dkt. mwigulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Ashiriki Kikao cha Bunge

    DKT. MWIGULU ASHIRIKI MKUTANO WA BUNGE Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Agosti 31, 2026 ameshiriki Kikao cha Nne cha Mkutano wa Nne wa Bunge la 13.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu aongoza harambee ya maombi ya kitaifa, achangisha milioni 700

    DKT. MWIGULU AONGOZA HARAMBEE YA MAOMBI YA KITAIFA, ACHANGISHA MILIONI 700. ▪️Asisitiza maadili na uwajibikaji kama mhimili wa Dira 2050. WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa wito kwa Watanzania, taasisi za umma, sekta binafsi, na viongozi wa dini kuwekeza katika malezi, uadilifu, na...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu awasili Katavi kushiriki jubilei ya miaka 25 ya jimbo katoliki la Mpanda

    DKT. MWIGULU AWASILI KATAVI KUSHIRIKI JUBILEI YA MIAKA 25 YA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Agosti 30, 2026, amewasili Mpanda mkoani Katavi kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 25 ya Jimbo Katoliki la Mpanda. Maadhimisho hayo yanafanyika...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tumejipanga kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua za Elnino - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Tumejipanga kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua za Elnino - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Bungeni-Dodoma 🗓️ Agosti 27, 2026. ————————————- Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Johnston Mtasingwa.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wabunge Bungeni jijini Dodoma. Agosti, 27 2026.

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wabunge Bungeni jijini Dodoma. Agosti, 27 2026.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha ziara ya kushtukiza ya Dkt. Mwigulu yaacha neema kwa wagonjwa Hospitali ya Mwananyamala

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba alifanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala, ambapo alitembelea baadhi ya wodi za mama na mtoto. Siku kadhaa baadae timu ya ufuatiliaji na tathmini ikapita katika hospitali hiyo ili kuangalia mapokeo na furaha waliyo nayo wananchi...
  7. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Je haiwezekani katika bwawa la rufiji wakapandikizwa sato?

    Ili watanzania baada ya miaka miwili wafaidi kitoweo hiki adhimu sana na kinono?... Bila kufanya biashara ya kuwalisha na kupata gharama za ziada, yaani waishi katika misingi ya asili, je linawezekana? #Wajuzi mtujuze! -SATO -SANGARA
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nane nane njema kutoka kwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuwapongeza na kuwashukuru wakulima, wafugaji na wavuvi kwa mchango wao mkubwa katika uzalishaji wa chakula, malighafi, ajira na ukuaji wa uchumi wa Taifa. Katika maadhimisho ya Siku ya Wakulima (Nane...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Agosti 2, 2026 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Jengo la Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Mtumba

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Agosti 2, 2026 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Jengo la Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Mtumba jijini Dodoma.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Fedha za Marathon zilete tija kwa walengwa ~ Dkt. Mwigulu Nchemba

    FEDHA ZA MARATHON ZILETE TIJA KWA WALENGWA ~ Dkt. MWIGULU ▪️Serikali kuendelea kuboresha miundombinu wezeshi Mkoani Dodoma. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka wizara na taasisi zinazonufaika na fedha za NBC Marathon zihakikishe zinatumika kwa uwazi na kwa kuzingatia thamani ya fedha...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Hakuna maendeleo ya kudumu bila kujenga watu wenye maadili, uzalendo na uwajibikaji

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo ya kweli ya Taifa yanategemea kujenga wananchi wenye maadili, uzalendo, uwajibikaji na mshikamano, huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha utawala wa sheria na taasisi za umma. "Hakuna maendeleo ya kudumu bila kujenga watu wenye...
  12. USSR

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Dkt Mwigulu Lameck Nchemba awasili Ufaransa kumwakilisha Rais katika siku ya Kiswahili

    WAZIRI MKUU AWASILI UFARANSA KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Paris, Ufaransa leo, Julai 6, 2026, kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aanza ziara ya kikazi ya siku tano mkoani Mara

    WAZIRI MKUU AANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO MKOANI MARA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Seronera, wilayani Serengeti mkoani Mara, kuanza ziara ya kikazi ya siku tano mkoani humo. Katika ziara hiyo itakayofanyika kuanzia leo, Jumatano Julai 1 hadi Julai...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba: Kuna watu wamepanga kuwapiga waandamanaji

    Waziri Mkuu Lameck Nchemba, amefichua kuwepo kwa njama za siri zinazosukwa na baadhi ya watu kuwalipa watu wengine ili wawapige watakaoshiriki maandamano, kwa lengo la kuichafua Serikali. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Juni 27, 2026, wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: hatutafanya mzaha na anayetaka kuvuruga amani ya nchi

    DKT. MWIGULU: HATUTAFANYA MZAHA NA ANAYETAKA KUVURUGA AMANI YA NCHI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kulinda amani, usalama wa wananchi na rasilimali za Taifa na haitamvumilia mtu yeyote atakayejihusisha na vitendo vinavyohatarisha usalama wa nchi. Ametoa kauli...
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Wamelipwa ili wawapeleke Vijana wa kitanzania Barabarani na Wameleta watu wa kuwapiga hao vijana ili ionekane ni serikali

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 27, 2026 akizungumza na wananchi wa Ikungi, Mkoani Singida amesema Pia soma > Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote Kuna watu wanataka kuwatumia vijana wa Kitanzania kwa maslahi yao binafsi. Kama serikali ambayo tuna wajibu...
  17. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Serikali haina ugomvi na vyama vya siasa, kipaumbele ni usalama wa Watanzania na Taifa

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 27, 2026 akizungumza na wananchi wa Ikungi, Mkoani Singida amesema kuwa Serikali haina ugomvi na chama chochote cha siasa, bali inaweka mbele kipaumbele cha usalama kwa Watanzania na Taifa kwanza. Pia soma > Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Wilaya ya Ikungi, Singida

    Ni Singida Tena Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 📆 27 Juni, 2026. 🕰️4:00 Asubuhi
  19. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Chuo cha Sokoine Katavi kuwa cha mfano Tanzania

    DKT. MWIGULU: CHUO CHA SOKOINE KATAVI KUWA CHA MFANO TANZANIA Ujenzi wa Jengo la Taaluma la chuo cha SUA Kampasi ya Mizengo Pinda Katavi wafikia zaidi ya Asilimia 90 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba alifanya ziara ya kikazi Mkoani Katavi ambapo alifanikiwa...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: chuo cha Sokoine Katavi kuwa cha mfano Tanzania

    DKT. MWIGULU: CHUO CHA SOKOINE KATAVI KUWA CHA MFANO TANZANIA Ujenzi wa Jengo la Taaluma la chuo cha SUA Kampasi ya Mizengo Pinda Katavi wafikia zaidi ya Asilimia 90 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba alifanya ziara ya kikazi Mkoani Katavi ambapo alifanikiwa...
Back
Top Bottom