dodoma

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria tunapata usumbufu mkubwa daladala Dodoma kukatisha ruti na kufaulisha abiria, mamlaka dhibiti kero hii

    Bado kuna shida kubwa sana ya madereva wa daladala kugeuzia njiani na kufaulisha abiria kwenye gari nyingine. Imekuwa kero na usumbufu mkubwa sana hasa kwa daladala zinazotokea Mipango kuelekea Mjini. Serikali husika itusaidie kuweka askari kwenye vituo mbalimbali maana kufaulisha abiria sio...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nauza godoro la QFL Dodoma 100k

    Habarini godoro naliuza nilinunua 140k hapo mwez 5 sasa ivi naliuza 100k lina miezi miwili tu toka linunuliwe hapo nilipiga picha wakati nimelinunua nimetumia miezi 2 tu nasisitiza LC 5×6 Jaman bei haishuki chini ya 100K. Lipo katika hali nzuri kabisa halina shida ni vile tu shida zangu...
  3. JamiiForums Tanzania Mikoa 15 kukosa umeme Julai 3 na 4 kutokana na umaliziaji njia Umeme wa SGR Msamvu - Dodoma

    NISHATI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuzimwa kwa huduma katika Njia Kuu ya Kusafirisha Umeme wa Msongo wa Kilovoti 220 kutoka Msamvu hadi Dodoma ili kuruhusu umaliziaji kazi kwenye vituo vya Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) vya Msongo wa Kilovoti 220/33 Mikoa itakayoathirika...
  4. JamiiForums Tanzania Ni muhimu watumishi wa serikali watumie SGR kwa safari kati ya Dar na Dodoma.

    Pindi reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma itakapokamilika serikali iweke muongozo madhubuti kwamba watumishi wote wa umma kuanzia mawaziri hadi wale wa chini kabisa watumie treni hiyo kwa safari za Dar-Dodoma badala ya gari au ndege. Hii itasaidia kuokoa gharama za mafuta, manunuzi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Nyumba ya Vyumba 3 inapangishwa - Nkuhungu, Dodoma (bila dalali)

    Nyumba ya vyumba vitatu. Ina store ya jikoni, ina dining area. Ipo kwenye compound yenye nyumba mbili, ila nyumba hii inajitegemea kila kitu - Umeme, na Maji. Pia kuna heater za maji ya moto. Hakuna udalali. Kodi 350,000/= (napokea ya miezi minne, tano au sita), kama unalipa ya miezi 8...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nauza godoro qfl dodoma 140k LC 5×6

    Habari ndugu zangu kuna godoro naliuza qfl dodoma size: LC 5×6 bei 140K( negotiable) nipo dar es salaam. Karibuni sana
  7. JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 15 Kikao cha 51, Juni 21, 2024 Asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=01RbKSNp7oE https://www.youtube.com/watch?v=ntozLL3q2hc
  8. JamiiForums Tanzania Uporwaji wa ardhi utaisha lini dodoma? Naumia sana raisi samia alione hili

    Samahani . Poleni na kazi Waheshimiwa Natumaini mkheri wa afya Naomba msaada wako kwa kunisaidia mawasiliano ya simu ya viongozi hawa, 1.Waziri wa Ardhi wa Tanzania wa sasa Mheshimiwa Jerry Silapha. 2.Mheshimiwa .Poul Makonda Mi nilikuwa naomba msaada wenu kwenye jambo hili ili kisiharibike...
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Kahyoza: Magufuli alifanya makosa makubwa kuhamishia Serikali Dodoma, gharama zimekuwa mara mbili

    Mtaalamu wa masuala ya Uchumi, Dr. Bravious Kahyoza amesema uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwa ni kosa kubwa kwasababu umeongeza gharama zaidi za uendeshaji ikiwemo kutumia vibaya fedha za Walipa Kodi. Ametolea mfano Safari za Viongozi na Watumishi ambao mara kwa mara wanaenda Dar au...
  10. JamiiForums Tanzania Bilioni 12 Kutumika Kukijanisha Jiji la Dodoma

    Serikali imesema kiasi cha shilingi Bilioni 12 kitatumika katika utekelezaji wa mradi wa kukijanisha jjiji la Dodoma ikiwemo kupanda miti na maua katika hifadhi za Barabara ili kutunza mazingira na kupendezesha mandhari ya jiji hilo. Hayo yameelezwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa Juni...
  11. JamiiForums Tanzania KERO Waziri Jerry Silaa tusaidie Wakazi wa Kata ya Ipala (Dodoma) hatujui mwelekeo wa ardhi yetu

    Uongozi wa Dodoma Jiji unadai eneo hilo tunaloishi wakazi wa Kata ya Ipala Jijini Dodoma ni mali ya Serikali, wanataka kutuhamisha kwa njia ambayo tunaona siyo sahihi. Wakati wakitaka kutuhamisha tuliomba zuio na vielelezo vinavyoonesha kwamba ni eneo la Serikali lakini hawatupi, zaidi wamekuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Kawaida ahimiza Uzalendo, Umoja na Mshikamano kwa Wasomi Mkoani Dodoma

    🗒️ 08 June 2024 📍UVCCM HQ Mwenyekiti wa Jumuiya ya umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali kawaida (MCC) amehimiza Uzalendo, Upendo, Umoja, na mshikamano, Miongoni mwa wasomi na kujitoa katika kutekeleza Majukumu yao na ya kukijenga Chama Cha Mapinduzi, Jumuiya zake...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Je, Unauza nini ndani ya Jiji la Dodoma na unahitaji wateja?!

    Ukiwa unauza Kiwanja, Nyumba, Gari ama pikipiki n.k ndani ya Jiji la Dodoma Basi usisite kunitafuta ili tutafute wateja kama una bidhaa pia nitumie kwenye namba hizi CALL AND WASAP 0785076070 HATA KAMA UNA BIASHARA INAHITAJI WATEJA USISITE KUNITAFUTA. AHSANTE I 🤝
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bora Waziri Slaa alivyotia kufuli Masjala ya Jiji Dodoma, Ofisi ya Jiji Ardhi imejaa genge la waporaji na wanaibia Watu maskini

    Nilishukuru sana Waziri Slaa alivyotia kufuli Masjala ya Jiji..Ofisi ya Jiji Ardhi imejaa genge la waporaji na wanaibia Watu maskini hawana kitu. Hii dhambi naomba Mungu ifike kwenye Mahakama ya Mbinguni ili Mungu ainue Watu Duniani watutetee. Pia soma ~ Agizo la Waziri Silaa la kuhamishia...
  15. JamiiForums Tanzania Agizo la Waziri Silaa la kuhamishia Huduma za Ardhi ofisini kwake laanza kutekelezwa Dodoma

    Mamia ya wananchi wamemiminika katika viwanja vya Ofisi za Halmashauri ya jiji la Dodoma kutatua madhila ya ardhi yanayowakabili ili watumie ardhi na muda wao kwa shughuli za kiuchumi kujiletea maendeleo. Akizungumzia zoezi hilo linaloendelea jijini Dodoma, Katherine Mwimbe Mwekezaji na...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Kama uko Dodoma niuzie PC yako inisadie kwenye shughuli zangu

    Nina uhitaji na PC kama uko Dom una PC umeichoka ila ni nzima na nzuri niuzie kwa bei ya kitanzania ya kulia lia nami inisogeze kwenye mambo yangu Fanya kama unanisaidia
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa SGR (Lot 3,4,5,6) tumerudishwa nyumbani na hawajaingiza michango ya NSSF kwa Miezi 14

    Sisi wafanyakazi wa SGR kwa sasa tupo nyumbani tukiwa hatujui hatima yetu juu ya kinachoendelea kuhusu project hiyo hasa kuanzia Lot 3 na 4. Ipo hivi, Lot 3 na 4 kwa sasa zimesimama, wafanyakazi tuliokuwa katika mradi huo kwa sasa tupo tu nyumbani, awali tuliambiwa tukae nyumbani hadi...
  18. JamiiForums Tanzania Wadau samahani naomba kujua Njia ya kusafirisha Honda kutoka Dar es Salaam kuja Dodoma

  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Mambo ya kuboresha katika Jiji la Dodoma ili kuleta taswira ya makao makuu ya nchi

    UTANGULIZI. Dodoma ulitangazwa kuwa mji mkuu wa Tanzania na mwasisi wa taifa hili mwalimu JK Nyerere mwaka 1973 na Rais JP Magufuli alitoa amri ya serikali kuhamia Dodoma mwezi Julai 2016 wakati alipopewa wadhifa wa mwenyekiti wa chama tawala, Chama Cha Mapinduzi/CCM. Rais John Pombe Joseph...
  20. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Biteko Apongeza Mikakati ya Kuinua Elimu Dodoma Jiji

    NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO APONGEZA MIKAKATI YA KUINUA ELIMU DODOMA JIJI - Ampongeza Mbunge Mavunde kwa ubunifu wa Teachers’ Breakfast Meeting - Mbunge Mavunde agawa photocopiers kwa ajili ya uchapishaji wa mitihani - Prof. Mkenda aanika mikakati ya serikali kwenye Elimu - RC Senyamule aeleza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…