dodoma

  1. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma inaonekana ni kama mtihani mgumu kwa baadhi ya Idara na Taasisi

    Dodoma ni Makao Makuu ya Nchi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na hivyo kumekuwa na changamoto ya kutokuwepo kwa Viongozi waandamizi wa Serikali katika ofisi zao. Mwaka 2017, aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, alitangaza rasmi kuhamia kwa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Majibizano ya Risasi Kati ya Polisi na Mtuhumiwa yaua askari Polisi Wawili na Mtuhumiwa mwenyewe!

    Askari Polisi wawili wameuawa huko Mpwapwa baada ya kutokea majibizano ya Risasi Kati ya Polisi na Mtuhumiwa Mtuhumiwa huyo Athanasia Malenda naye ameuawa. --- Askari Polisi wawili wamefariki dunia wakati wakifanya majibizano ya risasi na Mtuhumiwa Atanasio Malenda (30) ambaye walienda...
  3. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Askari wauawa Dodoma wakati wakienda kumkamata mtuhumiwa wa uhalifu.

    Wananchi wameamua kuwafikia Askari. Katika hali inayosikitisha na ya kuonesha imani imeisha kati kati ya wananchi na Askari. Kumetokea mauaji huko Dodoma. Tupate habari kamili.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa IT DODOMA kwenda Bukoba

    Wakuu habari ni sehemu gani dodoma nitapata usafiri wa IT zinazopita kutoka dar kuelekea bukoba..mtukula
  5. I

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi Dodoma

    Habari za asubuhi wapendwa. Kijana mpambanaji miaka 28 nimekuja Dodoma kupambana ila hali imekuwa tete nimeshindwa kiukweli naomba kama kuna mwenye ramani ya kazi au kibarua dodoma naomba msaada. Angalau niweze kumudu gharama za kukaa hapa Dodoma. Nipo tayari kuwasaidia fundi au kufanya...
  6. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Huenda Dodoma kuna kiwanda cha Toyota /Nissan V8 na hatujui

    Dodoma haipit dakika 5 hujapishana na chuma V8 inakata mitaa, FULL AC. Kiwanda Kipo sehemu gani hapa Dodoma? *Tumeshindwa kabisa kuweka vipaumbele?
  7. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Dodoma hakukaliki, V8 zapishana highway

    1. V8 zinatembezwa mwanzo-mwisho (400-1000kms) ifikapo weekend kisha kurudi Dom J3 alfajiri. Hapo NI mbali na wanaosafiri na ndege, SGR kila weekend kwa gharama za mwajiri wao. 2. Hii si sawa kwa walipa Kodi. Maendeleo tutasikia kwa Wenzetu arabuni Destinations: Dar, Arusha, Iringa,Mbeya na...
  8. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Gharama za Maisha Dodoma: Mabadiliko ya Haraka Yanavyowatesa Wakazi Baada ya Serikali Kuhamia, na Ujio wa Sgr

    Gharama za maisha katika Jiji la Dodoma zimekuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa jiji hili, hasa baada ya kutangazwa kwa uhamisho wa serikali kuu kwenda hapa. Hali hii imepelekea mabadiliko makubwa katika uchumi wa jiji, ambapo wenyeji wa zamani wa Dodoma walijikuta wakifurahia faida za muda...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa CHADEMA Dodoma aliyekimbia na daftari wakati wa Uchaguzi aripoti Polisi

    Wakuu, Mnakumbuka yule Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani Dodoma ambaye siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa alikimbia na daftari la wapiga kura akidai kuwa kuna hujuma zimefanyika? Inaonekana sasa "watu wa system wameanza ku-deal nae. ========================================================...
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ikulu ya Dodoma imetelekezwa? Rais Samia anatumia ya Dar es salaam na Tunguu Zanzibar

    Ikulu ya Dodoma imetekekezwa? Rais Samia anatumia zaidi ya Dar es Salaam au Tunguu Zanzibar. Je huu ni uungwana?
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Wabunge watatu waliopata ajali wahamishiwa kitengo cha mifupa MOI.

    Wabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI. Wabunge hao ni Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar, Mwanakhamis Kassim Said, Mwakilishi wa Jimbo la Amani Zanzibar, Abdul Yusufu Maalim pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Furaha Matondo.
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI

    Wakuu! Ile ajali ya wabunge ukitazama kama ilikuwa ndogo lakini baadhi ya wabunge hali zao bado ni mbaya hadi wamehamishiwa MOI au tuseme maombi ya baadhi a wabongo? ===================== Wabunge watatu majeruhi wa ajali ya basi la Kampuni ya Shabiby waliokuwa wamelazwa katika Hospitali ya...
  13. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jiji la Dodoma kuna changamoto ya mpango mji, Watu wengi wanaishi maeneo hatarishi

    Hali ilivyokuwa ya Desemba 2024 Dodoma, mji ambao umekuwa na ongezeko la idadi ya Watu kwa kasi kubwa tangu kuanza kutumika kwa Chuo Kikuu cha Dodoma Mwaka 2007. Mbali na hapo uamuzi wa Hayati Rais John Magufuli kuhamishia rasmi makao makuu ya Serikali jijini hapo kumeifanya Dodoma iwe ‘busy’...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde Akabidhi Nyumba kwa Watoto Walioangukiwa na Nyumba Jijini Dodoma

    ▪️Ni watoto walioachwa na Mama Mzazi aliyefariki kwa kufunikwa na kifusi ▪️Viongozi wa Dini wamshukuru kwa upendo na moyo wa kujitolea ▪️Aahidi kuwasomesha na kuendelea kuwahudumia watoto hao Mbabala, Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde leo amekabidhi nyumba kwa watoto...
  15. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Bar maarufu ya Mwanga Bar Dodoma wanatuuzia chakula na mataka yakiwa mbele ya jiko. Usalama wetu walaji uko wapi?

    Wale tunaokujaga dodoma nadhani tunaifaham bar maarufu kwa misosi ya Mwanga Bar iliyopo Jijini Dodoma, nikiwa natoka zangu safari kanda ya ziwa nikasema nipite kula hapo kilichonishangaza ni rundo la matakataka ambayo inaelezwa yapo hapo kwa siku ya tano leo uku uandaaji wa chakula ukiendelea...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Wabunge akina nani walipata ajali Dodoma

    Kwa nini majina ya wabunge wetu waliopata ajali wakiwa safarini kwenda Kenya kwenye michezo hayajatajwa? Kuweka siri majina yao kunaashiria nini kwa mustakabali wa Taifa? Ni haki yetu wananchi kufahamu maendeleo ya afya za viongozi wetu na kutuficha ni makosa!
  17. Msanii

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

    Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇 Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE? Maswali yanazidi kuchanganya umma...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Maelfu washiriki 'Generation S Samia Jogging'

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri amesema Mbio za Gen S Samia Jogging ni Mbio za Falsafa zenye kizalendo kwani vijana hao wameweza kuona mbalimbali ambayo imejengwa katika Mji wa Dodoma na Serikali ya awamu ya sita ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mhe. Shekimweri ameyasema...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Lema: Wabunge sasa mjue Jamii inawachukia kuliko hata inavyomchukia Shetani

    Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameandika Ukurasani X akiwasihi Wabunge walionusurika ajalini Wasome maoni ya Wananchi kwenye mitandao ya kijamii Lema amesema Jamii inawachukia Wabunge Kuliko hata inavyomchukia shetani Soma Pia: Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mvua yasababisha uharibifu wa mali Dodoma

    Baadhi ya wakazi wa Dodoma wamepata hasara na usumbufu baada ya mvua kubwa kunyesha kwenye maeneo yao na kisha maji kuingia ndani na kuharibu mali mbalimbali. Soma Pia: TMA yatangaza mvua za siku tatu mfululizo mikoa minane, kuanza leo Disemba 3
Back
Top Bottom