dini

  1. JamiiForums Tanzania Upotofu, ulaghai na uchafu ndani ya kanisa kiini chake kikubwa ni viongozi wa dini kukwepa haya hizi mbili ndani ya Biblia

    Hallelujah! Mimi ni mkristo, siandiki hapa kwa lengo la kuufedhehesha Ukristo hapana. Natamani turudi kwenye Ukristo ule ambao sifa tu inatosha kuleta uponyaji wa kimwili na kuleta bubujiko la kiroho tofauti na sasa sifa ipo tu kama desturi. Mtu ametoka kuzini jana leo anashika mike kuongoza...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa dini zinazoweza kuja kuzipiku dini za Ukristo na Uislamu?

    Katika historia inaonyesha kabla ya Ukristo na Uislamu baadaye kulikwa na dini kubwa za maeneo mbalimbali lakini hazikuwa dini za kidunia kama Ukristo na Uislamu ambavyo zimekuwa dini za kidunia. Je kuna uwezekano zikaja dini nyingine zikapiku Ukristo na Uislamu na kuwa dini za kidunia au...
  3. JamiiForums Tanzania Dotto Magari ni muumini wa dini gani?

    Huyu Dotto Magari inadaiwa ni muislam lakini ameonekana akila mbuzi katoliki. Dotto ni muumini wa dini gani?
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI? Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza. Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajuwa hakuna waandishi wa vitabu walijiona wasomaji wa vitabu vyao kama waandishi wa vitabu vya dini

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza. Yaani hivi mwandishi wa kitabu yoyete mwenye kuijuwa kazi ya uandishi vizuri. Kitu cha kwanza anacho kifanya ni kujuwa walengwa au wasomaji wa kitabu chake ni watu wa aina gani? Kwa mfano ukiandika kitabu kwaajiri ya watoto, lazima...
  6. JamiiForums Tanzania Atheist na watu dini ni kundi moja ambalo halijuani

    Unakuta mtu anajiita Atheist Ila anaamini katika universe na nature Ila haamini kuhusu Mungu mwingine yeye hatambui universe wala nature Ila anaamini Mungu. Ukifatilia hawa wote hawajitambui maana wanafatisha watu wamagharibi wanachokiamini. Binafsi Mimi naamini katika mizimu na karma. I pray...
  7. JamiiForums Tanzania Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

    Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi. Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu tena bali amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika, yaani African...
  8. JamiiForums Tanzania Redio maria acheni udini, nyie kutwa kutwa mambo ya dini ya ukristo na kwaya tu?

    Radio maria acheni udini aisee mnazingua aisee Tanzania kuna dini kubwa mbili aisee sasa kwanini kila siku nyie mnaizungumzia dini moja tu ya ukristo? Ili hali nyie ni radio tu kila mtu anapaswa kuisikiliza sio kubase kwenye dini moja tu aisee mnakera sana aisee Mtanirekebisha kama ni radio ya...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini? Ndoa ina miezi 10, mke wangu kabadili dini kaolewa na mwanaume mwingine

    Niliunganishwa na huyu mke wangu na shangazi yangu. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka masomoni Uingereza, na kwa kuwa nilitoka huko nikiwa na kazi tayari, hivyo nilikuwa nishajipanga kimaisha na mambo yalikuwa mazuri. Sikupanga kuoa kwa kipindi hicho, lakini kama unavyojua familia zetu, ukiwa na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wazazi kuwaambatanisha watoto na Ibadan si ushamba!

    Habari Wana JF, Namshukuru sana Mungu kwa kumuweka hai,Katika hii Dunia kuna mambo mengi sana mazuri na mabaya, Moto huzaliwa na wazazi wake yaani Baba na mama,haijalishi atalelewa na Nani. Kumetokea matukio mengi ya ajabu na yenye kutisha yanayotendwa na binadamu wenzetu,asilimia kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Naungana na makamu wa rais kukemea hili, baadhi ya viongozi wa dini hawafahamu wajibu wao!

    Labda pengine wengi wa viongozi wa dini ni makanjanja, nikimaanisha hawafahamu na hawako kiwito wa kiutumishi hasa wa kusimamia wana kondoo kwa usawa, hekima, kwa jinsi NENO, lisemavyo, watumishi hao baadhi wameonyesha kujiingiza moja kwa moja kwenye baadhi ya vyama vya kisiasa as if ni...
  12. JamiiForums Tanzania Dini zinawagawa sana watu kuliko kuwaunganisha .

    Maoni binafsi Dini -ni Kama mfupa mgumu ambao walipewa watu waangaike nao -kuumeza huo mfupa wengi hawawezi kuumeza wala kuuvunja. The bible is there Quruan is there But only few people can use it positively. Watu wanatengana Wanabaguana Wanachukiana Dini zote zinafundisha UPENDO lakini...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha uhuru wa kiimani ni namna dini yenye waumini wengi inavyoweza kuishi na wanaoamini dini tofauti, ni neema tumezaliwa nchi iliyojaa wakristo

    Kipimo cha ubora wa dini ni namna unavyoweza kuishi na wanaoamini dini tofauti na yako. Kama jirani yako anaabudu ng'ombe na hakubagui wala kukunyanyasa wewe unayemuabudu Jehova au Allah hakika huyo ni jirani mwema na bora zaidi ya wale wanaohubiri amani na upendo huku wanalazimisha sheria za...
  14. JamiiForums Tanzania Tuna P-didy wengi waliojificha kwenye Siasa, Dini, Siasa na taasisi/kampuni rasmi

    I. Hapa TANZANIA (Tanganyika na Zanzibar) tunao kwa MAELFU ya watu wenye tabia mbovu PENGINE KUMZIDI p.didy (za kuwadhulumu watu wengine kingono). II. Wengi wa waathirika huishia kunyamaza kimya huku wakiugulia maumivu moyoni. Sekta zinazoongoza udhalilishaji wa kingono, 1. SIASA - huku...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga ingekuwa na dini yakee hata wach tungepiga hela sana

    Mungu fundi kweli Wacha tuendekee kuishabikia tu Nawaza haka katimu kanavyotrsa watu hivi Laiti inggekua na dini yake nahisi wach wangepiga hela sana Wacha kabaki hivihici
  16. JamiiForums Tanzania Makonda kuwa mtu wa dini zote na madhehebu yote asivimbe kichwa.

    Huyu bwana inaonekana kuweza kujenga ushawishi kwa viongozi wa dini zote hapa nchini, kukubalika katika dini zote na kupewa heshima ya kipekee na dini zote hapa nchini sasa kumempa kiburi. Hadhi aliyoipata kanisa Katoliki asiichukulie poa/"for granted". Wakatoliki huwa hawapendi mtu awe mkubwa...
  17. JamiiForums Tanzania Je wajua mwanamke hana dini??

    Kama huamini subiri aoleweeew kamammkristo utajua anapoelekea Kama msilamu utajua anapoelewa
  18. JamiiForums Tanzania Hatari ya maneno ya Makonda: Asiombe Viongozi wa Dini wafanye maamuzi!

    Changamoto kubwa inayokikumba Chama cha Mapinduzi kwa sasa ni kuwa na Viongozi wenye akili na upeo duni, Wasioweza kuchakata tension iliyopo kwenye jamii na kujua waseme nini na kwa wakati gani? Suala hili limekuwa likiongeza sana hasira za wananchi dhidi yao. Nawapongeza wenye busara wachache...
  19. JamiiForums Tanzania Makonda: Jakobo alipochinjwa, Kanisa liliomba, halikutoa tamko au waraka.

  20. JamiiForums Tanzania Kichaa cha dini hakina tiba kipo kama kichaa cha mbwa

    Mtu akishapata kuchaa cha dini ndio basi tena. Dawa yake karne hii haipo. China wananyonga lakini wapi Kifupi hiki kichaa IKITOKA IMEENDAA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…