dikteta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Familia imara hujengwa na baba dikteta na sio vinginevyo

    Mapema kabisa hakikisha mke na yeyote aliye ndani ya himaya yako anatii na kufuata sheria ulizoweka. Kusiwe na majadiliano yoyote ili mradi humuonei mtu. Mke, mtoto, ndugu au mgeni aliye ndani ya nyumba yako afuate utaratibu. Kimsingi ukiwa BABA KATAA DEMOKRASIA NDANI YA FAMILIA. Udikteta ndo...
  2. Kila dikteta huwa na mtu wake anaetekeleza mipango ya kimafia

    Hakuna jipya chini ya jua. Tangu enzi na enzi, kila dikteta lazma awe na mtu wa kutekeleza mipango ya kimafia au unyama. Mara nyingi watu hawa huwa hawawajibishwi na mamlaka zozote za kiserikali bali tu kwa wale wanaowatuma. Idd Amin alikuwa na Brigedia Jenerali Isaac Malyamungu. Huyu alikuwa...
  3. Nyerere alikuwa Dikteta makini sana, waliofuata ni washamba labda kwa mbaaali Mkapa

    Jumapili ni tulivu! Pamoja na kwamba Tuna PM wa mchongo, na wakati huo Namba moja na Namba mbili hawapatani wanaogopa kutiliana sumu tuangalie hapa chini Haina ubishi wote mliokuwapo wakati wa Nyerere alikuwa dictator Lakin mwenye akili natoa mifano michache tu 1. Mzee mtei aliachana naye kwa...
  4. R

    Serikali ya Gambia imeanza kuwalipa fidia wananchi walionyanyaswa na Rais dikteta, Yahya Jammeh

    Tume ya Fidia ya Gambia imeanza kulipa fidia kwa waathirika wa ukiukwaji wa haki za binadamu uliotekelezwa chini ya utawala wa aliyekuwa dikteta wa nchi hiyo, Yahya Jammeh, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Januari 13, 2026 Tume hiyo imesema hatua hiyo ni “hatua muhimu” katika kutimiza jukumu...
  5. Walimuita hayati Magufuli kuwa dikteta Uchwara. Sasa wanamkumbuka. CHADEMA wana wakati mgumu sana

    Alikuwa busy kuhakikisha rasilimali za umma zinawaletea maendeleo wananchi. Akawaambia tuwe tunajikita kwenye ujenzi wa taifa baada ya uchaguzi. Then baada ya miaka mitano tunafanya siasa.Wakamuita dikteta uchwara Leo hii wanaishi kwa uoga, hata kuweka comment Facebook na Watsap wanaogopa...
  6. M

    Magufuli licha ya mabaya yake lakini alikuwa mzalendo kwa nchi yake na Samia yeye ni

    Magufuli alikuwa Dikteta lakini alikuwa mzalendo kwa nchi yake, kama ilivyo kwa Putini, lakini Samia yeye si mzalendo hata kidogo bali ni ........wa rasilimali za Tanganyika. Na bado ameingia madarakani kimchongo si Rais halali na ameenda mbali zaidi akawauwa Watanganyika Wazalendo ambao...
  7. Swali: Nyerere alikuwa dikteta na utawala wake ulikuwa wa kiimla. Discuss (50 Marks)

    Swali: Nyerere alikuwa dikteta na utawala wake ulikuwa wa kiimla. Discuss (50 Marks)
  8. Hawa Wakenya, Wana nini na Tanzania?! Wanatutukania Rais Wetu kuwa She Was Nobody na Kumuita Dikiteta Iddi Amini Mama!, Tusikubali na Tusiwanyamazie!

    Wanabodi Hebu msikilizeni huyu jamaa, Mkenya anaitwa Rodgers Kaka Sungura https://youtu.be/FFVNsTEI690?si=g-1g15frbAOn6yYz Anatema uongo kumhusu Rais Samia, Anamtukana na kumuita Dikteta Iddi Amini Mama, amemtukana Rais wake Ruto kuwa ni Dikiteta Iddi Amini Baba, na kusema Uganda kulikuwa na...
  9. H

    Aliyetarajiwa Kuweka Mfano Mzuri kwa Wanawake Kuwa Viongozi, Ageuka na Kuwa Dikteta Hatari.

    Siongezi neno: "Mwanamke aliyetarajiwa kufungua njia kwa wanawake wengine kuwa viongozi Afrika, kwa mshangao mkubwa, amegeuka kuwa dikteta hatari, na kuweka kiwango kipya cha udikteta, kiasi cha kumfanya M7 kuonekana ni mtakatifu" "A woman who was expected to open new frontiers for women...
  10. Kiongozi Dikteta ni Kiongozi wa Namna Gani? Je, Tanzania Iliwahi kuwa ama ina Kiongozi ambaye ni Dikteta?

    1.Kiongozi Dikteta ni Kiongozi wa Namna Gani? Kiongozi dikteta ni mtu anayeshikilia madaraka makubwa ya kisiasa bila mipaka ya kikatiba au ridhaa halali ya wananchi. Mara nyingi:- •Anapora mamlaka yote: Anadhibiti mihimili yote ya dola – Bunge, Mahakama, na Serikali. •Hapokei ukosoaji...
  11. Nakubaliana na Padre Kitima. Hakuna dikteta aliyedumu milele hapa Duniani. Hata Nicolae Ceusescu aliuwawa kama panzi kwa uonevu na mabavu yake

    Alikuwa na kiburi na akadhania yeye ni Mungu mtu kwa kutumia nafasi ya Ikulu Lakini alikufa kama panzi mikononi kwa watoto wadogo. Tunahitaji fairness kwenye taifa lefu, iwe ni suala la ajira, uchaguzi na hata haki za kuishi
  12. Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

    https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0 General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao. Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono...
  13. Dikteta bora aliye likwamua eneo dogo la Singapore toka Malaysia kuwa Giant duniani

    Sio mwengine bali ni waziri mkuu wa mwanzo wa Singapore bwana Lee Kuan Yew. Mbeba maono aliye ivusha Singapore ka eneo kadogo kaliko kataliwa na Malaysia na kujitenga na kupata nchi yake iliyo jaa umasikini uliotopea lakini mbeba maono huyo aliivusha Singapore toka eneo dogo Asia na dunia kwa...
  14. Unapomkosoa mtawala Dikteta au nchi za kiafrika Kwanza angalia mtazamo wa mtawala juu yako. Je ni positive au negative?

    Habari za Leo! Unapomkoaa Boss au mtawala au kiongozi wako. Moja ya mambo muhimu ya kuzingatia ni mtazamo wake juu yako. Je ni Negative au positive? Kama mtazamo wake ni Negative, hata ukimkosoa kiungwana na kiupole kwake ataichukulia kama dharau, chuki na vita. Hivyo majibu yake yanaweza...
  15. Mkomunisti aliyechukia umasikini na kuupenda utajiri aliifufua China toka kuzimu [ Dikteta bora wa Kiasia mzaliwa wa China Deng Xiaoping ]

    Si mwingine bali ni mtu mfupi wa kimo bali mrefu wa maarifa na kuona mbali kuhusu kesho ya taifa lake Deng Xiaoping Mkomunisti na dikteta bora wa kichina aliye iokoa chini yake kutumbukia shimoni mwa umasikini uliotopea na mvurugano mkubwa wa kisiasa. Deng Xiaoping alinusurika kuuwawa na...
  16. Dikteta bora Park Chung Hee former South Korea Military General

    Dikteta bora Park Chung Hee former South Korea Military General. Rais wa Korea kusini 1963-1979. Dikteta aliye itoa Korea Kusini kwenye matope na umasikini uliotopea kwa mkono wa Chuma. Bintiye alikuja kuwa Rais wa Korea Kusini akaishia jela. Toka harakati za uhuru Asia imewahi kubahatika...
  17. Kati ya hawa Nani ni Dikteta Tanzania

    https://www.facebook.com/share/v/1BgsNVZPy9/ Sikiliza kwa makini hii Video clip ndipo utajua nani ni Dikteta Tanzania anayeteka, kupoteza na kuua watu. Akili za kuambiwa changanya na za kwako( Mbayuwayu style). Tafakari
  18. C

    CCM mmeingia kwenye history, mmetengeneza dikteta mwanamke wa kwanza Afrika

    Ukimuangalia sura yake unaweza ukadanganyika lakini Samia Suluhu ni mwanamke katili rais Afrika kwa sasa. Madikteta wenzake Afrika mashariki Yoweri Museveni wa Uganda na Kagame wa Rwanda kwa sasa hawamfikii Samia kwa ukandamizaji wa wapinzani wake wa kisiasa. Mpinzani wake wa chama kikuu cha...
  19. Nchi hii kwa sasa inahitaji Rais Dikteta

    Hapo nyuma kidogo palisemwa kuwa Taifa lilipofikia linahitaji rais dikteta. Dikteta akaingia na akatawala kidikteta kweli kweli Upinzani makaminywa mazaga Vyombo vya habari vikaminywa mazaga Wapinzani wakatekwa Wapinzani wakauwawa Risasi zilirindima mchana kweupe Utenguzi wa watendaji...
  20. F

    Sasa rasmi kuna dikteta nchi hii

    Kwa jinsi hali ya uhuru wa kisiasa unavyoendelea kuminywa nchini kuna kila sababu ya kujisikia kutawaliwa kidikteta.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…