diamond platinumz

Naseeb Abdul Juma Issack (born 2 October 1989), popularly known by his stage name Diamond Platnumz, and often referred to as "Simba" (meaning Lion in Swahili) or "The King of Bongo-Flava" is a Tanzanian bongo flava recording artist, actor, dancer, philanthropist and a businessman from Tandale, Dar es Salaam. He is the founder and CEO of WCB Wasafi Record Label, Zoom Extra, Wasafi TV, a Tanzanian media outlet, and Wasafi Fm, one of Tanzania's latest radio stations.Diamond Platnumz is among the most popular artists in East and Central Africa. He has had several hit songs and has been awarded numerous awards. He is the first Africa-based artist to reach a combined total of 900 million YouTube views. In 2013, according to Tanzania's mobile phone companies, he was the best selling artist of ringtones. Diamond is also one of the top earners in the African Great Lakes region's music industry.Diamond is jointly managed by Sallam Ahmed Sharaff (Sallam SK) a.k.a. Don Mendez, Hamisi Shaban Taletale (Babu Tale) and Saidi Hassan Mlinge (Mkubwa Fella) from the Tanzanian music.In 2021, Diamond together with his record label WCB Wasafi entered into a 360 Partnership with Warner Music Group.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania List ya nyimbo 10 za Alikiba na Diamond zenye views nyingi YouTube

    Orodha ya Nyimbo (Video) kumi (10) za Diamond Platnumz ambazo zenye idadi kubwa ya Watazamaji (Views) kwenye mtandao wa YouTube katika historia yake ya muziki. 1. Yope Remix : +236M 2. Waah : +163M 3. Inama : +141M 4. Jeje : +102M 5. Nana : +100M 6. African Beauty : +86M 7. Marry You : +71M 8...
  2. JamiiForums Tanzania Babu Tale na Diamond Platinumz mbona Mwenzenu Bondia Tyson kakiri kuwa P Diddy alitaka Kumshika paja akashtuka ila nyie hamfunguki zaidi kama Yeye?

    Bondia Mstaafu na Mwigizaji wa Filamu Mike Tyson amefunguka kuwa siku moja akiwa kwenye Kipindi Cha Televisheni na P Diddy wakiwa wamekaa kwenye kochi moja alishangaa kuona mkono wa P Diddy umemgusa kwenye mapaja yake, Tyson alishituka sana kisha akauondoa mkono huo haraka sana na akakaa mbali...
  3. JamiiForums Tanzania Nyinyi maskini wenzangu acheni kumsakama Diamond

    Mimi nawashangaa mno mnavyomkalia kooni msanii Daimond na kumdhihaki kwa kila namna kusema tu alifika kwa msanii paff dady Mwacheni, umasikini mbaya nyie,, shida mkwanja uingie tu, au aliunganishwa kwenye chama cha siri cha giza, nyinyi masikin wenzangu inawauma nini Nimejua bongo kweli kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Wakazi awatolea uvivu Wasanii adai hawajitambui, wanataka kuwa kama Diamond

    Rapa Wakazi ametoa kauli kali akiwakosoa wasanii kwa kutojitambua na kutojihusisha na masuala muhimu ya kijamii. Katika andiko lake, alisisitiza kuwa wasanii wengi wamepoteza dira yao ya kuwa kioo cha jamii na badala yake wanataka kuwa matajiri wakifuatilia mafanikio ya msanii maarufu Diamond...
  5. JamiiForums Tanzania Fred Vunjabei amchana Mwijaku, ampa onyo la mwisho

    Mfanyabiashara maarufu, Fred Vunjabei amemtolea uvivu Mwijaku na kumtaka aache kumhusisha na ishu za utajiri, baada ya Mwijaku kudai kuwa Fred ana utajiri mkubwa kuliko Diamond Platnumz, wakati akipinga ndoto ya Diamond ya kuwa tajiri namba moja duniani. Fred, mmiliki wa kampuni maarufu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Baba Levo: Diamond Platinumz alitaka apewe Milioni 300 na Yanga SC aende Siku ya Wananchi, ila Yanga SC hawana Hela na wakashindwana hapo

    Tusichoshane nendeni Wasafi FM huko mkamsikie Wenyewe. Mnajifanya mna Hela zisizo na Kazi kumbe ni Masikini tu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Joseph Kusaga aikana Wasafi Media

    Mkurugenzi wa Clouds media group, Joseph Kusaga amethibitisha kutokuwa na Ubia wowote katika Wasafi media, ameeleza hayo katika mahojiano yake na Clouds, Kusaga ameeleza kuwa hana shea yoyete Wasafi media bali yeye ni kama baba na mshauri kwa Mkurugenzi wa Wasafi media ambae ni Nasib Abdul...
  8. JamiiForums Tanzania Viatu vya Diamond Platnumz Mpaka Vitaongea mwaka huu

    Buti nyeusi za BALENCIAGA anazovaa Mondi zinaenda kwa jina la "ALASKA PUFFER BOOT (men)" amekuwa akizunguk navyo kika kona basi hata Abadilishe rangi tujue Anavyo Vingi basi, yan mwisho wa siku tunaoneka Taifa Tunarudia Viatu.. bei yake ni Dola za Kimarekani 1,325 wmbayo ni TZS Milioni 3.54...
  9. JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini kila Mtu na Kipaji chake Azik K katika huo Wimbo wa Diamond wa Kutambulisha Jezi Mpya ndiyo kaharibu kwani hajui kabisa Kucheza Muziki

    Hongera sana kwa aliyekuwa Jirani yangu Misufini Morogoro Mdogo wangu Dickson Job na Dube kwa kujua Kucheza.
  10. JamiiForums Tanzania What is the meaning of this dream?

    To any spiritual teacher/any person, please can you tell what's the meaning of this dream. I received this dream from Dm in my Twitter (X) account please help a brother "Hello brother G, i hope u doin gudie, can you pls find a person to give the meaning of this dream? I dreamt that i have a...
  11. JamiiForums Tanzania Taji Liundi: Tumshabikie Diamond kama mungu mdogo

    Taji Liundi Diamond Platnumz Akizingumza na vyombo vya habari mtangazaji na msema chochote maarufu Dar es Salaam Taji Liundi amesema Diamond anatakiwa kushabikiwa kama mungu mdogo. Ameyasema hayo akisisitiza support kwa diamond na kuappreciate juhudi anazofanya. Watanzania wamekusikia bro...
  12. JamiiForums Tanzania Diamond na Chris Brown waisimaisha dunia na Komasava

    Story kubwa duniani leo ni Msanii namba moja duniani na msanii namba moja Africa. Chris Brown na Diamond Platinumz. Chris Brown ameonesha kupagawa na wimbo namba moja kwa sasa Africa uitwao Komasava ulioimbwa na Diamond Platinumz kutoka tandale. Chris Brown amecheza wimbo huo huku akionesha...
  13. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya dhati ya Mama Dangote kwa Diamond ndio chanzo kikuu cha mafanikio ya mwanaye

    Miaka zaidi ya kumi Watanzania bado hawajategua kitendawili, Diamondi atashuka lini kwenye huu music wa Bongo Fleva. Wengi wamebakia kubashiri nini kipo nyuma ya mafanikio makubwa aliyopata, na anayoendelea kuyapata bwana Nasib. Wapo wanaosema ni Freemason, ni mganga wa Morogoro, ni Majini...
  14. JamiiForums Tanzania Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
  15. JamiiForums Tanzania Video: Diamond Platnumz na Harmonize wakipata chakula kwa pamoja

    If puss and dog can get together, Why can't we love one another? -Bob Marley
  16. JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz ni mwanamapinduzi wa kweli ni zaidi ya msanii

    Diamond Platinumz msanii namba moja Africa ni zaidi ya msanii. Mimi namuita mwanamapinduzi au kwa kilami wanasema game changer na anaendelea kulionesha ilo kwa vitendo. Jambo lolote ambalo lilionekana haliwezekani kwenye industry yetu ya burudani yeye alibadilisha mtazamo na kuwa inawezekana...
  17. JamiiForums Tanzania Zuchu atangaza kuachana na Diamond Platinumz

    Zuchu adai heshima imekosekana kwenye mahusiano yake na Diamond Platinumz, atangaza kuachana nae rasmi. Hii inakuja wiki kadhaa baada ya Diamond pia kutangaza kuwa yupo single na baadae kurudisha uhusiano wao. "Hello fan-milly i had to post this to clear my conscience. kuanzia leo hii mimi na...
  18. JamiiForums Tanzania Nandy aendelea kumnyoosha Diamond Platinumz

    Habari njema kwa Team Nandy na habari mbaya kwa team Diamond Platinumz. Msanii Nandy ameendelea kushika namba moja kwenye Trend za Youtube licha ya staa Diamond platnumz kutoa video ya wimbo wake wa Mapozi aliowashirikisha Jay Melody na Mr Blue. Wimbo wa "Dah" ambao Nandy amemshirikisha...
  19. JamiiForums Tanzania Alikiba amrushia kijembe Diamond Platinumz

    Baada ya wimbo alioshirikiana na Nandy kushika namba moja Tanzania na kuendelea kumuacha nyuma Diamond kwenye baadhi ya nchi, Alikiba amerusha maneno yanayotafsirika kuwa ni kijembe kwa Diamond Platinumz. Kupitia Instagram Alikiba ame-share wimbo wao unavyotrenda kwenye baadhi ya nchi na...
  20. JamiiForums Tanzania Nandy ampiku Diamond Platinumz, amtoa namba moja

    Baada ya kushika namba moja kwenye Youtube na kusema kuwa wapinzani wake waongeze juhudi maana hawampi changamoto, hatimae Diamond ametolewa namba moja na msanii Nandy kwenye video zinazo Trend mjini Youtube. Wimbo unaoitwa "Dah!" Wa msanii Nandy akishirikiana na Alikiba ndio unaoshikilia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…