dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UCHAMBUZI: G55 (Mpox) wana hoja dhaifu, mtazamo usioeleweka na mikakati ya duni dhidi ya CHADEMA

    Mwanzoni nilidhani labda ni hisia zangu lakini baada ya kuwasikiliza nikagundua nilikuwa sahihi kwa 100% kuhusu kundi la watia nia wa ubunge 55 kupitia CHADEMA maarufu kama G55 ama Mpox ambao wameamua kuja kinyume na msimamo wa Chama chao kuhusu agenda ya No reform, No election. Hapa chini ni...
  2. TUNDU LISSU dhidi ya CCM +Mbowe+Chawa wa Mbowe +Vyombo vya Usalama Nchini !!.Nyuma ya Lissu Kuna nguvu ya KIUNGU !!.

    Ukiwa Hauna D mbili, unaweza kushupaza Shingo tu na kumchukulia LISSU kama mtu wa kawaida sana . Sasa Iko hivi, Mungu muumbaji humtegemeza MTU mwenye HAKI , Kwa Mungu ukiwa mwenyé HAKI na Usokua na MAWAA utatengenezwa kua Very powerful kuliko kitu chochote kile. Silaha pekee alizonazo LISSU...
  3. Jana pale Kisutu iliunguruma kesi ya uchochezi namba 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Malisa na Boniyai

    Jana pale Kisutu iliunguruma kesi ya uchochezi namba 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Malisa na Boniyai. Jamhuri iliwakilishwa na Mawakili Clemence Kato na Cathbert Mbilinyi. Upande wa utetezi uliwakilishwa na Mawakili Peter Kibatala, Hakima Mwasipu, Dickson Matata, Michael Lugina, Josephat Msanga na...
  4. Wallace Karia na RC wa Tabora, Paul Chacha kuwa wageni maalum kwenye mechi ya Simba SC dhidi ya Al Masry

    Klabu ya Simba SC imemtangaza Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuwa mgeni maalum katika mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya Al Masry. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 9, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar...
  5. Kwa matokeo ya jana dhidi ya al masry ..Simba waliona mbali kukimbia derby

    Baada ya matokeo ya jana 2-0 dhidi ya al masry ambayo ni sawa na kmc au coastal union,ni dhairi kama wangecheza na yanga wangekutana na kiama/kipigo kitakatifu. Kama ni karata basi mangungu na walace karia walilamba dume kuikimbia yanga
  6. A

    Malalamiko Kuhusu Mabaraza ya Uuguzi na Ukunga na Upotoshaji wa Media Dhidi ya Wauguzi

    Kwa heshima kubwa, ningependa kuelezea malalamiko yangu kuhusu jinsi baadhi ya vyombo vya habari vinavyotoa taarifa zinazopotosha hadhi ya wauguzi, huku mabaraza ya uuguzi na ukunga yakiwa kimya bila kuchukua hatua za kutetea kada hii muhimu ya afya. Mfano halisi ni taarifa iliyochapishwa na...
  7. Kada wa CCM Deo Mushi ashinda vita dhidi ya tajiri mtoto wa Ndesamburo uporaji shamba la shule ya msingi Wereni,apewa siku 14 kusalimisha hati feki

    DEo Mushi kada wa Chama cha mapinduzi(CCM)ameshinda vita kubwa dhidi ya tajiri mtoto wa mwanasiasa mkongwe(marehemu)Philemon Ndesamburo aitwaye Thomas Philemon Kiwelu ambaye amekuwa katika jitihada za siku nyingi za kupora eneo la shule ya msingi Wereni iliyopo kata ya Kibosho Magharibi wilaya...
  8. M

    Kocha Fadlu ameuza hii mechi dhidi ya Al Masry kutokana na kukosa maamuzi sahihi

    Wazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka? kulikuwa na ulazima gani Ateba kiroba Mbida kucheza dakika zaidi ya 70 kwenye hii mechi? Fabrice konokono Ngoma pale kati...
  9. Makundi yanayoongoza kwa ubaguzi na chuki dhidi ya watu weusi

    Makundi ya Kikabila Yanayojulikana kwa Ubaguzi Mkubwa Dhidi ya Weusi Duniani Ubaguzi dhidi ya watu weusi upo duniani kote kutokana na historia, siasa, na mitazamo ya kijamii. Ingawa si rahisi kupima kiwango cha ubaguzi kwa kila kundi la kikabila, baadhi ya jamii zinajulikana kwa kuwa na...
  10. Urusi yaionya Marekani dhidi ya shambulizi lolote kwa Iran

    Mambo yanazidi kuchukua sura mpya ambapo Urusi amesema kitendo cha marekani kuishambulia Iran kitakua na matokea mabaya sana. Wachambuzi wa siasa za kimataifa mje hapa Kila mmoja Atoe mtazamo wake kuhusu Hali inayoendelea kwa sasa baina ya marekani na Iran. Je Urusi anaweza kuungana na Iran...
  11. Maandamano dhidi ya uhamiaji haramu huko Afrika Kusini!

    Kumbe hata Afrika wapo watu wenye mitazamo ya ki-MAGA, kama ile ya Rais Donald Trump 🤣. Huyo mdada ukimsikiliza hoja zake dhidi ya huo uhamiaji haramu, unaweza kudhani naye ni MAGA, lakini kumbe wapi! Yeye ni Mwafrika Kusini aliyechoshwa na uhamiaji haramu nchini humo. Halafu kuna hii hoja ya...
  12. Mabadiliko ya dola dhidi ya TZS kwa siku ya jana na leo yaantisha

    Hali inatisha sana soon tutafika 3000. Ila tutumba anasema uchumi unaimariks aha ha ah ha ha
  13. Wale wale wahuni waliovuruga mazoezi ya Simba ndio hao hao sasa wanamtisha Hersi saidi kama atakubali mechi dhidi ya Simba...

    Hersi saidi yupo kwenye mtanziko mkubwa sana kuhusu maamuzi ya kukubali kucheza mechi ya marudiano baada ile ya march 8 kuota mbawa...ukisikiliza anachosema anaonyesha dalili za woga na kuna kitu hakipo sawa anaogopa dhidi ya washabiki wake wahuni wasio na adabu...Hersi ana zunguuka anaogopa...
  14. M

    BoT: Ufafanuzi kuhusu mwenendo wa Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU MWENENDO WA SHILINGI YA TANZAΝΙΑ DHIDI YA DOLA YA MAREKANI Benki Kuu ya Tanzania inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa potofu iliyosambaa katika vyombo mbalimbali vya habari. Taarifa hiyo, iliyochapishwa tarehe 19 Machi 2025, ilidai kuwa Shilingi ya Tanzania...
  15. Sakata la Simba ni sawa na lile la Nigeria dhidi ya Libya. Yanga msiende CAS.

    Timu ya Taifa Nigeria ilikataa kucheza na timu ya Taifa ya Libya, kisa hawakupokelewa vizuri na wenyeji wao. Kamati ya nidhamu ya CAF ikawazawadia Nigeria pointi tatu. Sasa hili sakata la Nigeria na wale mabaunsa wa Yanga tofauti yake ni ipi? Nashauri Mzee Magoma awazuie Yanga kwenda CAS.
  16. T

    Shilingi ya Tanzania yatajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi Duniani dhidi ya Dola ya Marekani kwa mwaka 2025

    Shilingi ya Tanzania ama TZS kwa kifupicho chake rasmi imetajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi kwa mwaka huu wa 2025 hadi sasa kuliko fedha yoyote Duniani. Shilingi ya Tanzania imeshuka thamani kwa zaidi ya 8.9% dhidi ya Dola ya kimarekani toka mwaka huu uanze. Hii ni rekodi ya Dunia kwani...
  17. Yemen Watangaza rasmi kuingia vitani dhidi ya Marekani

    Baada ya kujibu mashambulizi mara 3 ndani ya saa 48 Hali iliyopelekea marekani kuondoa aircraft carrier Harry Truman katika bahari ya redsea na kuisogeza mbali na eneo la Yemen. Mkuu wa nchi ya Yemen ametangaza rasmi Leo kuwa shambulio lolote dhidi ya nchi yake litajibiwa na ametoa tahadhari...
  18. Madai ya Wafanyabiashara wa Kariakoo dhidi Ya Wachina ni ya kweli ?

    Muda huu nasikia kipindi cha Good Morning,kinacho rushwa na WSF na Kuna shutuma zinatolewa kwa Wachina kwamba wamekuwa chanzo Cha matatizo kadhaa hapa nchini. Wachina wanashutumiwa kusababisha uhaba wa dola,hawatoi risiti,hawana vibali vya Kazi,wanafanyakazi za wazawa nk Binafsi naomba kuuliza...
  19. PreGE2025 CCM Mbeya: Yaowaonya wanaotaka Kugombea Uongozi, kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu ili kupata madaraka

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimewaonya wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao, kuacha kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu wenzao, ambapo vitendo vingine vinasababisha kukatisha maisha na kuharibu mustakabali wao kisa uroho wa madaraka...
  20. Historia inaonyesha Watutsi/wahima kama wakoloni weusi toka eneo la Ethiopia dhidi ya mbari ya Wabantu.

    Historia inaonyesha watutsi kama wafugaji wenye uhodari wa kupigana vita wa mbari ya kihima. Watu hawa karne kadhaa kabla ya ukoloni wa kizungu walishuka na mifugo yao toka kaskazini wakifuata mto Nile. Wana historia wengine waliwatambua kama Cushite. Sura na maumbo yao ni zile za waoromo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…