dkt. mwigulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu aongoza kikao cha kamati ya kitaifa ya Afcon 2027

    DKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA AFCON 2027 WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) kwa ajili ya kupitia hatua mbalimbali zilizofikiwa katika maandalizi ya michuano hiyo mikubwa itakayofanyika...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu aiagiza wizara ya nishati kuongeza kasi usambazaji gesi asilia

    DKT. MWIGULU AIAGIZA WIZARA YA NISHATI KUONGEZA KASI USAMBAZAJI GESI ASILIA ▪️Asema gesi asilia ni kichocheo cha maendeleo ya viwanda, usafiri na uzalishaji wa umeme WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Nishati kuongeza kasi ya kupanua mtandao wa usambazaji wa gesi asilia ili...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Serikali kununua matrekta 10,000

    SERIKALI KUNUNUA MATREKTA 10,000 - DKT. MWIGULU NCHEMBA WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imepanga kununua matrekta 10,000 na kuanzisha vituo jumuishi 1,000 vya huduma za zana za kilimo katika ngazi ya Kata, hatua itakayoongeza tija, kupunguza gharama na kuwapa wakulima muda...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akipiga penati kabla ya kuanza kwa mechi ya Mpira wa Miguu wakati wa Bunge-Azania Bonanza linalofanyika katika Viwan

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akipiga penati kabla ya kuanza kwa mechi ya Mpira wa Miguu wakati wa Bunge-Azania Bonanza linalofanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya John Merlini iliyopo jijini Dodoma leo Januari 31, 2026. Mechi hiyo ilihusisha Wabunge na Watumishi wa Ofisi ya...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Mwigulu ashiriki Azania Bank Bunge Bonanza 2026

    DKT. MWIGULU ASHIRIKI AZANIA BANK BUNGE BONANZA 2026 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 31, 2026 ameshiriki kwenye Azania Bank Bunge Bonanza 2026 linalofanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari ya John Merlin jijini Dodoma. Bonanza hilo limewahusisha Waheshimiwa Wabunge...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 29, 2029 ——————————————— Amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 29, 2029 ——————————————— Amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu alisema: "Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu"
  9. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu aongoza mkutano wa kamati ya katiba, sheria na bunge

    DKT. MWIGULU AONGOZA MKUTANO WA KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA BUNGE Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 28, 2026 ameongoza Mkutano wa Kamati ya Katiba, Sheria na Bunge ya Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Serikali kuendelea kufanya mageuzi ya sera – Dkt. Mwigulu

    SERIKALI KUENDELEA KUFANYA MAGEUZI YA SERA – DKT. MWIGULU WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kufanya mageuzi ya sera zinazogusa moja kwa moja maslahi na ustawi wa maisha ya wananchi. Amesisitiza kuwa Serikali haitavumilia watendaji wa Serikali wanaotoa visingizio...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu ashiriki zoezi la upandaji miti, Dodoma

    DKT. MWIGULU ASHIRIKI ZOEZI LA UPANDAJI MITI, DODOMA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 27, 2026 ameshiriki zoezi la upandaji miti, mbele ya ofisi ya Waziri Mkuu Mlimwa Jijini Dodoma. Zoezi hilo ni sehemu ya hatua ya kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu aelekea Morogoro kufungua mkutano wa mwaka wa TAKUKURU

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisafiri kwa Treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro ambapo atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU, unaofanyika leo Januari 26, 2026.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba: Watanzania tunapaswa kuishi kwa misingi ya upendo, unyenyekevu, haki na uwajibikaji

    Watanzania tunapaswa kuishi kwa misingi ya upendo, unyenyekevu, haki na uwajibikaji-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Dodoma-Tanzania 🗓️18.01.2026 Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ametoa kauli hiyo aliposhiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu Anglikana la Roho Mtakatifu, Dodoma.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu akutana na Prof. Mkenda na timu ya wataalam ya wizara ya elimu

    DKT. MWIGULU AKUTANA NA PROF. MKENDA NA TIMU YA WATAALAM YA WIZARA YA ELIMU Waziri Mkuu, Dkt.Mwigulu Nchemba leo Januari 15, 2026 amefanya kikao cha kazi na Waziri wa Elimu , Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda (wa pili kulia), Naibu Waziri wa Elimu , Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  16. JamiiForums Tanzania Sakata la Ugaidi wa Lwakatare na uhusika wa Dkt. Mwigulu Nchemba, TISS, Michuzi na Ludovick anayepambana na TEC

    Internet haisahau. Miaka 12 iliyopita katika kesi ya Lwakatare, aliyekuwa mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliwatuhumu mpiga picha wa Rais Kikwete wa wakati huo, Issa Michuzi, Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Waziri Mkuu wa sasa, Mwigulu Nchemba na bwana Joseph...
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Mtendaji wa TEMESA na Menejimenti yake wafutwe kazi, uchunguzi ufanyike vivuko kuharibika mara kwa mara

    WAZIRI MKUU Dkt. Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kufutwa kazi na kufikishwa katika vyombo vya sheria kwa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) pamoja na Menejimenti ya wakala huo kutokana na ubadhilifu wa zaidi ya shilingi bilioni 2.5. Pia, Waziri Mkuu amemuagiza...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Dkt. Mwigulu umeanza vizuri, kanyaga twende, UDSM tumefurahi na kufarijika

    Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam(UDSM) ambaye ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amempongeza Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Mwigulu Lameck Nchemba kwa kazi anayofanya akieleza kuwa chuo hicho kinajivunia nafasi aliyonayo kwani naye ni mhitimu wa chuo hicho. Dkt...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Fanyeni mapitio ya tamko la mali na madeni, ataka maeneo yaliyokithiri kwa rushwa yapewe kipaumbele

    DKT. MWIGULU: FANYENI MAPITIO YA TAMKO LA MALI NA MADENI ▪️Ataka maeneo yaliyokithiri kwa rushwa yapewe kipaumbele WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ni lazima yafanyike mapitio ya haraka kwenye tamko la mali na madeni na yawe na madaraja kwa sababu kuna maeneo ambayo bado rushwa...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Jenista Mhagama alikuwa ni kiongozi anayehakikisha kazi anazofanya zinakuwa na matokeo

    Mheshimiwa Jenista Mhagama alikuwa ni kiongozi anayehakikisha kazi anazofanya zinakuwa na matokeo - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Dodoma. 🗓️Desemba 11, 2025.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…