https://www.youtube.com/live/98jEfK7jGzk?si=bb1XzVr-LAZ-EwRF
LIVE: Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Septemba 15, 2026 anazungumza na wananchi wa Jimbo la Bariadi Vijijini, Mkoani Simiyu.
Dkt. Mwigulu yupo mkoani Simiyu kwa Ziara ya Kikazi.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekataza tabia ya wagonjwa wanaohitaji huduma ya haraka kuombwa fedha za mafuta ili kuwawahisha hospitalini kwa kutumia magari ya wagonjwa.
Akizungumza Septemba 14, 2026, wakati wa ziara mkoani Simiyu, wilayani Itilima, Dkt...
DKT. MWIGULU: MFUMO MPYA WA UNUNUZI PAMBA UJULIKANE NDANI YA MWEZI MMOJA
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemuagiza Waziri wa Kilimo kukutana na wadau wa zao la pamba na ndani ya mwezi mmoja kuwasilisha mapendekezo ya mfumo bora wa ununuzi wa pamba utakaowanufaisha wakulima na kuendeleza...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemuagiza Waziri wa Kilimo kukutana na wadau wa zao la pamba na ndani ya mwezi mmoja kuwasilisha mapendekezo ya mfumo bora wa ununuzi wa pamba utakaowanufaisha wakulima na kuendeleza uzalishaji wa zao hilo.
Ametoa agizo hilo leo, Jumatatu Septemba 14, 2026...
https://www.youtube.com/live/8izDGvhF82E?si=pbg9TRphPWkO8XbD
LIVE: Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Septemba 14, 2026 anazungumza na wananchi wa Itilima, Mkoani Simiyu.
Dkt. Mwigulu yupo mkoani Simiyu kwa Ziara ya Kikazi.
DKT. MWIGULU: AFRIKA IJENGE UWEZO WAKE WA KUSIMAMIA NA KUZALISHA HUDUMA ZA AFYA
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameitaka Afrika kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje kwa muda mrefu...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameitaka Afrika kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje kwa muda mrefu.
Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Jumatano Septemba 09, 2026, wakati akimwakilisha...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Septemba 9, 2026, amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi.
Mkutano huo unafanyika katika Kituo cha Mikutano...
DKT. MWIGULU: KILA KIJIJI KUWA NA SEKONDARI
▪️Aelekeza fedha zinazookolewa kwenye kubana matumizi zielekezwe kwenye huduma za wananchi.
▪️Aagiza magari ya kubeba wagonjwa yawe na mafuta, aonya wanaowachangisha wagonjwa.
▪️Ampongeza Afisa Elimu aliyesimamia shule kuongoza kitaifa.
WAZIRI...
DKT. MWIGULU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA OFISI ZA HALMASHAURI YA BAHI
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumamosi, Septemba 5, 2026, amekagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Bahi na kuweka jiwe la msingi la mradi huo, unaolenga...
dkt.mwigulu
jamhuri
jamhuri ya muungano
mkutano
mkuu
mkuu wa
muungano
muungano wa tanzania
mwigulumwigulu lameck nchemba
septemba
singida
tanzania
tarehe
waziri
waziri mkuu
dkt.mwigulu
jamhuri
jamhuri ya muungano
mkutano
mkuu
mkuu wa
muungano
muungano wa tanzania
mwigulumwigulu lameck nchemba
septemba
singida
tanzania
tarehe
waziri
waziri mkuu
DKT. MWIGULU ATOA WITO WA MAANDALIZI YA MAPEMA KUKABILI ATHARI ZA EL NIÑO
▪️ Atoa rai kwa Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya mafuriko.
▪️ Aagiza ndani ya Septemba kutangazwa zabuni ya ujenzi wa barabara km 11 za Igauri - Ilongero.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa wito kwa...
▪︎ Atoa rai kwa Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya mafuriko
▪︎ Aagiza ndani ya Septemba kutangazwa zabuni ya ujenzi wa barabara km 11 za Igauri–Ilongero
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa wito kwa Watanzania na viongozi katika ngazi zote kuchukua tahadhari na kujiandaa mapema...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumamosi, Septemba 5, 2026, amekagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Bahi na kuweka jiwe la msingi la mradi huo, unaolenga kuboresha mazingira ya utendaji na utoaji wa huduma kwa wananchi.
Akiwasilisha taarifa...
▪︎ Aagiza Wizara ya Fedha na Uchukuzi kuharakisha utekelezaji
▪︎ Aelekeza leseni za madini zisizoendelezwa kufutwa
▪︎ Asisitiza kupunguzwa kwa matumizi yasiyo ya lazima
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameiagiza Wizara ya Fedha na Wizara ya Uchukuzi, kwa kushirikiana na Shirika la Reli...
▪︎ Aagiza Wizara ya Fedha na Uchukuzi kuharakisha utekelezaji.
▪︎ Aelekeza leseni za madini zisizoendelezwa kufutwa.
▪︎ Asisitiza kupunguzwa kwa matumizi yasiyo ya lazima.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameiagiza Wizara ya Fedha na Wizara ya Uchukuzi, kwa kushirikiana na Shirika la Reli...
▪︎ Azindua Mfumo wa Kitaifa wa Taarifa za Uwezeshaji Kiuchumi (NEMIS)
▪︎ Ataka wigo wa miradi kwa Watanzania kupanuliwa
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa wito wa kuhakikisha Watanzania wanashiriki kikamilifu katika uchumi wa nchi yao, akisisitiza kuwa uwezeshaji wa wananchi ni msingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.