dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Askari wauawa Dodoma wakati wakienda kumkamata mtuhumiwa wa uhalifu.

    Wananchi wameamua kuwafikia Askari. Katika hali inayosikitisha na ya kuonesha imani imeisha kati kati ya wananchi na Askari. Kumetokea mauaji huko Dodoma. Tupate habari kamili.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Dollar inaanza kupanda thamani dhidi ya Shilingi

    Hapa katikati kumekua na mtiririko mkubwa na wa kushangaza wa kushuka kwa kiwango cha kubadilishia fedha hasa Dollar ya kimarekani dhidi ya Shilingi ya Tanzania. Hali hiyo ilipelekea watu wengi kujiuliza maswali mengi na kukosa majibu. Wengi walifikiri labda ni matokeo ya uchaguzi wa Marekani...
  3. JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yalaani vurugu zilozofanywa na Klabu ya CS Sfaxien jijini Dar

    Klabu ya Simba inapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa; Tarehe 15 Desemba 2024, katika mchezo wake wa hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia katika uwanja wa Benjamin Mkapa, zilizuka ghasia zilizoanzishwa na timu pinzani licha ya kupokelewa na kupewa...
  4. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latoa tamko baada ya mashabiki wa Simba kuvunja viti Uwanja wa Taifa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeripoti fujo zilizotokea tarehe 15 Desemba, 2024, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na CS Sfaxien. Mashabiki wa CS Sfaxien walikasirishwa na mwamuzi kuongeza dakika saba, hali iliyopelekea...
  5. JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba ikishinda dakika za jioni dhidi ya CS Sfaxien

    1. Nafasi ya kiungo mshambuliaji no. 10 imeendelea kuwa ni tatizo kwa Simba, ni aibu timu kama Azam ina Feitoto halafu Simba haina mtu wa maana nafasi ile. 2. Simba inatakiwa ifanyie kazi eneo la pumzi kwa wachezaji , mara nyingi inataka kuanzia dk ya 60 nakuendelea. 3. Yusuph Kagoma ni kiungo...
  6. JamiiForums Tanzania Kiungo wa boli Awesu aanza kikosi cha Simba dhidi ya CS Sfaxien

    Kiongo Awesu Awesu anaanza leo, sambamba na Deborah Mavambo ambaye atazima na Fabrice Ngoma, juu wanacheza Lionel Ateba, Kibu Denis na Jean Charles Ahoua. Chini kama kawaida hakuna mabadiliko ni Che Malone, Zimbwe, Kapombe na Hamza, Camara anasimama langoni.
  7. JamiiForums Tanzania Wataalamu wanadai hizi ndiyo sababu za Tsh kuimarika dhidi ya Dola

    Nimeona huko mtandaoni wataalamu wakielezea sababu za Tsh kuimarika dhidi ya dola. 1. Wanadai kuwa kwa sasa ada zote za utalii zinalipwa kwa Tsh. Kwa hiyo watalii hao wanatakiwa kutumia dola kununua Tsh ili waweze kulipa ada mbalimbali. Zamani watalii walikuwa wanalipa moja kwa moja kwa dola...
  8. JamiiForums Tanzania Chuki za Joseph Sinde Warioba dhidi ya serikali zilianza baada ya Kippi Warioba kuondolewa kwenye ukuu wa Wilaya

    Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya. Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Malalamiko yeyote dhidi ya kiongozi yeyote yafanyiwe uchunguzi kisha yawekwe wazi

    MALALAMIKO YEYOTE DHIDI YA KIONGOZI YEYOTE YAFANYIWE UCHUNGUZI KISHA YAWEKWE WAZI Nilisikika huko ndotoni nikiwa nakoroma kama simba nikaanza: Nakumbuka Aprili 2019, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati huo akiwa Makamu wa Rais, akiwa katika kongamano la kumuenzi hayati Abeid Amani...
  10. JamiiForums Tanzania Mechi ya kiporo ya Simba dhidi ya JKT Tanzania kuchezwa Disemba 24, KMC Complex

    Mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania ambao awali ulihairishwa baada ya mpinzani wetu kupata ajali sasa umepangwa kuchezwa Disemba 24, 2024 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa KMC Complex. Mchezo huu awali haukuchezwa kutokana na JKT Tanzania kupata ajali ya gari na baadhi ya wachezaji wao...
  11. JamiiForums Tanzania Aikaeli Mbowe kaonesha chuki dhidi ya alivyoviita vyama 14 vya siasa

    Friends, ladies and gentlemen. Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu? Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano miongoni mwa vyama vya siasa eti ndiyo huleta nguvu na ndiyo kipaumbele chao kwa sasa. Kitendo cha...
  12. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya 16 Days Of Activism: tuungane kuwalinda Wanawake na Wasichana dhidi ya Ukatili

    Leo tunahitimisha Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, kipindi muhimu kilichotumika kupaza sauti dhidi ya ukatili unaowaathiri mamilioni ya watu duniani, hususan wanawake na wasichana. Ukatili wa kijinsia sio tu changamoto ya mtu binafsi bali ni tatizo la kijamii linaloathiri...
  13. JamiiForums Tanzania Mbinu ya kijasusi - kutengeneza chuki dhidi ya Serikali ili kuacha ombwe la kiuongozi!

    Tunaposheherekea miaka 63 ya Uhuru ni vyema kama Taifa kutafakari katika maeneo kadhaa ambayo ni muhimu. 1-Tanganyika ilipata uhuru bila kumwaga damu yaani vita. 2-Kupitia Waasisi wetu hususani Mwalimu Nyerere tuliona njia bora ni kudai Uhuru wetu kwa njia ya kidiplomasia. 3-Hata baada ya kupata...
  14. JamiiForums Tanzania Ujinga alioufanya msanii Willy Paul jana dhidi ya wasanii wa Tanzania ukemewe vikali

    Jana usiku kulikuwa na Tamasha pale Nairobi ambalo moja ya Wasanii walioalikwa kutumbuiza ni Wasanii kutoka Tanzania, Diamond Platnumz akisindikizwa na Zuchu huku Msanii mwingine akiwa Rayvanny. Vurugu zilianza baada ya muda wa Diamond Platinumz kupanda stejini kufika ambapo Msanii wa Kenya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hawa Hamas wanaopigana dhidi ya Israeli ni kina nani hasa?

    Tupate elimu kidogo wana JF: Hamas ni chama cha siasa ambacho kinatawala ukanda wa Gaza. Ingawa ni chama, lakini pia Hamas ni kundi la wanamgambo wenye silaha mfano wa jeshi. Hamas ni ufupisho wa maneno Harakat al-Muqawama al-Islamiyya ambapo kwa Kiswahili ni Vuguguvu la Upinzani la Kiislamu...
  16. JamiiForums Tanzania JWTZ ni Wananchi, wanaopiga kura ni Wananchi. Je, Jeshi linatakiwa kukaa tayari dhidi ya nani?

    Watawala wa Afrika wanadhani JWTZ ni Wanachama wa CCM. Watawala wanadhani JWTZ ipo kwaajili ya kuwalinda wabaki madarakani. Nawakumbusha tu. JWTZ ni Jeshi la wananchi wa Tanzania. Na wapiga kura ni Wananchi wa Tanzania. Ni vizuri tukakumbushana haya. JWTZ si TPF, muulizeni Mama Nyerere...
  17. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kutumia Deodorant za Asili kwa Afya ya Mama na Mtoto: Ulinzi Dhidi ya Kemikali Hatari

    Naitwa Dr. Elizabeth Kilili, a.k.a. Mama ZOAZOA, ni mkurugenzi wa Grace Products Limited. Leo nina somo fupi ambalo nataka tuangazie afya ya mama pamoja na mtoto, nikizungumzia kitu kinachoitwa deodorant. Deodorant ni nini? Deodorant ni bidhaa ambayo hutumika kupunguza au kuondoa harufu mbaya...
  18. JamiiForums Tanzania Aucho, Mzize na Boka warejea kikosini kwa mchezo wa pili dhidi ya MC Alger Ligi ya Mabingwa Afrika

    Kiungo mkabaji wa Yanga SC Khalid Aucho, Clement Mzize na Boka wamejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 25 kitakacho safiri leo Alasiri kuelekea nchini Algeria kwaajili ya mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger utakaopigwa Disemba 7 2024. Wachezaji...
  19. JamiiForums Tanzania Tathmini fupi mchezo wa Yanga dhidi ya Namungo

    Mechi ilikuwa nzuri Wachezaji wa Yanga wameonyesha ukomavu na uvumilivu hadi nafasi za kufunga zikapatikana Wachezaji wetu hawana fitness nzuri sana. Nadhani labda uchovu kushinda ubingwa mara 3 siochezo, hii inasabisha mechi kukosa kasi tuliyozoea Duke Abuya ni Mchezaji mzuri mno, ametimiza...
  20. JamiiForums Tanzania Trump kumuekea vikwazo Karim Khan, Jaji mkuu wa mahakama ya ICC baada ya uamuzi wake dhidi ya Benjamini Netanyahu

    🚨HABARI: Donald Trump kumuekea vikwazo jaji mkuu wa mahakama ya ICC Karim khan kwa maamuzi ya mahakama hio ya kutoa hati ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu 🚨NEWS: Donald Trump will SANCTION a British lawyer ‘Karim Khan’ over the International Criminal Court’s arrest...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…