dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Canada, China, Mexico wajiandae dhidi ya Trump

  2. JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

    🏆 #CAFCL ⚽️ Young Africans SC🆚Al Hilal 📆 26.11.2024 🏟 Benjamin Mkapa 🕖 10:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Hilal Dakika ya 5 Mpira Umeanza Dakika ya 10 Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi Dakika 25 Yanga wanakosa nafasi ya wazi Dakika ya 29 Dube anakosa nafasi ya wazi anateleza hapa...
  3. JamiiForums Tanzania Mithali 5 ipo moto sana na kutuonya wanaume dhidi ya Malaya

    Mithali 5:3 Maana midomo ya malaya hufondoxa asali, na kinywa chake ni laini kuliko mafuta Mithali 5:4 Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga, ni mkali kama upanga wa makali kuwili Mithali 5:5 Miguu yake inatelemkia mauti, hatua zake zinashikamana na kuzimu Mithali 5:8 Itenge njia yako...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mtaalam wa TAKUKURU awaonya Wasanii dhidi ya rushwa, "Sheria itachukua mkondo kwa watu wa aina hiyo"

    Devid Junior, Mchunguzi na Mwanasheria wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, amewataka wasanii kuwa makini katika kipindi cha uchaguzi na kampeni za kisiasa, akisema kuwa wao ni kioo cha jamii. Ameongeza kuwa wasanii wanapaswa kujiepusha na rushwa na kudumisha maadili bora wakati wote...
  5. JamiiForums Tanzania Simba ikishinda leo dhidi ya Pamba nipigwe Ban

    Ikijitahidi sana ni draw. Sioni ikishinda magoli. Labda itashinda njaa tu. Pamba leo wanashinda. Kwa makafara waliyoyatoa? Mikia kipigo kipo. Tena kipo kweli kweli. Simba ikishinda nipigwe BAN YA SIKU 3. Najua hilo la Simba kushinda halipo. Wakijitahidi sana ni kutoa Draw. Hapo wamejitahidi...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 TAKUKURU Manyara wavionya vyama vya Siasa dhidi ya rushwa, kuwaanika watakaobainika kipindi cha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Vyama vya siasa mkoani Manyara, vimeiomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa takukuru mkoa wa manyara kuweka utaratibu wa kutoa mrejesho wa watuhumiwa wanaokutwa na hatia ya kuomba au kupokea rushwa wakati wa kampeini na uchaguzi ili kufahamu adhabu wanazozipata . Pia, Soma: Special...
  7. JamiiForums Tanzania Urusi yasambaza Nuclear Shetlers mitaani kukinga Raia dhidi ya mionzi

    Russia imeanza kuzalisha na kusambaza Nuclear shetlers mitaani kwa ajili kukinga raia dhidi ya mionzi hatari...... Rais Vladimir Putin ameagiza vikosi vya Nyuklia kujibu shambulio lolote toka Nchi za NATO na Ukraine kwa Nuclear Update: Russia begins production of mobile nuclear shelters! These...
  8. JamiiForums Tanzania Simba kutumia mechi dhidi ya Pamba kumuaga Ayoub Lakred?

    Naona dalili za Simba kutumia mechi ijayo dhidi ya Pamba kumuaga rasmi golikipa wake Ayoub Lakred. Ni basi tu ila ungekuwa uamuzi wangu ningebaki na Lakred hadi mwishoni mwa msimu ndiyo nifanye tathmini ya kina ya kipa gani wa kuachana naye. Kipaumbele changu kingekuwa kumpunguza kwanza...
  9. JamiiForums Tanzania Mbona hakuna update Simba Queens dhidi ya Yanga Princess?

    Nawasha TV nakuta Kuna mechi kati ya Yanga Princess na Simba Queens kwenye uwanja wa KMC. Mpaka Sasa naona tayari Simba Queens wametangulia moja bila dhidi ya Yanga Princess.
  10. JamiiForums Tanzania Putin achukizwa na Ugaidi. Atangaza kuisaidia Afrika dhidi ya Magaidi

    Rais wa Urusi, Vladmir Putin ameahidi kuzisaidia Nchi Washirika wake Barani Afrika katika Sekta mbalimbali za kuleta maendeleo na amesema ataisaidia pia Afrika kupambana na ugaidi. Rais Putin ameahidi kutoa msaada kamili kwa Bara la Afrika ahadi ambayo ameitoa leo Jumapili katika mkutano kati...
  11. JamiiForums Tanzania Kipigo cha Yanga dhidi ya Tabora United chatumika darasani Wanafunzi kujifunza kusoma

    Doh! Sio Mchezo Kipigo cha Yanga dhidi ya Tabora United cha bao 3-1 kimetumika darasani kama somo la kusoma kwa wanafunzi wanaojifunza Kiswahili. Soma, Pia: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024 Katika video iliyosambaa, wanafunzi...
  12. JamiiForums Tanzania Donald Trump Kumpa Uhuru Netanyahu Dhidi ya Iran

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CIA, amesema kwamba anatarajia serikali ya Donald Trump, tofauti na Setikali ya Biden, itampa Netanyahu uhuru wote dhidi ya Iran, yaani Israel iamue wakati gani wa kuishambulia Iran, iishambulie Iran kwa namna gani, na ishambulie maeneo gani. Ikumbukwe kuwa utawala...
  13. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi ni fedheha dhidi ya demokrasia nchini

    Kulizungumzia Jeshi la Polisi Tanzania haimaanishi kutishia ama kuingilia usalama wa nchi. Soma hii taarifa yao hapa chini Pia soma: LGE2024 - Polisi: Kuna chama cha Siasa kinapanga kufanya Vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Siyo mara ya kwanza polisi kutoa tuhuma ambazo hawajawahi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, acheni kulia lia. Chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma

    Kwa mara nyingine tena napenda kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, punguzeni kulia lia, chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma. Ebu jiulizeni, mmeanza kulia tangu lini? Baada ya kulia mmepata faida gani? Amini, Amini nawaambia, msipokubali kujitoa SADAKA kwa ajili ya kutafuta HAKI, mtalia...
  15. JamiiForums Tanzania Magoli ya Kutia adabu-Tabora Utd dhidi ya Utopolo

    https://youtu.be/86ilS4nqcDE?si=pxCHHxy6QqIzyD13 Binadamu wepesi kusahau. Magoli matamu, magoli hayana maelekezo. Magoli yenye dharau ndani yake. Kuna mengine mdaka mishale alipigiwa mbali akaishia kukenua tu. Tazama pia penati ya dhuruma, mpigaji alipiga akiwa amekaza magego lakini waaaaapiii
  16. JamiiForums Tanzania Ziara za Cuba dhidi ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Cuba, balansi inapatikana wapi?

    Ni swali ambalo nimejiuliza kwa muda kidogo. Tunapataje uwiano katikati ya mambo haya?! Bepari atanuna, but na sisi tuko non aligned, Sijui tinafanyaje
  17. JamiiForums Tanzania Tunawezaje kuwalinda watoto wetu dhidi ya maudhui yasiyofaa kwenye TV?

    Kama mjuavyo teknolojia ilivyotaradadi Kila Kona ya Duniani. Utazamaji wa Television (TV) umekuwa haukwepeki. Shida katika maudhui yanayorushwa kuna maudhui yasiyofaa kuangalia na vijana wetu ambao Bado hawajajua kuchanganua mambo. Kuna muda unataka uangalie zako tamthilia nawao hao wapo hapo...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awapongeza Azam Fc kwa Ushindi dhidi Ya Yanga.

  19. JamiiForums Tanzania Dharau za wafanyakazi wa Tanesco dhidi ya wananchi, Waziri husika chukua hatua.

    Wakazi wa moja ya mitaa Mbagala Rangitatu hawana umeme tangu jana asubuhi mpaka muda huu ninapoandika hii Post. Wakazi hawa wapo mita mia tano toka ofisi ya Tanesco Mbagala na mita miambili toka Sub Station ya Mbagala, hata hivyo walishinda na walilala bila umeme kwa zaidi ya saa ishirini na nne...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Netanyau asema shambulizi la Israel dhidi ya Iran lilisambaratisha viwanda vya kutengeneza kifo! Iran kamwe haitomiliki silaha za nyuklia

    Wadau hamjamboni nyote? Hotuba nzito mbele ya bunge la Israel Waziri Mkuu Benjamin Netanyau Iran kamwe haitoruhusiwa kumiliki silaha za nyuklia Israel itaendelea kusaini mikataba ya amani na nchi za kiarabu Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Netanyahu says Israel’s strikes on Iran...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…