Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida.
Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa kutumikia adhabu kwenye mechi za ligi kuu,FA na Ngao ya jamii.
Hivyo sowah hatakuwa sehemu ya...
Waziri wa zamani wa Biashara wa Marekani Gina Raimondo hivi karibuni amekiri wazi kwamba “kujaribu kuzuia maendeleo ya China ni jambo lisilowezekana”. Matamshi hayo ni tofauti kabisa na msimamo wake mgumu dhidi ya China wakati alipokuwa madarakani. Mabadiliko haya makubwa yameonesha ugonjwa sugu...
Watanzania walitegemea kuona Hawa Wahuni wakijitutumua kujibu Hoja za Dkt Malissa .
Hoja ni Nzito na zamoto , Katika Utawala wa Sheria ulio huru , TUKIO LA SAMIA kujipitisha lingefutiliwa mbali na kuamuriwa Mchakato kuanza Upya.
SAmia na CCM yake WAMEONA waje na Mbinu ya Pingamizi dhidi ya...
CCM na watawala waovu wameendelea na uovu wao dhidi ya haki. Anachofanyiwa Lisu na polisi, magereza, na mahakimu, na majaji mchongo, ni mwendelezo wa uovu ule ule aliofanyiwa Ali Kibao, Mdude Nyagali, Soka na wengine wengi. Ni mwendelezo wa uovu ule aliofanyiwa Baba wa Kiroho na Katibu wa Baraza...
I pray for Taifa star, majirani pamoja na kocha wao wamekuwa na nongwa kweli,naamuru Kamati zote zianze kazi mapema,kwani fedhea haikubaliki kwa dhati kabisa!
Simba SC imefungwa mabao 4-3 na ENPPI SC ya Misri katika mchezo wa pili kirafiki uliochezwa Jumapili, Agosti 17,2025 kujiandaa na msimu mpya wa 2025/2026.
Mabao ya ENPPI SC mawili yalifunwa kwa penati, huku Simba SC ikifunga kupitia wachezaji wake Kibu Denis, Jean Ahoua, na Jonathan Sowah...
Mheshimiwa Waziri wa Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu,
Kwa heshima na taadhima, napenda kuwasilisha malalamiko na ushauri kuhusu hali halisi ya wafanyakazi wengi hususan katika sekta binafsi hapa nchini.
Wapo Watanzania wengi wanaofanya kazi mashuleni, viwandani, hotelini, mashirika ya kimataifa...
Hiki kinachoendelea kususiwa kwa Timu ya Taifa na mashabiki ni dhahiri kwamba wananchi wana kinyongo na Taifa lao, sio tu timu ya taifa itafika mpaka kwenye vilabu vya Yanga na Simba.
Wajitayalishe kwa hilo; huwezi kumlazimisha mtu afwate siasa ambazo yeye hazipendi na bado ukamnyima haki, na...
Baada ya droo ya caf ccl nimeona niwaonye yanga wawe makini na wachukue tahadhali zote dhidi ya timu hii ya Wiliete club de benguela ya Angola kwani sio timu kibonde ni timu iliyosukwa vizuri na Iko timamu kweli kweli!
Timu hii msimu uliomalizika 2024/2025 imemaliza nafasi ya pili kwenye...
Tanga, kauli ya kifo ni kifo bado inawauma sana.
Katavi, imetupwa kushoto kuliko hata Kizimkazi yenye watu 20000
Mwanza, tukio la machi 17 2021 bado linawauma sana. Maana bado hawaamini kama ni mkono wa Mungu
Geita, waemkaa kimya ila wanasema walishatengwa kabisa baada ya machi 17 2021...
taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za...
Sasa bwana Polepole umeanza kuongea vitu serious. Zile episode zako mbili za mwanzo zilikuwa hazijaniimpress hata kidogo maana ulikuwa unaongea vitu vypesivyepesi. Ila tu nilikuwa naenjoy unavyovurugana na wanaCCM wenzako, lakini nilikuwa bado sijashawishika kuona unaongea vitu vya maana. Kwa...
Kikwete ni rais mstaafu, hana jeshi wala hamiliki kikundi cha kigaidi. Kwann analalamikiwa kuhusu mwenendo wa uongozi wa nchi? Lawama anazopewa Kikwete anastahili ama ni chuki binafsi toka kwa wabaya wake?
Rais aliyeko madarakani analazimika kufuata maagizo ama ushauri wa Kikwete? Kama jibu ni...
Inasikitisha kuona mtu kama Maria Sarungi anayejiita mwanaharakati wa haki za binadamu, akiendelea kuonyesha chuki waziwazi dhidi ya Rais Samia na Wazanzibari kwa ujumla. Kila jambo linalotokea nchini kwake linageuzwa lawama kwa Rais Samia, hata yale yasiyomhusu moja kwa moja.
Mbaya zaidi...
Patrick Osoi, aliyewahi kuwa askari wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF), alikamatwa Jumanne baada ya kuunda vuguvugu la kupinga ukatili wa polisi pamoja na maafisa wawili wa polisi. Siku ya Jumatano, alifikishwa katika Mahakama ya Kahawa.
Kwa mujibu wa hati ya maombi iliyowasilishwa na Idara ya...
Jaribio lolote la kutaka kumhukumu mtu bila yeye kuwajua mashahidi dhidi yake ni uhalifu dhidi ya ubinadamu, halipaswi kuendekezwa hata kidogo.
Maana yake ni kwamba, mshtakiwa atasomewa tu kuwa, mahakama imeridhika na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka, hivyo adhabu yako ni hiyo.
Kama...
Unaweza usielewe vyema hii dhana ikiwa utaitazama kwa mlengo wa kishabiki, lakini ukielewa mantiki unaweza kukubaliana na hili.
Tembea dunia nzima (kuanzia Kenya, Uganda, DRC, Rwanda, Namibia, South Afrika, Misri, USA, UK, Germany, Canada, China, Qatar, France nk), utakutana na utiriri wa...
Katika historia ya matukio ya kustaajabisha yaliyofanywa na taasisi za serikali kwa jina la “sayansi”, hakuna tukio lililojaa huzuni, udhalilishaji, na ukiukwaji wa maadili ya kibinadamu kama Utafiti wa Tuskegee kuhusu ugonjwa wa Kaswende (The Tuskegee Syphilis Study) uliofanyika kuanzia mwaka...