dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MAKALA YA SABA “JKT na Vita Dhidi ya Uporaji wa Fikra za Vijana”

    Ndugu zangu, Kizazi cha taifa hakipotei kwa njaa, hakipotei kwa maradhi, hakipotei kwa umasikini tu. Kizazi cha taifa hupotea pale fikra zake zinapotekwa na kupotoshwa. Hii ndiyo hatari kubwa inayotukabili leo. Tazameni vyombo vya habari vilivyotujaa ndani ya nyumba zetu. Vijana wetu wakiwasha...
  2. M

    PostGE2025 Kumbe wahalifu wa makosa dhidi ya binadamu wanaweza kukamatwa na Interpol

    Hati ya kukamata ikishatolewa na ICC intepol wanamamlaka ya kukamata. Kama alivyokamatwa Rodrigo Durtete aliyekuwa Rais wa uphilipino kwa makosa dhidi ya uhai wa binadamu. Ndivyo hivyo wahalifu wengine watakamatwa na Interpol. Rodrigo Durtete mpaka sasa yupo the Hague ananyea ndoo.
  3. G Z tafadhali sana harakati sio uharibifu, kama ni Siasa wajikite humo waachane na masuala ya Mali za Wananchi, kwani yatawasababishia kesi ya wizi

    Uharibifu wa Mali na Miundombinu ndio chanzo cha kusababisha mauwaji G Z tafadhali sana Harakati sio Uharibifu kama ni Siasa wajikite humo waachane na maswala ya mali za Wananchi Swala la mali litawapa adhabu na kesi ya Wizi kwani Wananchi wanaishi maisha yakutawaliwa na hasira kali...
  4. Jumuiya za kimataifa haziwezi kufanya chochote dhidi ya serikali dhalimu zaidi ya matamko na vikwazo ambavyo madhara yanarudi kwa Wananchi

    Moja kwa moja. Kiuhalisia umoja wa mataifa na Jumuiya nyingine za kimataifa hakuna la maana wanalofanya katika kuwasaidia Wananchi wa kawaida katika mateso na manyanyaso kutoka kwa serikali zao na viongozi dhalimu . Mifano ipo mingi sana ila nimeweka michache hapo chini 👇⬇️ 1. Iraq chini ya...
  5. Masheikh wote ni kama wanaona Maandamano ni dhidi ya Uislamu na si dhidi ya utawala mbovu

    https://www.instagram.com/reel/DRRCZIBgsNx/?igsh=MXZvNWQwdHFlbGRyZg== https://www.instagram.com/reel/DRRQh0SDDUj/?igsh=MTdvanF1dTN1YWQ1aQ== ALLY KIBAO alikuwa Muislamu, lakini leo hawa waandamanaji ndio wanaotaka huu utekaji uishe, polisi wawajibishwe au watekaji wapatikane. Lakini hata...
  6. Mapokezi waliopewa Yanga Zanzibar yatawatoa mchezoni na kupoteza mchezo dhidi ya Far Rabat

    Nimeshangaa wale watu wa bandarini pale Zanzibar wakiwafanyia harassment wachezaji wa Yanga na kuwaweka juani muda mrefu Wale walinzinwamegoma kuwaruhusu kupita ati hawana vitambulisho Yaani hapo Zanzibar napo wachezaji wagonge passport Zanzibar mnajikuta nani awamu hii? Yaani mnamgomea...
  7. PostGE2025 Kwa nini mpaka sasa hakuna mtanzania aliyefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji?

    Sijui mambo ya sheriia za kimataifa yalivyo. Nilikua naomba kufahamishwa, mbona mpaka sasa hakuna Mtanzania au taasisi yoyote ambayo imefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji? Au utaratibu wa kufungua kesi huko icc ukoje wakuu? ==== Majibu kutoka kwa wadau
  8. DW: Tanzania yakosolewa kwa msako dhidi ya wanaoonyesha upinzani

  9. Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake & Watoto

    Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera .E. Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto Awamu ya Pili (MTAKUWWA II), kilichofanyika tarehe 11 Novemba, 2025 Jijini Dodoma. kikao hicho kilihudhuriwa na wajumbe kutoka Wizara...
  10. Silaha za kujilinda dhidi ya majizi na jambazi ya mali

    Kama mnavyojua wadau kuwa majizi na majambazi ya mali yakiku face huwa hayanaga huruma yanachukua mali na uhai wako. Sasa ili usiende kizembe angalau kuwa na hata silaha ya kukabiliana nayo ili chaguo liwe moja kati yenu wewe au yeye mmoja kati yenu kuacha roho sio wewe pekee kuwa mnyonge...
  11. O

    PostGE2025 Njama za kuficha uhalifu wa Serikali: Imefungua kesi za mchongo za uhaini dhidi ya Wananchi kwa mauaji ilioyapanga.

    Wakuu, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki moja kwa moja katika mauaji ya halaiki ya Watanganyika zaidi ya 2,000, yaliyotekelezwa kupitia vyombo vya ulinzi na usalama, pamoja na askari wa kukodi (mercenaries) waliotoka Uganda na Zanzibar, katika kipindi cha uchaguzi mkuu...
  12. Ni muujiza viongozi kama Gwajima na Heche kukamatwa na kupewe ulinzi dhidi ya mauaji yanayoendelea

    Ni muujiza viongozi wakina gwajima na heche kukamatwa na kupewe ulinzi dhidi ya mauwaji yanayoendelea sisi tutakinukisha tarehe 9/12 kwa wauwaji.
  13. Onyo: Zanzibar inapaswa kuacha ubaguzi dhidi ya ndugu zao watanganyika, itawagharimu pakubwa

    Kwanza kabisa sababu kuu za harakati za kudai mabadiliko hazihusiani na muungano hata kidogo, ni za kisiasa tu. Hata hivyo kumekuwa na shutuma za ubaguzi zinazofanywa na wazanzabar kwa watanganyika hali hii inaweza kuwagharimu sana kwa ubaguzi wanao uanzisha na kupanua harakati za mabadiliko...
  14. Ilikuwa ni kisasi cha wazanzibari kwa watanganyika dhidi ya yale mauji ya 2001 kule Pemba

    Wanzanzibari akiwepo 'mama yenu' wanacho kinyongo cha muda mrefu na watanganyika. Kuanzia mauaji yaliyoambatana na mapinduzi matukufu (mpaka wajomba wakakimbilia Oman), muungano, kifo cha Karume, issue ya Jumbe, na hususani yale mauaji ya wapemba baada ya uchaguzi wa mwaka 2000. Hayati Mkapa...
  15. CCM Wanafahamu kuwa chuki dhidi yao imeongezeka maradufu?

    Wanapaswa kujihoji sana kwanini wanachukiwa? Walikuwa peke yao kwenye kinyag'anyiro cha uchaguzi mkuu wa 2025 Kabla hata matokeo kutangazwa ghasia na vurugu zikaibuka. Ukikaa mitaani ni wachache saana wanaowasema vizuri Chuki dhidi yao imezidi maradufu
  16. PostGE2025 Kauli za viongozi wa CCM na serikali yake dhidi ya wananchi waliopoteza wapendwa wao zinadhihirisha dharau dhidi yetu

    Naomba Watanzania wenzangu, tufanye jambo muhimu. Viongozi wa CCM na wale wote wanaodhihaki vifo vya wenzetu hawapaswi kuendelea kuwa sehemu ya jamii yetu kwa namna ya kawaida. Tuwatengue kwa amani, bila chuki, lakini kwa msimamo thabiti. Tusionekane kushiriki katika shughuli zao wala kutoa...
  17. H

    Ukombozi wa Mtanzania utapatikana kwa hujuma dhidi ya mafisadi siyo maandamano wala mitandao

    Asilaumiwe Rais kitakachowakomboa waTZ ni mapambano ya mafichoni dhidi ya mafisadi na viongozi wabovu siyo mitandao ya kijamii,wanaharakati au wanasiasa kwani hawa ndiyo wanaopanga kila leo kubaki madarakani.
  18. GE2025 Mauaji ya raia hayakuwa vitisho na yatakuwa na matokeo mabaya katika siku zijazo

    Mauaji ya raia hayakuwa vitisho bali ni kuwajaza chuki wananchi na visasi dhidi ya vyombo vya usalama. Tutarajie nini baada ya watanzania kupoteza ndugu zao kama sio machafuko zaidi
  19. Hivi unawezaje kutumia risasi za moto dhidi ya waandamanaji?

    Haya yalikuwa ni mauaji ya makusudi kabisa, Hakuna nchi yeyote duniani ambapo polisi hutumia risasi na bunduki wanapokuwa wanakabiliana na waandamanaji. Wengi wa waandamanaji mara nyingi ni raia wa kawaida tena wasio na mafunzo kabisa ya kijeshi unawezaje kutumia bunduki dhidi yao? Katika...
  20. M

    GE2025 Thabit Kombo: Mpaka sasa hakuna matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mahmoud Thabit Kombo, amekanusha madai ya matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji wanaopinga zoezi la Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29. Akizungumza na kituo cha televisheni cha Al-Jazeera siku ya Ijumaa, Waziri Kombo amesema hadi sasa hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…