio akanyongwa?.

Nakama alijeruhiwa kwa nini ameeleza maelezo mengi lkn hujatuhabarisha kama alijeruhiwa kabla hajanyongwa?. Nanusu harufu ovu.

Pia soma > Mkurugenzi wa Mashitaka aidhinisha Mashitaka ya Mauaji ya kukusudia kwa Viongozi wa Chadema dhidi ya kada wa CCM

NOTE:
Siungi mkono mauwaji au muuwaji wa aina yeyote yule, napia ningependa wauwaji wa MAWAZO waliomkata mapanga kule GEITA wangekamatwa haraka, pia waliomtisha ben Saanane na akaweka number hadharani wangekamatwa na kuhojiwa tujue uhusika wao, pia sipendi kwa namna yeyote ile watu wabambikiwe kesi.
 
Mkuu hii kesi ikiendeshwa mahakaman baada ya uchaguzi tutapata vioja sana,
Kwanza washukiwa wameteswa vyakutosha hata Jana walionekana wanashindwa tembea.hivyo hata ungamo lao ni la kulazimishwa.

Pili hadi hapo DPP ameshashindwa kesi maana mashitaka hayaendani na ushahidi uliopo
 
Mkuu hii kesi ikiendeshwa mahakaman baada ya uchaguzi tutapata vioja sana,
Kwanza washukiwa wameyeswa vyakutosha hata Jana walionekana wanashindwa tembea.hivyo hata ungamo lao ni la kulazimishwa.

Pili hadi hapo DPP ameshashindwa kesi maana mashitaka hayaendani na ushahidi uliopo
Kama DPP anabambikia watu kesi kwa manufaa yakisiasa basi atambue dhuluma anayofanya, iko siku italipwa.
 
Back
Top Bottom