dodoma

  1. Bei za nauli za treni za kwenda Morogoro na Dodoma zinatakiwa ziwe juu zaidi ili kuweka uwiano wa biashara kati ya mabasi na treni

    Katika kuhakikisha kwamba sekta ya usafirishaji wa abiria nchini inakuwa na uwiano mzuri wa kibiashara kati ya mabasi na treni, kuna haja ya kuangalia upya bei za nauli za treni kwa safari za kwenda Morogoro na Dodoma. Ili kuboresha uwiano wa biashara na kutoa nafasi kwa mabasi kuendelea...
  2. F

    Gharama za treni mpya ya EMU kutoka Dar hadi Dodoma zilipaswa kuwa gharama za usafiri wa ndege

    Treni mpya ya SGR yenye mfumo wa Electrical Multiple Units (EMU) imeanza safari za Dar Moro Dodoma tangu tarehe 1 mwezi wa 11 2024. Licha ya kuwa more comfortable zaidi ya zile za kawaida, treni za EMU zinafikia kasi ya juu kwa haraka zaidi. Safari ya kwanza kutoka Dar kwenda Dodoma imechukua...
  3. Dodoma: Wazazi Wamshukuru Mbunge Mavunde kwa Ujenzi wa Uzio Shule ya Msingi Uhuru

    Wananchi na wazazi wa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Uhuru Jijini Dodoma, wamempongeza na kumshukuru Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde kwa ufadhili wa ujenzi wa uzio wa shule hiyo ili kuboresha mazingira rafiki ya wanafunzi kusomea tofauti na awali ambapo muingiliano ulikuwa...
  4. LGE2024 Dodoma: Wananchi wamkataa mgombea wa CCM wadai wamechoka kuonewa

    Wakazi wa Mtaa wa Chinyoya, Kata ya Kilimani, Wilaya ya Dodoma Mjini, jijini Dodoma, wamepinga uteuzi wa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayewania nafasi ya uenyekiti, wakidai kuwa mgombea huyo ameonesha tabia za kujifanyia maamuzi kwa matakwa yake binafsi na kutumia ubabe katika uongozi...
  5. Naibu Waziri: Mahitaji ya Maji Dodoma ni Lita Milioni 149, uzalishaji ni Lita Milioni 79

    Naibu Waziri wa Wizaya ya Maji, Mhandisi Kundo Mathew amesema moja ya changamoto ya uhaba wa maji iliyopo Jijini Dodoma ni kuwa uhitaji wa huduma hiyo ni Lita Milioni 149 kwa siku wakati uzalishaji ni Lita Milioni 79 sawa na Asilimia 52. Amesema Serikali ina mpango wa kuongeza visima maeneo...
  6. Mbunge Ndaisaba Ruhoro awapigania wastaafu Bungeni Jijini Dodoma

    Kutokana na kikao cha Wazee wa wastaafu na Mh Ruhoro kilichofanyika hivi karibuni nyumbani kwake Buhororo ambapo watumishi wastaafu walimtuma mbunge wao kuwapigania, Leo Mbunge wa Jimbo la Ngara ameiomba serikali kuboresha kiwango cha Pensheni ya wastaafu. Ameiomba Serikali kuangalia uwezekano...
  7. Wafanyabiashara Dodoma Wamshukuru Rais Samia kwa Ujenzi wa Machinga Complex

    WAFANYABIASHARA DODOMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA UJENZI WA MACHINGA COMPLEX ▪️Jiji kujenga sakafu kupunguza nguvu ▪️Mbunge Mavunde awachangia 10m kutunisha mfuko wa Soko ▪️Awataka Mgambo wa Jiji kuacha kutumia mabavu ▪️Aahidi kuwaunganisha na Taasisi za fedha kwa ajili ya mitaji ▪️DC...
  8. PreGE2025 Wanaodaiwa kuwa ni polisi Dodoma wafanya upekuzi nyumba ya Honesty Msacky Mwanachama wa CHADEMA

    Watu wanaodaiwa kuwa ni Askari wa Jeshi Polisi mkoa wa Dodoma wamefanya upekuzi katika nyumba ya mwanachama na kigogo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Honesty Msacky nyumbani kwake Nzuguni B kwa madai ya kuwa anamiliki silaha kinyume na taratibu za nchi. Akizungumza baada ya upekuzi...
  9. U

    Kwa mchango mkubwa kiuchumi wa mikoa ya Mwanza na Mbeya ni hasara kubwa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa wa Msalato kujengwa Dodoma

    Wadau hamjamboni nyote? Sina chuki wala husuda yeyote ila Dodoma kujengwa uwanja wa ndege wa kimataifa ni hasara kiuchumi Mkoa hauna mchango mkubwa kiuchumi kwa nchi yetu japo unapigiwa debe kila kukicha kwa nguvu kubwa Serikali itafakari upya na tuwekeze kwenye mikoa yenye mchango mkubwa...
  10. Inakuwaje Rais anapokataa kuishi Dodoma?

    Je vyombo vya ulinzi haviwezi kumlazimisha ? Je vyombo vya ulinzi vinashindwa Nini kumtaka Rais akaishi Dodoma? Hasara za Rais kutokuwa na makazi maalumu si ni hasara kwa walipa Kodi maana gharama za kumlinda uongezeka ? Mabilioni yaliyojenga ikulu dodoma je ni hasara? Hasara kwa Nani? Kama...
  11. Kuna haja ya Dodoma kuondolewa hadhi ya jiji iliyopata awamu iliyopita?

    Baada ya Dar kurejeshewa hadhi yake ya jiji, Je kuna haja ya Dodoma kutenguliwa hadhi haki ya jiji na kurejeshwa kuwa manisipaa tu? Ukitizama vizuri Dodoma haina tofauti kubwa na Manisipaa ya Morogoro ambayo sio jiji.
  12. O

    Nanunua vyuma chakavu nipo Dodoma

    Poleni na Majukumu wanajukwaa Nanunua Vyuma chakavu vya aina yoyote Nanunua. Chuma Dongo Bati Aluminum Copper Brass Cast Bettery Mbovu za gari, pikipiki na Bajaji. Nanunua Motor, Friji, AC, Compressor, Magari na pikipiki Mbovu. Napatikana Dodoma Kikuyu
  13. KERO Baadhi ya maeneo Dodoma ni machafu sana, kuna vichaka na maji taka katika ya Jiji, Mamlaka chukueni hatua

    Dodoma ni moja ya Jiji chafu nchini, uchafu umezagaa hasa maeneo ya Mjini ambapo kuna Mkuu Wa Wilaya na Mkuu wa Mkoa, then kuna hali hii ya Uchafuzi wa Mazingira tena ni urefu wa kilometa mbili kufika makazi ya Waziri Mkuu, nyuma ya Viwanja vya Chinangali Park sehemu ambayo Rais ameshashiriki...
  14. M

    Dodoma Jiji na Azam walinyimwa haki na marefa, leo Simba wanalia dhulma waliofurahia!

    Ile penalti waliyopata Simba kule Dodoma haikuwa halali, lakini mwamuzi aliwapa faida kwa kuwapa pointi 3. Timu ya Dodoma ililalamika, na kocha wao, Mexime, alionyesha kutoridhika. Lakini msemaji wa klabu aliwaambia waende TFF kama wana malalamiko zaidi! Mechi dhidi ya Azam kule Zanzibar nayo...
  15. Dodoma: RC Senyamule amempokea rasmi, Mkandarasi wa kusambaza Umeme kwenye vitongoji 150 vya majimbo kumi (10)

    Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, leo tarehe 18 Oktoba, 2024 amempokea rasmi, Mkandarasi Kampuni ya DERM Group (T) Ltd; Kampuni ya ndani, iliyoshinda kandarasi ya Mradi wa Kusambaza Umeme kwenye vitongoji 150 vya majimbo kumi (10) ya mkoa wa Dodoma, Mradi unaotarajiwa kutekelezwa...
  16. M

    Tumsapoti Rais Wa IPU, washangiliaji kama King musukuma na wale wamama wa vigelegele waende wakafanye kazi yao kama wanavofanya Dodoma

    Kama nchi tushikamane kwa wakati huu, kazi ya wale wabunge wetu ya kushangilia na kupiga meza inatakiwa wawepo kule IPU. Kwanza wangeenda wamama wale wanaopigaga vigelegele kwa kila kitu wale waliouliza maswali ya Ukraine wangeipata fresh yao. Wapelekwe na wale wabunge kama king wanaosemaga...
  17. LGE2024 Wapiga Kura Dodoma ni kama wamegoma kujiandikisha, Waandikishaji wameamua kuwafuata nyumbani na kazini ili wajiandikishe

    Hali ya uandikishaji wenye Daftari la Kupiga Kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mtaa siyo rafiki, imefikia hatua baadhi ya Waandikishaji wameamua kuingia mtaani kuwatafuta Wananchi ili wajiandikishe. Hapa Dodoma nimeshuhudia hali hiyo ikijitokeza kwenye Mitaa ya Chinangali West na Nkuhungu...
  18. K

    Hivi ni kweli CHADEMA wana idadi ya mawakala 55 tu kwenye vituo vyote 666 jijini Dodoma?

    Jinsi wanavyosema kuwa wamejipanga vyema kwenye uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa lakini takwimu zinawasuta. Kutokana na taarifa ya msimamizi wa uchaguzi jijini Dodoma CHADEMA wana mawakala 55 tu katika vituo 666 vilivyopo Jijijni Dodoma. Ndugu zangu CHADEMA mkajipange upya vinginevyo...
  19. LGE2024 Mwenyekiti wa BAVICHA Dodoma afichua madhaifu na ubadhirifu unaoendelea kwenye zoezi la uandikishaji wa wananchi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Aisha Madoga, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) Mkoa wa Dodoma, amekosoa uandikishaji wa wananchi katika Daftari la Mkazi katika baadhi ya vituo, akisema si sahihi kuwaandikisha wananchi bila kuwapa taarifa kuhusu namba zao. Aliyasema hayo alipofika kujiandikisha katika Kituo...
  20. Hivi mnawezaje kuishi Dodoma?

    Nianze kwa kusema nimeishi Arusha, Mwanza, Dar Moshi, na sasa hivi nipo Dodoma unaelekea Mwaka sasa nipo huku kwa sababu za kikazi. HALI YA HEWA Huu mji toka nifike sijaona mvua, mchana kuna jua kali sana na vumbi halafu jioni na usiku upepo mkali wa baridi kama jangwani karibia napakimbia ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…