dini

  1. KIFO NA NDOA: Naomba nichukue nafasi hii kuisifu misingi ya dini ya Kiislamu

    Nikiri wazi Mimi ni mkristo kidanki ndaki, ni mafungu machache ya kwenye biblia yanaweza nipiga chenga. Dini zote mbili za kikristo na kiislamu zilitokea eneo moja , mashariki ya Kati , kile ambacho Biblia inasema na kile ambacho Qur'an inasema ni copyright for more than 80% , waislamu...
  2. Kama unaamini uwepo wa Mungu, usiipite hii!

    Hello! Kuna jibu huwa najibiwa sana na washika-dini kila ninapowauliza kwanini wao wanaamini uwepo wa Mungu. They are like, "Unaamini uchawi upo?" Nikimjibu, anakuja na hii, "Kama unaamini uchawi upo, kwanini huamini Mungu yupo?". Yaani hapo huwa wana nadharia yao kuwa, everything is two...
  3. Kikatiba hakuna dini ya kikristo

    Nakumbuka niliona kwenye katiba kuwa kila dhehebu linasajiliwa kama dini. Hivyo basi, hakuna dini ya ukristo ila kuna dini za Aglican, Katoliki, Lutheran, Moravian, nk, nk. Sijajua upande wa Uislamu husajiliwa namna gani. So kisheria nchi yetu ina dini nyingi sana.
  4. J

    Chonde chonde Rais Samia, Kipengele cha Dini kwenye sensa ni muhimu sana kwa sababu hii

    Rais wetu usifungwe kwa miiko, watu wengi ikiwemo wewe wameleta mabadiliko chanya kwenye jamii kwa kuvunja miiko, tuangalie faida na hasara zake sio kwa kuwa halikuwahi kufanyika Hili suala haina haja ya kulichukulia kwa shari na kutokuaminiana, tujadili kwa utulivu na kwa reason Dini imekuwa...
  5. Rais Samia: Sensa haitauliza kuhusu Dini ya mtu

    Rais Samia Suluhu Hassana ametoa wito kwa wananchi kujitokeza katika zoezi la sensa huku akisema suala jipya lililoongezwa ni swali kuhusu anuani za makazi. Amesema hakutakuwa na swali la kuhusu dini ya mtu kwa kuwa suala hilo lilishakataliwa tangu enzi za Rais Julius Nyerere, hivyo hakutakuwa...
  6. T

    Viongozi wa Dini wamenikwaza sana! Rais Samia na Mamlaka zake zisikubali huo mtego

    Jana Jumatano Machi 02, 2022 Viongozi wetu wa Dini walikutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kufanya nae mazungumzo mbalimbali pale Ikulu. Katika hali iliyonishangaza Mimi na nadhani hata kwa Watanzania wengine wengi ni hatua ya Viongozi wa Dini kuomba Rais Samia na Mamlaka zake zitumie busara...
  7. Viongozi wa dini msitumie taasisi za kidini kumtetea mhalifu

    Hapo vipi! Jana nimesikia maombi ya viongozi wa dini kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kiukweli kinachoonekana hapo nikwamba baadhi ya viongozi wa dini ni wanasiasa wenye mrengo fulani, lakini namuona kiongozi mmoja wa dini ambaye ndio, aliyepanga huo makakati kwa lengo la kumuombea...
  8. Viongozi wa dini waliokutana Rais Samia Wamemshauri kuifuta kesi ya Mbowe

    Hivi ndivyo Mwananchi walivyoeleza kwenye tovuti yao jioni hii . Hoja hiyo iliwasilishwa mbele ya Rais na Shehe Mkuu (BAKWATA) Mufti Aboubakar Zuberi ======= VIONGOZI WA DINI: BUSARA ITUMIKE KUMALIZA KESI YA MBOWE Viongozi hao wameomba Mamlaka husika kutumia busara na kuangalia namna ya...
  9. Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    Kwenye post ya Muna love Instagram ambayo Muna love alikua anauliza kama akibadili dini na kuwa muislamu atapokelewa, msanii Alikiba alimjibu kwenye comments kwa kusema, "uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua converted into Christian" Hii inaonesha wazi jinsi gani...
  10. Tanzania hakuna Ukabila wala Udini lakini kuna Makabila na Dini

    Tanzania Hakuna ukabila wala udini lakini kuna makabila na Dini. kipindi cha awamu ya Tano Wananchi wengi na wadau wengi wa mtandao wetu pendwa wa JamiiForums walikuwa wakieneza propaganda kuhusu uteuzi na ajira kipindi cha miaka iliyo pita ulikuwa ukihusisha ukabila na kutaja kabila moja wapo...
  11. Kuongezeka kwa matukio ya mauaji na mmonyoko wa maadili ni kielelezo cha kushindwa kwa taasisi za dini

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa kidini na kimila kuwa chanzo cha kudhibiti mauaji yanayotokea mara kwa mara nchini, kwa kutoa mafunzo ya maadili yatakayosaidia kurejesha utu na hofu ya Mungu. Ameyasema hayo leo Februari 22 alipohutunia katika maadhimisho ya miaka 25 ya Jubilee ya...
  12. F

    Dini zinamilikiwa na Wazungu au Waafrika?

    Maswali magumu kuhusu ubaguzi katika Dini duniani:- 1. Mwafrika anawezakuwa Papa? 2. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Anglican duniani? 3. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Lutheran duniani? 4. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Suni duniani? 5. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Shia duniani? 6. Mwafrika...
  13. Hili la watumishi Serikalini kutakiwa wataje makabila yao na dini zao lingetendeka Kenya, humu hakungekalika

    Watanzania wengi humu JF hupenda kuisema Kenya kwa mambo yetu ya kutajana makabila, ila wao kwa unafiki huwa wanayafanya sana kimya kimya, naona hapa taarifa itakua shurti kwa kila mtumishi wa umma kutaja kabila lake na dini yake, yaani inawekwa kwenye sera kabisa...
  14. M

    Ni kwanini Vitabu vya Kiimani (Dini) vimepinga Mwanamke kuwa Kiongozi / Mtawala?

    Na je, Mwenyezi Mungu aliona nini mpaka Kulisemea hili mpaka Kusisitiza kabisa kuwa Mwanaume ndiyo awe Kiongozi na kuainisha Majukumu ya Mwanamke na Ukomo wake? Kwenye Kitabu cha Quran (cha Waislamu) hiyo Aya nimeiona na imesisitizwa kweli kweli na naomba kama kuna anayejua Aya inayosema hivi...
  15. Kwa mujibu wa Dini yetu, kuna dhambi gani nafanya nikitumia Mkaa?

    Mara moja kwa week huwa natumia mkaa kung'arishia meno. Nina meno meupe na napenda yaendelee kuwa meupe maana mademu pia wanayafagilia sana. Ila yananifanya niweze tabasamu muda wote hata ukiniudhi. Juzi kuna mt alinikuta natumia mkaa kufanya jambo hilo. Akanambia kwa mujibu wa dini yetu ya...
  16. L

    Ni aina gani la dini hili

    Habari wakuu, habari za kushinda? Poleni na majukumu. Siku ya leo nimeona post ya bbcswahil kuhusiana na almasi ya ajabu iitwayo enigma. Sasa nina jiwe kama hilo niliokota miaka 7 iliyopita. Najiuliza linaweza kuwa lenyewe au ni mfanano tu. Naambatanisha picha ya bbcswahili pamoja na picha za...
  17. Mwanza: Viongozi wa dini waguswa na mauaji yanayotokea nchini

    Kamati ya viongozi wa dini mkoa wa Mwanza imefanya mkutano wa kukemea hali ya mauaji yanayoendelea hapa nchini ambao wamekutana kwa ajili ya kujadili hali ya mauaji yanayoendelea. Mbali na kamati ya viongozi wa dini mkoa pia wameshirikishwa viongozi wote wa dini wa mkoa wa Mwanza. Katika...
  18. B

    Unajua kwanini katika mikutano ya Rais Samia na viongozi wa dini na machinga hakuna aliyemweleza kuhusu kupanda kwa bei za vyakula?

    Upon mfumumuko mkubwa wa za bidhaa nchini, maeneo yaliyoathirika Zaidi ni nishati na chakula. Kupanda kwa bei hizi kulipaswa kuwa agenda za kujadiliwa kabla ya kujadili siasa. Mtu mwenye njaa ni mwepesi kurubuniwa akawa mwovu lakini aliyeshiba siku zote ukumbuka mkono uliomlisha na kuulinda...
  19. Mara: Wananchi walizwa elfu ishirini ishirini kwa kivuli cha dini

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani,Sagini Jumanne ameliagiza jeshi la polisi na msajili wa madhahebu kuchunguza kundi linalodaiwa kutumia dini kutapeli wananchi kijiji cha Mwanza Buriga wilayani Butiama na itakapobainika ni moja ya makanisa yaliyosajiliwa nchini usajili wake utafutwa Wananchi...
  20. C

    Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

    Habari wana JF .. Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii. Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…