dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SoC04 Nchi inahitaji uongozi shirikishi ili kuondoa malalamiko, na chuki dhidi ya Serikali

    NCHI INAHITAJI UONGOZI SHIRIKISHI ILI KUONDOA MALALAMIKO, NA CHUKI DHIDI YA SERIKALI. Utangulizi: "Tanzania tuitakayo" Taifa letu TANZANIA ni Taifa ambalo linahitaji uongozi shirikishi ,kuanzia ngazi ya Taifa ,mkoa ,wilaya hadi mtaa, kijiji na kitongoji, ili kuifikia Tanzania tuitakayo. Kama...
  2. JamiiForums Tanzania Je, kumwaga mbegu za kiume mara kwa mara nikinga dhidi ya saratani ya tezi dume?

    Linapokuja suala la afya ya wanaume, saratani ya kibofu cha mkojo inachukua nafasi kubwa. Ni aina ya pili ya saratani inayogunduliwa kwa wingi kwa wanaume duniani kote, ikifuatiwa na saratani ya mapafu. Kwa sababu tezi dume ni kiungo cha uzazi ambacho kazi yake kuu ni kusaidia kuzalisha mbegu za...
  3. JamiiForums Tanzania SoC04 Tahadhari zaidi inahitajika dhidi ya Mauaji ya Kinyama nchini, na si kusubiri yatokee ndipo tushughulike nayo

    UTANGULIZI: Miaka ya hivi karibuni watanzania tumekuwa tukipokea taarifa au kushuhudia mauaji ya kinyama kutoka mikoa mbalimbali nchini. Bila shaka wote tunatambua kuwa kumtoa mtu uhai wake ni kinyume na haki za binadamu kwani unamuondolea haki yake ya...
  4. JamiiForums Tanzania Simba akipoteza mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa sugar siawaoni nafasi ya pili NBC PL

    Simba akipoteza mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa sugar siwaoni nafasi ya pili nbcpl msimu huu 2023/2024 Simba watacheza leo mchezo wao mwingine wa ligi kuu ya NBCPL na ikitokea kupoteza mchezo wa leo atakuwa na wakati mgumu wa kumaliza nafasi ya pili msimuu huu. kwahiyo Kocha Mgunda anakazi kubwa...
  5. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: TMDA endelevu dhidi ya Vita ya Dawa Feki

    TFDA ilibadilishwa kisheria na kuwa TMDA tarehe 1 Julai, 2019 baada ya marekebisho ya Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi, Sura ya 219 na Sheria ya Fedha Na. 8 ya 2019. ya bidhaa za chakula. Hivyo kuwepo kwa TMDA ambayo majukumu yake makuu ni kudhibiti usalama, ubora na ufanisi wa dawa, vifaa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Bidhaa za China kuwa na soko kubwa barani Afrika ni jibu zuri dhidi ya madai kwamba eti "Uzalishaji kupita kiasi"

    Kujibu kile kinachojulikana kama "uzalishaji kupita kiasi wa China" ambacho kimechochewa hivi karibuni na baadhi ya nchi za Magharibi, Bw. Ayodeji Dawodu, ambaye anafanya kazi na kushughulikia mambo ya Afrika katika benki ya uwekezaji ya BancTrust yenye makao yake makuu mjini London alisema...
  7. JamiiForums Tanzania Wamarekani wajitokeza kuandamana dhidi ya wanaoandamana kuunga mikono magaidi wa HAMAS

    Kama mbwai na iwe mbwai, watu wameruhusiwa kuhamia Marekani wanashindwa kuvumilia na kuanzisha choko choko zao kwenye nchi za watu, na bila aibu wanaandamana kuunga mkono magaidi wa HAMAS wenye mlengo wa dini ya kiislamu. Sasa wenye nchi yao nao wameanza kuingia barabarani...... As the size...
  8. JamiiForums Tanzania Huyu Mchezaji ni nani? Alifunga goli hili katika Fainali dhidi ya Barcelona

    Ramani hii inaonesha jinsi Mchezaji wa Real Madrid alivyofunga goli la ushindi katika Fainali ya Copa del Rey 2014 dhidi ya Barcelona, mechi hiyo inayofahamika kwa jina la El Clásico ilimalizika kwa Madria kushinda magoli 2-1. Umemtambua mchezaji husika ambaye mikimbio yake alikimbia akatoka...
  9. J

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Umuhimu wa Chanzo Dhidi ya Saratani ya Mlango wa Kizazi kwa Wasichana (Miaka 9-14)

    JE, WAJUA msichana anayeanza kushiriki ngono katika umri mdogo anakuwa katika hatari zaidi ya kupata Saratani ya Mlango wa Kizazi endapo atakuwa hajapata Chanjo ya HPV? Takwimu za Wizara ya Afya Tanzania zinaonesha aina 4 ya Saratani zina idadi kubwa ya Wagonjwa nchini kulinganisha na Saratani...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wanaposimama imara dhidi ya Israel na serikali yao

    1. Alisema Abraham Lincoln: 2. Hawa ndiyo wale vijana jeuri akiwataka sana Nyerere (RIP): 3. Sasa kimenuka Marekani; kumeibuka vijana jeuri wasiotaka kuwaona wala kuwasikia tena wa aina ya kina Biden, Blinken, Bibi au washirika zao. Kuliko kisiwa cha demokrasia sasa kama Kwa akina Muroto...
  11. JamiiForums Tanzania Vikwazo dhidi ya Israel vinavyowekwa na Marekani vinatuma ujumbe gani kwa mashabiki wa vita ya Gaza?

    Kwa mara ya kwanza tangu kuundwa kwa Taifa la Israel mnamo 1948, serikali ya Marekani ambayo imekuwa mshirika mkuu wa siasa na harakati za Israel pale Mashariki ya Kati, imeeleza kusudio lake la kuweka vikwazo kwa kikosi maalumu cha Jeshi la IDF kilichofanya oparesheni zake upande wa ukingo wa...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

    Waajemi wapo mbele kwa lolote lile hata ranking za wazungu, hao waisrael wana mushkeri maana sio wale wa mwanzo waliokuwa wanapigwa na Hitler.
  13. JamiiForums Tanzania Mpango wa Iran Kutengeneza Slaha za Nuclear Kujihami dhidi ya Israel

    Kwa sasa Iran ipo na kila sababu ya kuwa na slaha za Nuclear kwa lengo la kujihami. Kila Israel wanavyozidi kuwashambulia wenye wanazidi kuwa na sababu ya ku milki silaha hizo. Israel anazidi kupunguza ushawishi dunianyi kila siku. Kuna taarifa hii How close is Iran to having nuke weapons...
  14. JamiiForums Tanzania Nyie watanzania ni lini mtaacha tabia zenu za kibaguzi dhidi ya wahitimu ya digiriiii?

    Serikalini na wananchi wake wamekuwa ni wabaguzi wa kutupwa na kusababisha psychological torture kwa baadhi ya wahitimu,haiwezekani mtu amesoma mpaka chuo then unarelate maisha yake na mtu wa darasa la 7 au form 4,this is not good wadau. Au mnataka kuendelea kututawala ili tuichukie elimu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi Iran ilivyotekeleza shambulio lake dhidi ya Israel

    Iran attacked Israel with seven "Fatah" hypersonic missiles - the Iron Dome did not shoot down a single one THOSE MISSILE ARE 15 TIMES FASTER THAN SOUND AND HAVE A RANGE OF 1400 KILOMETERS Moscow military expert Vladislav SHURIGIN: The Iranians carried out their night attack in waves. Since...
  16. JamiiForums Tanzania Israel yataka Vikwazo dhidi ya Mradi wa Makombora wa Iran

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Israel Katz kupitia Mtandao wa X amesema "Asubuhi hii nilituma barua kwa nchi 32 na kuzungumza na Mawaziri wengi wa Mambo ya Nje na Viongozi Waandamizi Duniani nikitaka vikwazo viweke kwenye mradi wa makombora wa Iran" Pia ametoa wito wa Jeshi la Walinzi wa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kujikita Kwenye Kasoro za Kiufundi Katika Kutoa Maamuzi Yenye Tija kwa Taifa ni Ishara ya Udhaifu na Uoga Dhidi ya Serikali

    Pamoja na ukweli kwamba Ibara ya 107A(2)(e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaitaka Mahakama kutoa haki bila kujifunga na mambo ya kiufundi kiasi cha kushindwa kutoa haki,mambo kwa upande wa mahakama zetu ni tofauti kabisa hususan kwenye mashauri ambayo yanahusu kushitakiwa kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

    Kwamba, mabomu yote yale aliyofyatua Irani, hayajafanya chochote? Israel kamfanyia dharau Irani Siku zote Irani huamini kwamba, Israel ni mnyonge wake, hawezi na hatoweza kumpiga miaka milele Iran ukimwangalia, ni kama amejiweka kwenye nafasi za USA huko na siyo nchi kama Israel na kwamba...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nchi za Kiarabu zakiri kuisaidia Israel dhidi ya shambulizi la Iran

    Tulishasema mara nyingi humu. Watawala wa nchi za Kiarabu na Israel damudamu Juzi wakati Iran ikiwapelekea fire wazayuni, Jordan ilishirikiana bega kwa bega na uingereza na Marekani kutungua mkombora ya Iran ili kuinusuru Israel. Leo Saudi Arabia nayo imekiri kushiriki nyuma ya pazia kuinusuru...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo yatakayoifanya Young Africans kupoteza mchezo Ujao wa Derby dhidi ya Simba SC

    Mambo yatakayoifanya Young Africans kupoteza mchezo Ujao wa Derby dhidi ya Simba SC ✍️. Kila mchezo unaohusisha timu mbili ndani ya uwanja kuna anayeingia kama favorite (anayepewa nafasi kubwa ya kushinda) na kuna underdog (anayepewa nafasi ndogo ya kushinda). Sasa ipo hivi, kutokana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…