dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kutumia Deodorant za Asili kwa Afya ya Mama na Mtoto: Ulinzi Dhidi ya Kemikali Hatari

    Naitwa Dr. Elizabeth Kilili, a.k.a. Mama ZOAZOA, ni mkurugenzi wa Grace Products Limited. Leo nina somo fupi ambalo nataka tuangazie afya ya mama pamoja na mtoto, nikizungumzia kitu kinachoitwa deodorant. Deodorant ni nini? Deodorant ni bidhaa ambayo hutumika kupunguza au kuondoa harufu mbaya...
  2. JamiiForums Tanzania Aucho, Mzize na Boka warejea kikosini kwa mchezo wa pili dhidi ya MC Alger Ligi ya Mabingwa Afrika

    Kiungo mkabaji wa Yanga SC Khalid Aucho, Clement Mzize na Boka wamejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 25 kitakacho safiri leo Alasiri kuelekea nchini Algeria kwaajili ya mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger utakaopigwa Disemba 7 2024. Wachezaji...
  3. JamiiForums Tanzania Tathmini fupi mchezo wa Yanga dhidi ya Namungo

    Mechi ilikuwa nzuri Wachezaji wa Yanga wameonyesha ukomavu na uvumilivu hadi nafasi za kufunga zikapatikana Wachezaji wetu hawana fitness nzuri sana. Nadhani labda uchovu kushinda ubingwa mara 3 siochezo, hii inasabisha mechi kukosa kasi tuliyozoea Duke Abuya ni Mchezaji mzuri mno, ametimiza...
  4. JamiiForums Tanzania Trump kumuekea vikwazo Karim Khan, Jaji mkuu wa mahakama ya ICC baada ya uamuzi wake dhidi ya Benjamini Netanyahu

    🚨HABARI: Donald Trump kumuekea vikwazo jaji mkuu wa mahakama ya ICC Karim khan kwa maamuzi ya mahakama hio ya kutoa hati ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu 🚨NEWS: Donald Trump will SANCTION a British lawyer ‘Karim Khan’ over the International Criminal Court’s arrest...
  5. JamiiForums Tanzania Ontario: Mahakama Kuu ya Canada Yatupilia Mbali Shauri la Wanaharakati Walioshitaki Barrick Kukiuka Haki za Binadamu Kwa kutumia Polisi North Mara.

    Mwenyekiti wa Makampuni ya Barrick amesema amefurahishwa na maamuzi ya Mahakamani ya kutupilia mbali Shauri lilopelekwa na Wanaharakati wa Tanzania ambao Walioshitaki kampuni hiyo Kwa kile kinachodaiwa Kukiuka Haki za binadamu kwenye mgodi wa North Mara Kwa kutumia Polisi. Kampuni ya Dhahabu...
  6. JamiiForums Tanzania Canada, China, Mexico wajiandae dhidi ya Trump

  7. JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

    🏆 #CAFCL ⚽️ Young Africans SC🆚Al Hilal 📆 26.11.2024 🏟 Benjamin Mkapa 🕖 10:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Hilal Dakika ya 5 Mpira Umeanza Dakika ya 10 Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi Dakika 25 Yanga wanakosa nafasi ya wazi Dakika ya 29 Dube anakosa nafasi ya wazi anateleza hapa...
  8. JamiiForums Tanzania Mithali 5 ipo moto sana na kutuonya wanaume dhidi ya Malaya

    Mithali 5:3 Maana midomo ya malaya hufondoxa asali, na kinywa chake ni laini kuliko mafuta Mithali 5:4 Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga, ni mkali kama upanga wa makali kuwili Mithali 5:5 Miguu yake inatelemkia mauti, hatua zake zinashikamana na kuzimu Mithali 5:8 Itenge njia yako...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mtaalam wa TAKUKURU awaonya Wasanii dhidi ya rushwa, "Sheria itachukua mkondo kwa watu wa aina hiyo"

    Devid Junior, Mchunguzi na Mwanasheria wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, amewataka wasanii kuwa makini katika kipindi cha uchaguzi na kampeni za kisiasa, akisema kuwa wao ni kioo cha jamii. Ameongeza kuwa wasanii wanapaswa kujiepusha na rushwa na kudumisha maadili bora wakati wote...
  10. JamiiForums Tanzania Simba ikishinda leo dhidi ya Pamba nipigwe Ban

    Ikijitahidi sana ni draw. Sioni ikishinda magoli. Labda itashinda njaa tu. Pamba leo wanashinda. Kwa makafara waliyoyatoa? Mikia kipigo kipo. Tena kipo kweli kweli. Simba ikishinda nipigwe BAN YA SIKU 3. Najua hilo la Simba kushinda halipo. Wakijitahidi sana ni kutoa Draw. Hapo wamejitahidi...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 TAKUKURU Manyara wavionya vyama vya Siasa dhidi ya rushwa, kuwaanika watakaobainika kipindi cha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Vyama vya siasa mkoani Manyara, vimeiomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa takukuru mkoa wa manyara kuweka utaratibu wa kutoa mrejesho wa watuhumiwa wanaokutwa na hatia ya kuomba au kupokea rushwa wakati wa kampeini na uchaguzi ili kufahamu adhabu wanazozipata . Pia, Soma: Special...
  12. JamiiForums Tanzania Urusi yasambaza Nuclear Shetlers mitaani kukinga Raia dhidi ya mionzi

    Russia imeanza kuzalisha na kusambaza Nuclear shetlers mitaani kwa ajili kukinga raia dhidi ya mionzi hatari...... Rais Vladimir Putin ameagiza vikosi vya Nyuklia kujibu shambulio lolote toka Nchi za NATO na Ukraine kwa Nuclear Update: Russia begins production of mobile nuclear shelters! These...
  13. JamiiForums Tanzania Simba kutumia mechi dhidi ya Pamba kumuaga Ayoub Lakred?

    Naona dalili za Simba kutumia mechi ijayo dhidi ya Pamba kumuaga rasmi golikipa wake Ayoub Lakred. Ni basi tu ila ungekuwa uamuzi wangu ningebaki na Lakred hadi mwishoni mwa msimu ndiyo nifanye tathmini ya kina ya kipa gani wa kuachana naye. Kipaumbele changu kingekuwa kumpunguza kwanza...
  14. JamiiForums Tanzania Mbona hakuna update Simba Queens dhidi ya Yanga Princess?

    Nawasha TV nakuta Kuna mechi kati ya Yanga Princess na Simba Queens kwenye uwanja wa KMC. Mpaka Sasa naona tayari Simba Queens wametangulia moja bila dhidi ya Yanga Princess.
  15. JamiiForums Tanzania Putin achukizwa na Ugaidi. Atangaza kuisaidia Afrika dhidi ya Magaidi

    Rais wa Urusi, Vladmir Putin ameahidi kuzisaidia Nchi Washirika wake Barani Afrika katika Sekta mbalimbali za kuleta maendeleo na amesema ataisaidia pia Afrika kupambana na ugaidi. Rais Putin ameahidi kutoa msaada kamili kwa Bara la Afrika ahadi ambayo ameitoa leo Jumapili katika mkutano kati...
  16. JamiiForums Tanzania Kipigo cha Yanga dhidi ya Tabora United chatumika darasani Wanafunzi kujifunza kusoma

    Doh! Sio Mchezo Kipigo cha Yanga dhidi ya Tabora United cha bao 3-1 kimetumika darasani kama somo la kusoma kwa wanafunzi wanaojifunza Kiswahili. Soma, Pia: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024 Katika video iliyosambaa, wanafunzi...
  17. JamiiForums Tanzania Donald Trump Kumpa Uhuru Netanyahu Dhidi ya Iran

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CIA, amesema kwamba anatarajia serikali ya Donald Trump, tofauti na Setikali ya Biden, itampa Netanyahu uhuru wote dhidi ya Iran, yaani Israel iamue wakati gani wa kuishambulia Iran, iishambulie Iran kwa namna gani, na ishambulie maeneo gani. Ikumbukwe kuwa utawala...
  18. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi ni fedheha dhidi ya demokrasia nchini

    Kulizungumzia Jeshi la Polisi Tanzania haimaanishi kutishia ama kuingilia usalama wa nchi. Soma hii taarifa yao hapa chini Pia soma: LGE2024 - Polisi: Kuna chama cha Siasa kinapanga kufanya Vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Siyo mara ya kwanza polisi kutoa tuhuma ambazo hawajawahi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, acheni kulia lia. Chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma

    Kwa mara nyingine tena napenda kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, punguzeni kulia lia, chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma. Ebu jiulizeni, mmeanza kulia tangu lini? Baada ya kulia mmepata faida gani? Amini, Amini nawaambia, msipokubali kujitoa SADAKA kwa ajili ya kutafuta HAKI, mtalia...
  20. JamiiForums Tanzania Magoli ya Kutia adabu-Tabora Utd dhidi ya Utopolo

    https://youtu.be/86ilS4nqcDE?si=pxCHHxy6QqIzyD13 Binadamu wepesi kusahau. Magoli matamu, magoli hayana maelekezo. Magoli yenye dharau ndani yake. Kuna mengine mdaka mishale alipigiwa mbali akaishia kukenua tu. Tazama pia penati ya dhuruma, mpigaji alipiga akiwa amekaza magego lakini waaaaapiii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…